Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
Penzi jipya raha sana. Nyenyekea Binti angu, umeona mwenyewe mchuano huko nje na waume za watu ilivyo shida. Huyo ni chaguo lako , mkumbatie kwa heshima, na uchunge hasira na ulimi wako.
Nanyenyekea mpendwa.
Hakika ni chaguo sahihi la moyo wangu.
Tokea nimpate nalala na kuamka na ka smile.
Hata afya yangu imeimarika.
Siku hiz ni ngumu sana kukasirika na ulimi unatoa maneno mazuri mazuri tu hadi staff wangu wananong'ona eti nimetoka kuwa simba mkali mwenye hasira kila saa (stress) hadi kuwa mwanakondoo mpole mgumu kukasirika.So worry out kuhusu hasirana ulimi wangu.

Nb:Hivi hawa wanaosema eti med r dogs ni wazima kweli kichwani?
Mbona mm wanaume nakutana nao kuanzia baba watoto wangu,my ex na mume wangu huyu ni watu wema sana!!.

I LOVE MEN.
I can't imaging this world without them.
Wanatupambania sana masikini.๐ŸŒธ๐ŸŒบโค๏ธ
 
Hahaha dah. Let big Men answer you.
 
sisi ni mbwa mnasemaga
 
Baba wa mtoto au watoto yupo au kaishakufa kama yupo hatuna haja ya kukushauli kwani matatizo ndio yanaanziaga hapo
 
Baba wa mtoto au watoto yupo au kaishakufa kama yupo hatuna haja ya kukushauli kwani matatizo ndio yanaanziaga hapo
Yupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.
I love my husband.
I respect my baby daddy.
 
Yupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.
I love my husband.
I respect my baby daddy.
huyo baby Daddy akija kuomba tamu tamu usiteleze sasa
 
Hapo Kwa upande wangu itakuwa mgumu sijui wengine, maana haiwezekani nikufundishe jinsi ya kumfanyia mwanaume mwenzangu akupende wakati Mimi mwenyewe nakupenda, usitumie nguvu kubwa kumfanya mwanaume akupende, wewe mtafute akupendae tu maisha yaendelee, kama huyo kakuchoka njoo kwangu nikupetipeti na kukuspoil, ila tu ujue uko na mwenzio maana tayari Nina mke, sawa kipenzi changu
 
Yupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.
I love my husband.
I respect my baby daddy.
Nakuombeeni sana lakini nyinyi wanawake huwa ni swala la muda tu tena huwa mnaomba matumizi ya mtoto hali ya kuwa mume ulienae ndani anatimiza matumizi yote kwako na mtoto
 
Umenitamanisha hapo kwenye uke wenza.Hakuna maisha mazuri kama ya uke wenza ingekua sijakamatika kwa my golden husband ningekuja kwako unipende nikutii kipenzi changu.
 
Nakuombeeni sana lakini nyinyi wanawake huwa ni swala la muda tu tena huwa mnaomba matumizi ya mtoto hali ya kuwa mume ulienae ndani anatimiza matumizi yote kwako na mtoto
Asante kwa maombi.๐Ÿ™๐Ÿ™
Kuhusu suala la mtoto kuna kautaratibu kazuri tumejiwekea kwa amani ya kila mmoja wetu.
Barikiwa sana.
 
Achana nae huyo kichefuchefu wako Kwa nini uteseke njoo tufurahie maisha ya familia zakifalme
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ