DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
TUNATAKA HSEHIMA NA KUNYENYEKEWA TU Mengine nitayapata kwa bi mdogo pale sinza
My sweetestCandy sorry kama umejihisi kudharauliwa kwa bandiko hili ila ni imani yangu tu kuwa mwanaume ndie anayemjua mwanaume na kwa vile nawaamini kwa suala hili basi ni rahisi mimi kuwaamini wanachonishauri.prida mimi nimtu mzima tena mwanamke anayejua kila kitu so acha kusema wenzako vibaya hao wanaume watakubeza hapa ila kwamaana umetudharau good go ahead tupo hapa hapa hawawezi kuwaambia chochote cha kuku jenga
Makosa gani sasa Cocoh.😃Wanaume mnajibu wakati yeye hajataka kujitambua makosa yake.. Hataki wanawake tushauri ila naona anatatizo na Mr amechoka au anajuta. Huyu hata mumwambie nini yupo na udespo kwa kiwango kikubwa.. Ni tatizo kubwaaaa sana kwa mwanamke
Napita... 😁
Kwanini hutaki kufuatiliwa kaka?🤗Naongezea pia, usimfatilie mumeo hata kama una ndoa na yeye, usifatilie nyendo zake, kazi yako kubwa ni kumuombea kwa Mungu akupende na kukuthamini muda wote.
Makosa gani sasa Cocoh.😃
Sitafuti tiba.
Natafuta kinga.
Mr. wangu hajanichoka.
Hajuti.
I think uko right kwenye udespo😃😅😁.
I really love this man cocochanel.
I don wanna loose him.
I don wanna disappoint him.
He is so good that Im desparate kuhakikisha nalipa mema anayonifanyia na sidhani kama nitaweza kumlipa.
Ananipambania sana kwa namna nyingi siko tayari kumsononesha kwa vyovyote
Asante kaka nitafuata ushauri wako ila simu yake ananipaga mwenyewe na kasema hataki tuwe na usiri kwenye simu zetu..1. Kaa mbali na simu yake.
2. Usiwe na gubu na manung'uniko saa zote
3. Chakula kiwe on time na variances za kutosha.
4. Usitumie kipochi manyoya kama kigezo cha kumuadhibia ama nyenzo ya kupata unachotaka.
Asante kwa ushauri bro BK.Jiamini tu wewe km wewe usijitweze kuonyesha kama hutaki kurudi usingo maza.
Jambo moja tu mwanaume hapendi ni kuchapiwa.jiweke mbali hata na huyo alikuzalisha mwanzo.
Na najua atajileta tu akiona umepata mkombozi aloo hapo utaharibu.
Yaani ukiona analeta usengerema wake mshtaki kwa mumeo tena umsindikize mkampe kichapo pamoja
Sawa kaka.Naongezea pia, usimfatilie mumeo hata kama una ndoa na yeye, usifatilie nyendo zake, kazi yako kubwa ni kumuombea kwa Mungu akupende na kukuthamini muda wote.
ZingatiaMpe heshima mumeo, kuwa mtiifu kwake, epuka kumpigia kelele, lakini kubwa zaidi usimnyime chiu mumeo pasipo sababu zisizo na mashiko. Hakikisha amani inatawala ndani ya nyumba
ZingatiaLa kwanza ni kumsahau mzazi mwenzako,
Najua kwenye nyumba kuna migogoro mingi ila siku ukiteleza tu kwenye hilo, either kwa mamneno au matendo, ujue tayari umeharibu.
Mengine utaambiwa na wadau
Eee mengine yale yale.Nimetoka na kitu.
Fill the stomach empty the balls.
ZingatiaPrida,wanaume hawataki mambo mengi
1 Hakikisha unampa amani . Constant nagging inamfanya mwanaume ajiulize mara mbili ukifika muda wa kurudi nyumbani
2 Muheshimu kama kiongozi wa familia. Mambo yote tufanyayo wanaume huwa mwisho wa siku tunatarajia yatuletee heshima
3 Kuwa mwaminifu kwake,.Hii haihitaji mjadala sana.Kwetu sisi the ultimate betrayal ni wewe kugawa tunda kwa mwanaume mwingine.
Haya ni makubwa,kuna mengine wengine wataongezea.Ushauri huu unatoka kwa mwanandoa wa miaka zaidi ya 20
Basi labda simpi hadi akinai ndo mana anataka kila siku.Hakuna mwanaume anayetaka na anayeweza kumtomba mkewe kila siku.
Tatizo kubwa huwa linaanza pale ambapo inatokea mara mbili mara tatu nne hata Tano mumeo anakuhitaji mtombane halafu ww unatoa excuse ambayo hata huyo mume wako anaona dhahiri kuwa unamkwepa tu (yaweza kuwa kwasababu fulani fulani) . Jambo baya sana ni kufanya hivo kwa lengo la kumuadhibu / kumkomoa ambayo ni tabia wanawake wengi miongoni mwenu mmekuwa nayo tu kama asili.
Hakuna jambo linaumiza nafsi ya mwanaume kama kunyimwa uchi na mwanamke akijua fika hakuna sababu ya maana sana ya kufanya hivo, vinginevyo inavumilika. Ukishasema sasa hivi nimechoka tufanye baadaye au kesho, na ikajirudia tena na tena na tena huwa inakata morali kwa kiasi kikubwa sana.