Ukitaka kuishi kwa amani usiwaze kabisa kuhusu mambo ya kusalitiwa yaani usipoteze muda wako kuanza kumchunguza mpenzi wako yaani kwa mfano unaiba simu yake ili upekue meseji zake amechat na nani hiyo ni hatari sana kwa afya yako.Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.
Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.
Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.
Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.🙏🙏
Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.
Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.
Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.
Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?
Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.
Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?
NB;Sijasalitiwa.(bado)
Hapa ndo tatizo lilianza kulikuwa na sababu iliyofanya mpaka jamaa akawa anatoka na dada wa kazi...Housegirl wa jirani anadai ana mimba ya mumewe ila huyo kaka amekana.
Huyo housegirl anavyomstresisha mama wa watu.Akiwa huko kwao sometimes anajifanya kama anaongea na huyo baba utasikia "mume wangu mtoto leo anataka pizza".
Mama wa watu akisikia hivyo anawehuka.
Asante sana kaka yangu.Lakini kelele zinazosababishwa na mwanaume mwenyewe, akiwa ndie chanzo, hizo lazima upige kelele tena kwa sauti ya juu kabisa ilimradi majirani wasisikie.
Tatizo ambalo nalitengeneza mwenyewe siwezi kukerwa na matokeo yake, zaidi nitakuwa tayari nimeshajiandaa kisaikolojia kukabiliana nalo nikirudi nyumbani.
Kusalitiwa halafu unyamaze huo ni uzezeta.
Ila mkuu michepuko hata ya mbali haikubaliki maradhi mengi.Ukitaka kuishi kwa amani usiwaze kabisa kuhusu mambo ya kusalitiwa yaani usipoteze muda wako kuanza kumchunguza mpenzi wako yaani kwa mfano unaiba simu yake ili upekue meseji zake amechat na nani hiyo ni hatari sana kwa afya yako.
Wewe kuwa bize na shughuli zako ila ikitokea amevuka mipaka kiasi cha kufanya bila kificho kwa mfano awe anatembea na majirani zako wa karibu au wapangaji wenzako hapo sawa unaweza kukaa naye kikao kisha unamshauri kwamba tabia hiyo si nzuri anakuaibisha.
Note:
Unaambiwa kiumbe chochote kinachoitwa cha kiume huwa hakiridhiki na jike moja hata iweje au hata awe mlokole kiasi gani lazima kuna mahali ataingia vishawishi tu ila haimaanishi kuwa hakupendi hiyo ni asili tu ya mwanaume na hii ipo hata kwa wanyama na ndio maana wale wazee wa zamani walikuwa wanaoa hata wake 4 au 7 kisha wanatengeneza kama ufalme hivi walishaliona hilo jambo.
Acha hofu, jiamini.Najua tu siku yangu inakuja.
Tena hivi navompa deile sijui ndo naharakisha kukinahiwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nikupe siri? Kama huna courage ya kumwacha.....Basi usimchunguze/usimpelelezeMimi nitasamehe mwaya.
Coca nampenda huyu baba jamani😃
Kama unaupendo pamoja na hako katabia.Mi nna katabia kakumfatilia na nimeshindwa kukaacha😃
Sijui siku nikikutana na bomu sijui itakuaje na hili tumbo😃
Unaona sasa, ndio maana nmekuambia ,wewe ni mzuri ila kwa Mwanaume ambaye Umemuumba na kumzaa wewe yaan anakua vile unavyotaka.Mimi na mume wangu hatujafikia huko.
Kwanza ananisifiaga kuwa mimi ni mpole na mtulivu.
Mwanamke ambae amekuwa na experoence ya mahusiano kwa muda mrefu lazima ajue namna ya kuzichanga karata zake linapotokea jambo kama hilo.Asante sana kaka yangu.
Kwanza naamini mtu akikimbia kisa kelele juu ya makosa yake huyo atakua kapata sababu tu yakuondoka.
Hata hivyo maisha yakupigizana makelele kisa michepuko nayo sio maisha.
@