Wanawake wanapaswa kujua hakuna mkamilifu na mtu akulishae, akuvikae na kukupa mahitaji ni mtu bora sana katika maisha yako.Siku moja nikamwambia yaani nikulishe nikuvishe halafu bado unipayukie. Una akili timamu? Kipindi baba yako anakuhudumia uliweza kumpayukis kwa sababu amekosea?
○ Cha kwanza dada kuwa mjinga ndoa inatesa sana wajuaji.NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.
Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.
.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏
Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.
Asanteni🙏🙏
Hakuna mwanaume anayetaka na anayeweza kumtomba mkewe kila siku.Asante kaka mbalizi1
KIla point itazingatiwa ila hapo kwa chiu kuna mgogoro kidogo😁.
Anataka kila siku na mm kumpa kila siku siwezi.Kuna siku naona ni kero😃
Atani cheat?
Muheshimu na kumuamini kwa dhati sio maigizo.NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.
Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.
.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏
Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.
Asanteni🙏🙏
NItasema kweli daima.

Kua mtulivu tu , shiriki katika uzalishaji mali hata kwa mawazo tu.View attachment 3649849
Unataka kukaza na Mbususu 😅😅😅😅Mimi nipe mbususu kila siku tu kasoro ukiwa mwezini mengine yote achana nayo