Wanaume kwetu mambo muhimu sana ni:
-Uaminifu
-Heshima
-Utii
-Uwazi(kuwa muwazi)
-Kuwa mkweli
-Kuwa msiri(kutokutoa habari za ndani nje)
-Utayari anapohita(unless kuwa na sababu za msingi)
-Usafi(wako binafsi na kila kitu ndani na around the premises)
Hayo mengine sijui love, ucheshi blah blah ni kama kuongezea kachumbari tu.
🤝Mbaga Jr soma nilichoandika tena uelewe
Hakuna nilipoegemea popote kwenye nilipoandika na nimetumia neno KAMA!
Hivi kwanini siku hizi nakutana na comments za mihemko
Naanza kuamini ni kweli watumiaji wengi wa JF wanaingia humu wakiwa wamelewa
Kimsingi prida mwenye uzi kaelewa nilichomaanisha na kanijibu vile nilivyokuwa nimemaanisha
Kazi ipo 😂Hahahaha halafu wote anawazalia nyumbani kwao.
Huu ushauri usiuchukue dada mtoa mada, asikutoe kwenye reli, endelea kusikiliza wanaume.Si unaona huyu mwenzio kaanza kuharibu.Umeomba wanaume wakufunde lakini nakushauri tu kama binadamu mwenzio nisiyejali jinsia potelea pWEte
Huwezi kumplease mtu ambaye hadeserve kupliziwa, kama upo kwenye situation hii usikubali kunyanyasika eti kwasababu hutaki kurudi kuwa single mother
Nimeandika haya bila kujua how it feels kuwa single mother
Hahahaha, maramamaeKazi ipo 😂
Na asipozalia nyumbani, bc watalelewa nyumbani 😂
Kwa amani unayonipa na namna ninavyorudisha fadhila mwenyewe hutataka kunidaka na ukinidaka hutataka nijue umenidaka.na bado utachepuka
Wewe ni katako kakiparee usinifananishe na nuksi umeelewa mimi sina mtoto wa mtu ambaye hajanioa.Endeleeni kumpoteza mwenzenu ili muwe wengi kwenye kikundi chenu cha masingle mother wenye watoto watano watano.
1.Punguza MdomoNItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.
Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.
.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏
Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.
Asanteni🙏🙏
ngoja kwanza mzaz mwenzako yupo hai auNItasema kweli daima.

Vyote naweza ku deliver kasoro namba 4 tu ila nitajitahidi na uzuri haipo kwenye Nb yako.1.Kunyimwa uhuru kupita kiasi
2.Tunapenda utii na heshima
3.Kua msafi na mapishi uyajue
4.kua mbunifu kitandani
5.Elewa nyakati ,,kuna nyakati mwanaume anaweza akajikuta tu hataki ukaribu sana muelewe na tafuta suluhu ya kumsaidia.
6.HATUPENDI UMALAYA A.K.A KUCHAPIWA
7 .Penda ndugu zake
8.Acha tamaa na pesa yake usichukue bila ruhusa yake hata kama 100 hakikisha unakua muaminifu kwenye pesa wakati wote .
9.Mwisho jitahidi sana kuonesha njia ya Mungu hii itamfanya mtu wako akuheshimu zaidi na kuona unaleta baraka ndani hata mawazo mabaya yatpotea.
NB : 1,2,3,6,8 hakikisha hakikosekani hata kimoja...mengine yanavumilika ila sio hayo.