Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Huyo mwenzako ana ushahidi usiotia shaka kwamba jamaa amemsaliti? Ikiwa amethibitisha basi amuulize taratibu kulikoni je ana mtu mwingine? Majibu atakayompa yatamwezesha kuchukua hatua zaidi ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha watu wa karibu kama wazazi ,walezi n.k . Jizue kuropoka hovyo utaikosa Haki yako hata kama ni kweli utaonekana mwenye tatizo ni wewe.
Housegirl wa jirani anadai ana mimba ya mumewe ila huyo kaka amekana.
Huyo housegirl anavyomstresisha mama wa watu.Akiwa huko kwao sometimes anajifanya kama anaongea na huyo baba utasikia "mume wangu mtoto leo anataka pizza".
Mama wa watu akisikia hivyo anawehuka.
 
Kwahiyo ndio umeamua kuja kunitangaza huku mtandaoni sababu ya huyu....🤔
downloadfile-2.png
 
Msaliti hua hasamehewi,haijalishi huyo msaliti ni wa jinsia gani,ukisha salitiwa unatakiwa uchukue maamuzi magumu ambayo huko mbeleni yatakupa amani,

Narudia tena Msaliti hua hasamehewi hata siku moja,

Trust is often compared to a fragile bond,
once shattered, the foundation of safety is gone and hard to rebuild.
You are very right bro but sadly hata akinisaliti simuachi coz nampenda sana ila nimemchimba mkwara mbusi kuwa siku nikijua kwa hakika kanisaliti haina mjadala na ndivyo anavyoamini hivyo so hata kama anachiti atakua anatumia akili sana😃.
 
Uliolewa ili uje kupigwa miti sasa unakataa nini basi kama huwezi acha atafute wa kukusaidia 😂 😂 😂 😂
 
Msaliti hua hasamehewi,haijalishi huyo msaliti ni wa jinsia gani,ukisha salitiwa unatakiwa uchukue maamuzi magumu ambayo huko mbeleni yatakupa amani,

Narudia tena Msaliti hua hasamehewi hata siku moja,

Trust is often compared to a fragile bond,
once shattered, the foundation of safety is gone and hard to rebuild.

Naunga mkono hoja, uko sahihi. Hakuna msamaha kwenye USALITI.
 
Mwanaume akisaliti, ukamsamehe baada ya yeye kuomba msamaha, basi ataendelea kusaliti.

Mwanaume akisaliti, ukaendelea kulalamika kila siku, atakukimbia moja kwa moja.

Ushauri: Mwanaume akisaliti muache, kafanye maisha yako. Hii ni kama sisi wanaume tunavyoacha bila kufikiria. Usidanganywe na stori za mwanaume kaumbiwa tamaa. Kumbuka, akili pia tunazo za kufanya maamuzi kuhusu tamaa hiyo.

Ukiamua kusamehe, samehe at your own risk

Hakika kabisaaa.
 
Mungu wangu!!

Mimi nitamuacha nikijiridhisha anampenda kwa dhati huyo alonisaliti nae.
 
Housegirl wa jirani anadai ana mimba ya mumewe ila huyo kaka amekana.
Huyo housegirl anavyomstresisha mama wa watu.Akiwa huko kwao sometimes anajifanya kama anaongea na huyo baba utasikia "mume wangu mtoto leo anataka pizza".
Mama wa watu akisikia hivyo anawehuka.

😂😂😂 hadi nimechekaaa, 😂😂😂😂
 
Mwanaume akisaliti, ukamsamehe baada ya yeye kuomba msamaha, basi ataendelea kusaliti.

Mwanaume akisaliti, ukaendelea kulalamika kila siku, atakukimbia moja kwa moja.

Ushauri: Mwanaume akisaliti muache, kafanye maisha yako. Hii ni kama sisi wanaume tunavyoacha bila kufikiria. Usidanganywe na stori za mwanaume kaumbiwa tamaa. Kumbuka, akili pia tunazo za kufanya maamuzi kuhusu tamaa hiyo.

Ukiamua kusamehe, samehe at your own risk
Mungu wangu!!

Mimi nitamuacha nikijiridhisha anampenda kwa dhati huyo alonisaliti nae
 
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.

Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.

Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.

Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.🙏🙏

Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.

Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.

Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.

Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?

Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.

Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?

NB;Sijasalitiwa.(bado)
Nakuonea wewe unafanania Kila kitu na Mke wangu.

Nyinyi ni wanawake ambao ni Wazuri na wema ila mnakua KERO kwa Mwanaume .

Nakushauri, Acha kufatilia Mwanaume , acha kuhangaika naye, Timiza wajib wako wa ndan, jifanyie mambo yako ya kazi , na zingatia familia yako ya nyumban.

Ukianza kufatilia sana Mwanaume, ndio unàmfanya nayeye azidi kuzingatia Michepuko ya njee maana wewe anakuchukulia kama Mtu wa KERO, unayempa Kelele.
 
Back
Top Bottom