Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.

Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.

Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.

.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏

Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.

Asanteni🙏🙏
Darling kaka yako mimi natamani nikushauri mambo kadha wa kadha lakini najikuta nasitasita.

Nasitasita kwa sababu naturally Mwanamke ameumbwa kufuata rhythm ya Mume wake. Hasa kama amemwamini mumewe kwa moyo wake wote!.

Ili nisisitesite kukushauri namna ya kudumisha Furaha na Amani ya penzi lenu natamani kujua mambo yafuatayo kuhusu Shemeji;

1. Kiimani/Kiroho yeye ni mtu wa namna gani(Hapa ndipo penye siri kuu ya Sustainability ya Furaha,Umoja na Amani ya kweli and vice versa). Kumbuka nazungumzia hali yake Kiroho sio Kidini.

2. Kwao yeye ni wangapi kwa kuzaliwa?

3. Je,ni mambo yapi ambayo anayachukulia kwa uzito mkubwa zaidi kwenye maisha yake binafsi(Vipaumbele vyake)

4. Amekupendea nini?. Ni mambo yapi ambayo mara kwa mara anakusifia kwayo kuanzia muonekano wako,fikra zako mpaka tabia na mwenendo wako kwa ujumla?. Samahani naomba nijitolee mfano. Mke wangu Mimi anajua ni sehemu zipi za mwili wake zinazonisisimua zaidi kwa sababu muda mwingi napenda kuzitazama au kuzitomasatomasa😀

5. Marafiki wa karibu wa Mumeo ni watu aina gani?

Ukinijibu angalau hayo maswali yangu hapo juu kwa Uwazi na Ukweli utakuwa umeniondolea hali ya kusitasita,hivyo nami bila hiyana nitapata guts za kusema neno!
 
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.

Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.

Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.

.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏

Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.

Asanteni🙏🙏
Ingawa kwa kawaida binadamu tumeumbiwa kusahau, ni dhahiri kuwa ili kumu win-one mwanaume, hakutaki nguvu kubwa. Suala muhimu huwa ni kujitahidi kuachana na ubinafsi uliokithiri kwa ndugu zetu wanawake. Pia kupima maneno yanayotoka mdomoni mwako (kamdomo). Imagine mtu anasema ‘siwezi kuhifadhi takataka katika mwili wangu’! Au wanaume wote ni mbwa! Kama hivyo basi tuachane!

Unashauriwa ukiwa na hasira, usiandike au kujibizana na mpenzi wako.

Ni kujitahidi kupunguza ubinafsi uliokithiri na kamdomo.
 
Hatuna exactly tunachopenda. Inadepend na mood ya siku hiyo so kazi yako ni kujua kusoma majira ya kila siku asubui napotoka na jioni nikrudi.
Epuka maswali maswali hapo ni nyumban sio polisi.
Epuka kujitilisha vihuruma huruma vya ovyo.
Epuka ukali wa kijinga.
Usiwe na WIVU wowote maana umeolewa kwa hisani,haikuwa wajibu

Yote kwa Yote uwe mtundu jikoni,chakula safi hii ndiyo turufu ya mwisho kwa mwanaume
 
Yn upate mtoto wa kwanza uachwe, uwe single mother.

Upate mwanaume mwngn akuzalishe akukimbie uwe single mother tena 😂

Huu n umalaya 😂

Hata kama hao watoto n wa baba mmoja demu aliachwa akiwa na watoto wawili bado huo ni umalaya 😂
Hahahaha halafu wote anawazalia nyumbani kwao.
 
Kweli wanawake hampendani, mtoa mada ameona nyie wanawake ndio mnapoteza wanawake wenzanu, na ww umekuja kuthibitisha hilo.

Hivyo viburi vyenu kama hii kwenye comment yako ndio inawafanya muachwe singo maza

Mbaga Jr soma nilichoandika tena uelewe
Hakuna nilipoegemea popote kwenye nilipoandika na nimetumia neno KAMA!

Hivi kwanini siku hizi nakutana na comments za mihemko

Naanza kuamini ni kweli watumiaji wengi wa JF wanaingia humu wakiwa wamelewa

Kimsingi prida mwenye uzi kaelewa nilichomaanisha na kanijibu vile nilivyokuwa nimemaanisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom