prida
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 1,297
- 2,596
- Thread starter
- #61
Asante dogo ake.prida tambua ya kuwa wewe ni mwanamke jasiri na unaye taka kuvunja curse ya feminism..
Nikuombe uendelee kujifunza kutoka kwa Wanaume humu.. Hasa wanaojitambua..
Ya kwangu ni haya...
Usipende kumjibisha mwanaume.. Ukitaka akuheshimu Mfanye awe responsible kwa wewe kuwa responsible..
Sisi wanaume huwa tuna penda kuonekana tunaweza, ukimhold accountable mumeo bila kutoa sauti.. Atakuheshimu na kukupenda bila yeye kujua.
Kuwa na upendo usio na kutaka return, usimoe attention kirahisi, Usimjibishe akiongea shit, bali mhold accountable kwa maneno yake mwenyewe.
Heshima haikimbizwi, unakuwa earned
Cc binti kiziwi
Nimekuelewa.
Bless you🙏🙏