Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Keku ni nn lakiiini keku.... Mburaaaaaaaa ndrrrrrrooooo hivyo babanguuuu cc secretarybird
Hii mada ni ngumu sana.Mkuu mbona nilivyoomba nifanyaje nisirudie u singo maza hamkusema nisubiri hadi niachwe?
Mbona kama mnakwepa hii mada😃
Ndroo hivyo etii!Keku ni nn lakiiini keku.... Mburaaaaaaaa ndrrrrrrooooo hivyo babanguuuu cc secretarybird
Ndrrrrrrooooo hivyo babanguuuu kwelyiiiiiiiiiiihNdroo hivyo etii!
Mpe binti ushauri mkuu.Ndrrrrrrooooo hivyo babanguuuu kwelyiiiiiiiiiiih
Inabidi kesho tuona..... Tuonane
Arudi kwao oldmoshi akapike mbege kutwa na mapenzi km kaachwaMpe binti ushauri mkuu.
😂Awe anauza mbege, right?Arudi kwao oldmoshi akapike mbege kutwa na mapenzi km kaachwa
Anakuwa kishoiya bhn 😆😂Awe anauza mbege, right?
Haujasalitiwa bado siyo?...kwanza hujue hamna mwanaume anakuwaga na mwanamke mmoja labda awe hana hela au ana mapungufu fulani ila kuna wataalamu wa kucheat (smart)huwezi kugundua kwa hiyo kama ndoa inaenda fresh tulia usitake kuchunguzachunguzaKwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.
Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.
Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.
Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.🙏🙏
Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.
Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.
Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.
Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?
Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.
Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?
NB;Sijasalitiwa.(bado)
🤣🤣🤣🤣Anakuwa kishoiya bhn 😆
I saw a very handsome man today. Nyie kuna watu wazuri kweli MUNGU fundi.halafu wanawake kama maua wanatamanisha sana kupita nao sometimes ni asili!
"Now Absalom was praised as the most handsome man in all Israel. He was flawless from head to foot."I saw a very handsome man today. Nyie kuna watu wazuri kweli MUNGU fundi.
Halafu yuko kama hajui vile, achana na wale wanakaa kukenuakenua 24/7 utafkiri anafanya tangazo la colgate. Plus usafi kupitiliza.
Kuna watu ni kama ma model by nature. He just has to stand still and he could pass for a campaign for a luxury brand.
Inabidi wapiga picha na wapaka makeup waamue wasimguse sana wasiharibu kazi ya Mungu 😭
"Joseph was a very handsome and well-built young man""Now Absalom was praised as the most handsome man in all Israel. He was flawless from head to foot."
2Samwel.14.25.NLT
Damn, actually it wasn't a Joseph, it was a David 😭😭"Joseph was a very handsome and well-built young man"
Genesis.39.6b.NLT
I saw a Joseph today 😭😭
Sisi sio wajingaNiwe mkweli sipendi mizagamuo😭
Kama kweli unamheshimu mmeo huwezi kumfumania, kwa lugha nyingine tunaweza kusema kwamba huyo mwanamke alionyesha kiwango kikubwa sana cha dharau kwa mme wake.huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.