Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Heshima ,Heshima , Punguza kelele, Epuka Kelele , Acha Kelele ,Mpe Peace of Mind , Acha Ujuaji unapokosea omba msamaha ,mwisho muombe Mungu kijana alone jitihada zako na kuziheshimu.
Asante nimekuelewa kaka🙏
 
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.

Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.

Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.

.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏

Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.

Asanteni🙏🙏
1. Desturi Ya Kufanya Ibada Kwa Mungu Wa Mbiguni Inaleta Raha ,Heshima, Mapenzi Ya Kweli, Malezi Bora.
Nasema Ibada ,Sio Dini.

2. Everything including viuno, mapishi, etc
 
Endeleeni kumpoteza mwenzenu ili muwe wengi kwenye kikundi chenu cha masingle mother wenye watoto watano watano.
Wee!
Si mpaka nikubali kupotezwa sasa.
Nilee watoto wawili peke yangu??
Kikombe hicho kiniepuka aisee!!
KIfo ndo kitanitenga na huyu baba ila sio uzembe wangu wa aina yeyote ile
 
Kua wewe ulivyo naimani ndio sababu ya yeye kukupenda ukitaka kua extra unaweza ukaharibu, kila mtu na chaguzi zake, unaweza kujifunza kumpigia goti kumbe yeye hapendi mambo hayo, jikubali, jiamini acha kua desperate hii dunia is not for a weak,

Wapende watoto/mtoto wako nyie wamama mkishapata wanaume wa "kuwastiri" mnatabia ya kubagua watoto waliowakuta nao ukiamini ndio unamfurahisha uliyenae matokeo mnaharibu watoto kisaikolojia au mnajitengenezea mahusiano mabaya na watoto wenu wakikua,

Hujataka ushauri wa makungwi ila nimekupa hivyo hivyo.
Kweli sijataka ushauri wa wanawake ila asante kwa kujali dear🙏🙏

Kuhusu kubagua mwanangu wa kwanza hicho kitu hakiwezekani.Nampenda sana kijana wangu.
Nitamfurahisha kwa mengi mengine ila sio kwa kubagua mwanangu.
Kwanza Mr. wangu alivyo na roho ya huruma atanichukia nikimfanyia hivyo mtoto.
 
Hakikisha unashukuru hata nikijamba TU,hiyo itaniongezea Hali ya kujiamini!

Wakati mwingine unanikumbusha nilipokutoa mbali huko sigimbi kwenye chumba kimoja na mlo mmoja!

Nikikukuna hata kimoja chali unaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku ukinipiga mgongonii ukisema "wewe ni mwamba kama ukuta wa yeriko usiotikisika!

Hakika situkuacha!

Lakini ukianza kulalamika na kupiga mayowe!hata nguvu za kiume zilizobaki zitayeyuka!

Wanawake wengi mmekua kama kiredio ni kukosolewa tu hata nikinunua gauni au dela mnakosoa kila kitu,wakati michepuko Inatusifia hata tukinunua fungu la mchicha!

Umesikia!!?
 
1. Desturi Ya Kufanya Ibada Kwa Mungu Wa Mbiguni Inaleta Raha ,Heshima, Mapenzi Ya Kweli, Malezi Bora.
Nasema Ibada ,Sio Dini.

2. Everything including viuno, mapishi, etc
Sawa.
Asante
 
Mpe, chakula, Chakula na staha; basi. Nyingine hizo mbwembwe tu.
 
Darling kaka wako mimi natamani nikushauri mambo kadha wa kadha lakini najikuta nasitasita.

Nasitasita kwa sababu naturally Mwanamke ameumbwa kufuata rhythm ya Mume wake. Hasa kama amemwamini mumewe kwa moyo wake wote!.

Ili nisisitesite kukushauri namna ya kudumisha Furaha na Amani ya penzi lenu natamani kujua mambo yafuatayo kuhusu Shemeji;

1. Kiimani/Kiroho yeye ni mtu wa namna gani(Hapa ndipo penye Siri kuu ya Sustainability ya Furaha,Umoja na Amani ya kweli and vice versa). Kumbuka nazungumzia hali yake Kiroho sio Kidini.

2. Kwao yeye ni wangapi kwa kuzaliwa?

3. Je,ni mambo yapi ambayo anayachukulia kwa uzito mkubwa zaidi kwenye maisha yake binafsi(Vipaumbele vyake)

4. Amekupendea nini?. Ni mambo yapi ambayo mara kwa mara anakusifia kwayo kuanzia muonekano wako,fikra zako mpaka tabia na mwenendo wako kwa ujumla?. Samahani naomba nijitolee mfano. Mke wangu Mimi anajua ni sehemu zipi za mwili wake zinazonisisimua zaidi kwa sababu muda mwingi napenda kuzitazama au kuzitomasatomasa😀

5. Marafiki wa karibu wa Mumeo ni watu aina gani?

Ukinijibu angalau hayo maswali yangu hapo juu kwa Uwazi na Ukweli utakuwa umeniondolea hali ya kusitasita,hivyo nami bila hiyana nitapata guts za kusema neno!
Asante my darling bro.
Naomba nisijibu maswali yako.
Barikiwa sana🙏🙏
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom