Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Unaona sasa, ndio maana nmekuambia ,wewe ni mzuri ila kwa Mwanaume ambaye Umemuumba na kumzaa wewe yaan anakua vile unavyotaka.
Honestly,hata sielewi unaongelea nini kaka yangu.
Nikushukuru tu kwa kujaribu kunishaur.
Barikiwa sanašŸ™šŸ™
 
Ila mkuu michepuko hata ya mbali haikubaliki maradhi mengi.

Pia mbona huyu ananihakikishia kabisa kuwa hawezi kuwa na wanawake wawli.Anaapa kabisa eti labda tuachane ndo atakuwa na mwanamke mwingine.Au ananipanga😃
Wanaume wote huwa tunaongea hivyo ila kuna mazingira fulani hutokea tunapata vishawishi na kusahau ahadi tulizozitoa kwa wapenzi wetu.
Wewe mwenyewe unaelewa staili zenu za mitego mkitaka kumnasa mwanaume shetani huwa anaingilia kati kisha tunajisemea moyoni"acha nichepuke kwa huyu tu mmoja atakuwa wa mwisho baada ya hapo sichepuki tena,nitafanya siri wife hawezi kujua" kisha baadae tunanogewa kamchezo kanaendelea hadi tunakamatika.
 
Dada angu nakuombea amani ndani ya mji wako na upendo utamalaki, you deserve it. Una sifa za wife material wengi tunaemtaka.. kwa sasa focus iwe kwa uncle wetu anaekuja.. usijipe mzigo wa kuwaza probability 4 now cheza part yako kwa ufanisi na kama nafsi inakusukuma kuchunguza chunguza tu mana wanawake mna intuition Kali ni haki yako ila fanya haya baada ya kutuletea anko wetu. Kila la kheri.

Digital hugs šŸ«‚
 
Mwanamke ambae amekuwa na experoence ya mahusiano kwa muda mrefu lazima ajue namna ya kuzichanga karata zake linapotokea jambo kama hilo.

Kuna factors za kufanyia kazi kabla hujaamua what to do next.

- Tabia ya kiujumla ya mwenzio; huwa anaonekana vipi akiwa nawe wakati mwingi wa mahusiano yenu, Je, ni mapepe wa kutazama wanawake mtaani au kuwasifia kila unapokuwa nae?

Kama jibu ni yes, uamuzi uko juu yako mwenyewe, kuna magonjwa siku hizi.

Lakini kama jibu ni hapana, hiyo inaweza kuwa ni bahati mbaya tu, tumeumbiwa makosa hakuna aliyekamilika kati yetu, so usichukulie kosa moja la mwenzio kama ndivyo alivyo uamue kumchinjia baharini.

Kwa nje piga kelele za kutosha kwa kosa alilofanya, hizo zitatosha kumuamsha aache utoto, lakini kwa ndani jua tu hili litapita maisha yetu yataendelea, hatuwezi kutenganishwa na ajali ya barabarani.

- Kama anaonekana kujutia kosa lake, hili utalithibitisha kama ukianza kulakamika muda mwingi atakuwa kimya, akiwa kimya ujue anajuta kwa alichofanya, lakini kama atakuwa na ujasiri wa kujibu, tena majibu yakiwa hayaridhishi, mpe kama siku mbili au tatu halafu umuone msimamo wake ukoje, kama bado ukiwa ule wa majibu ya kijinga, jiongeze.

NB. Vipindi anavyopitia mwanamke vinaweza kumfanya mwenzie akatoka nje, hasa nyakati za uzazi. Mwanaume hapo humuona mwanamke kama kiumbe flani kisichotaka kusumbuliwa.
Waliosalitiana ni majirani zetu ila nimejiweka kwenye nafasi ya mwanamke mwenzangu nikaumia sana.

Kuhusu Mume wangu kuonyesha mapepe ya kutazama au kusifia ke wengine akiwa na mimi hapana.Kwanza anajua huwa nampiga ka side eye na yeye anajifanya hana habari tena ndo atajitia kunishika mkono ila najua akiwa mwenyewe anatizama sana pisi kali😃.

So far,sijawahi kumkamata wala kumuhisi na ukweli ninaombea hata kama anafanya nisijue tu coz roho itaniuma sana.

Hapo kwenye nyakati za uzazi umenirusha roho ila tutavuka salama tu
 
Wanaume wote huwa tunaongea hivyo ila kuna mazingira fulani hutokea tunapata vishawishi na kusahau ahadi tulizozitoa kwa wapenzi wetu.
Wewe mwenyewe unaelewa staili zenu za mitego mkitaka kumnasa mwanaume shetani huwa anaingilia kati kisha tunajisemea moyoni"acha nichepuke kwa huyu tu mmoja atakuwa wa mwisho baada ya hapo sichepuki tena,nitafanya siri wife hawezi kujua" kisha baadae tunanogewa kamchezo kanaendelea hadi tunakamatika.
😭😭😭
Naomba nisimkamate
 
Dada angu nakuombea amani ndani ya mji wako na upendo utamalaki, you deserve it. Una sifa za wife material wengi tunaemtaka.. kwa sasa focus iwe kwa uncle wetu anaekuja.. usijipe mzigo wa kuwaza probability 4 now cheza part yako kwa ufanisi na kama nafsi inakusukuma kuchunguza chunguza tu mana wanawake mna intuition Kali ni haki yako ila fanya haya baada ya kutuletea anko wetu. Kila la kheri.

Digital hugs šŸ«‚
Asante.
Nimekuelewa.
Barikiwa sana kaka akešŸ™šŸ™
 
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.

Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.

Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.

Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.šŸ™šŸ™

Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.

Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.

Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.

Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?

Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.

Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?

NB;Sijasalitiwa.(bado)

Ushauri wangu:

Amini hatoki nje ya ndoa, na usiweke hayo mawazo, Huku ukiendelea kumpa mambo mazuri.
 
Anza kwa kutomuwazia mabaya mwenzio.
Ni rahisi sana ukiwaza jambo baya likatokea tofauti na kuwaza jambo jema.

Usimfuatilie, sisi wanaume ukitufuatilia ndio inakua kama umetupaka asali kila mwanamke anatutaka.

Lakini kama hutufuatilii, hata tukichepuka huwa tunajishtukia na kujihukumu wenyewe na huwa tunajirekebisha wenyewe kimya kimya huku tukijuta.

Ukitupigia makelele hata kama kweli tumechepuka huwa tunatunga uongo tuonekane unatusingizia, uongo huo hutujaa akilini na kuamini tunaonewa na mwisho tunakuwa wakali na hapo penzi litayumba tu.

Uzoefu wangu, wanaofanikiwa kudumu muda mrefu ni wale wasio ruhusu fikra mbaya dhidi ya wenzao.

Mwisho, usije kuthubutu kujaribu kufuamnia hasa kwa macho yako, hutamkomoa mwenza wako ila hutakuja kupona kamwe hayo maumivu. Bora kuachana pasipo kufumania endapo utajiridhisha kwa matendo yake kuliko kutafuta uthibitisho - utakulamba mwenyewe hasa kama una mapenzi ya dhati kwa huyo mwenza wako.

Uliza kama kuna swali??

Hayo ni maoni yangu, chukua kama yatakufaa.
 
Kuchepuka ni tabia ya mtu na mtu!

Pia mazingira Huwa yanashawishi kuiomba!

Lakini mwanamme anaechepuka au kuwa na uhakika kuipata nje ni hazina ya mahusiano yenu!!!!?

Kweli,vile huna mood au upo period wakati mwingine mambo hayaendi halafu wanawake kama maua wanatamanisha sana kupita nao sometimes ni asili!

Cha msingi je Bado anakuhudumia!!?Bado ni baba mwema nyumbani!!?kama anafanya hivyo Hilo ndilo la msingi kuliko chochote kile!!!

Bora umwambie atumie condoms kuliko kumchunga kama mnyama!focus na mazuriyake na sio gubu la mahusiano yake ya nje!utaumiza kichwa bure!!!

Kama halali nje,anahudumia huyo ndio wako mkombozi alieteuliwa na Mungu kukuvusha!!

Sisi wanaume sio waya wa kukunjwa vyovyote vile mtakavyo,ni wagumu na tunataka muishi na sisi katika boundary tunayotaka cha msingi kama tunahudumia TU!!

Punguza matarajio!!

Ukilipa kisasi,ukaanza makelele,sisi tutampa leseni ya kuondoka kwako na kuanza maisha mengine!!

FOCUS KWENYE MAZURI NA SIO KUFUNYUA MAISHA YAKE YA NJE AMBAYO HAYAKUSAIDII WALA KUKUPA PESA WALA FAIDA!!
 
Kabisa.
Kuishi ukiamini husalitiwi kunaleta furaha na amani moyoni.
 
Hakuna namna sahihi ya kumshauri mtu achukue reaction ipi pale anapokutana na jambo fulani, liwe la kumpa furaha au huzuni.

Mara nyingi reaction ya mtu huwa inatokana na mood yake kwa wakati huo yaani ni sawasawa na kumuuliza mwanaume ata-react vipi pale atapomkuta mwanamke wake na mwanaume mwingine kwenye kitanda chake, hapa mara nyingi uamuzi unakuja kutokana na mood ya mhusika kwa wakati huo.

Turudi kwako:

Kila kitu unachokiona kinatokea sio kwamba kimeamua chenyewe kuwepo uhalisia ni kuwa kitu hicho kilishapangwa kuwa hivyo na ilikuwa ni lazima kiwe hivyo sasa kama ukweli ni huu kwanini uanze kuumia wakati kitu kilishapangwa kitakuwa na kwa hakika ni kuwa wewe huna namna ya kuzuia kisitokee?

Sina maana nyingine ya kuegamia sana zaidi ya kumaanisha kuwa ikiwa kuna kitu huwezi kuki-control usisumbuke nacho kabisa.

"Achana na kushindana na mwanaume fanya maisha yako lakini kumbuka afya yako ni muhimu sana maana mwanaume anaweza kukununia kwa muda lakini kengere zake zikishagonga huku chini anamkumbuka kibonde wake"

Nimeenda.
 
Asante sana.
Yamenifaa.šŸ™šŸ™
 
Asante kwa hekima hizi japo sisi bado pepo la uchepuko halijatuvamia na kila kitu kipo sawa.šŸ™
 
Hakuna namna sahihi ya kumshauri mtu achukue reaction ipi pale anapokutana na jambo fulani, liwe la kumpa furaha au huzuni.

Mara nyingi reaction ya mtu huwa inatokana na mood yake kwa wakati huo yaani ni sawasawa na kumuuliza mwanaume ata-react vipi pale atapomkuta mwanamke wake na mwanaume mwingine kwenye kitanda chake, hapa mara nyingi uamuzi unakuja kutokana na mood ya mhusika kwa wakati huo.

Turudi kwako:

Kila kitu unachokiona kinatokea sio kwamba kimeamua chenyewe kuwepo uhalisia ni kuwa kitu hicho kilishapangwa kuwa hivyo na ilikuwa ni lazima kiwe hivyo sasa kama ukweli ni huu kwanini uanze kuumia wakati kitu kilishapangwa kitakuwa na kwa hakika ni kuwa wewe huna namna ya kuzuia kisitokee?

Sina maana nyingine ya kuegamia sana zaidi ya kumaanisha kuwa ikiwa kuna kitu huwezi kuki-control usisumbuke nacho kabisa.

"Achana na kushindana na mwanaume fanya maisha yako lakini kumbuka afya yako ni muhimu sana maana mwanaume anaweza kukununia kwa muda lakini kengere zake zikishagonga huku chini anamkumbuka kibonde wake"

Nimeenda.
Barikiwa sanašŸ™
 
Namsikia Mr wangu anaingia huko na akirudigi huwa siingii mitandaoni.
See you kesho.
Asanteni kwa ushauri.
Mbarikiwe sana.šŸ™šŸ™šŸ™
 
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.

Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.

Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.

Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.šŸ™šŸ™

Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.

Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.

Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.

Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?

Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.

Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?

NB;Sijasalitiwa.(bado)
Usimfatilie Mwanaume Wala Kumu hoji hoji Maswali,

Onesha upendo utii wa kweli na Onesha kuwa na Amani Wakati Wote, jishushe Wakati Wote (sio kinafiki) na ujishuhulishe na Kazi zingine Ndogo Ndogo

NB.
Usi Cheat
 
Waliosalitiana ni majirani zetu ila nimejiweka kwenye nafasi ya mwanamke mwenzangu nikaumia sana.

Kuhusu Mume wangu kuonyesha mapepe ya kutazama au kusifia ke wengine akiwa na mimi hapana.Kwanza anajua huwa nampiga ka side eye na yeye anajifanya hana habari tena ndo atajitia kunishika mkono ila najua akiwa mwenyewe anatizama sana pisi kali😃.

So far,sijawahi kumkamata wala kumuhisi na ukweli ninaombea hata kama anafanya nisijue tu coz roho itaniuma sana.

Hapo kwenye nyakati za uzazi umenirusha roho ila tutavuka salama tu
Take it easy.
 
Back
Top Bottom