Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Oh women of JF! ! ! Who's man was that that I saw? ?

"My lover is dark and dazzling, better than ten thousand others!

His head
is finest gold, his wavy hair is black as a raven.

His eyes sparkle like doves beside springs of water; they are set like jewels washed in milk.

His cheeks are like gardens of spices giving off fragrance. His lips are like lilies, perfumed with myrrh.

His arms are like rounded bars of gold, set with beryl.

His body is like bright ivory, glowing with lapis lazuli.

His legs are like marble pillars set in sockets of finest gold.

His posture is stately, like the noble cedars of Lebanon.

His mouth is sweetness itself; he is desirable in every way.

Such, O women of Jerusalem,
is my lover, my friend."
SongOfSolomon.5.10-16.NLT
 
I hope hii ni chai maana kama ni ukweli inahuzunisha yaani. Yaani mtu uwe na fikra za kujidogodesha kwa binadamu mwenzio kwa kiwango hicho kiasi cha kuacha kuzingatia furaha yako na amani yako ya moyo. Huo utumwa Mungu niepushie yaani mtu avunje kiapo cha ndoa halafu niwe mpole, labda kama yeye kashikilia uhai wangu.
 
Housegirl wa jirani anadai ana mimba ya mumewe ila huyo kaka amekana.
Huyo housegirl anavyomstresisha mama wa watu.Akiwa huko kwao sometimes anajifanya kama anaongea na huyo baba utasikia "mume wangu mtoto leo anataka pizza".
Mama wa watu akisikia hivyo anawehuka.
Awe makini mahasidi ni wengi asije kuvunja ndoa yake kwa maneno ya uzushi. Binadamu sisi ni hatarii kuliko hata mnyama wa porini.
 
Mumeo akikuchiti anakua amekukosea sana. Hilo halina mjadala. Kuhusu kama utaamuua kuendelea naye au kumuacha huo unapaswa kuwa ni uamuzi binafsi. Utapima mwenyewe utaamua kama ni sahihi kuendelea naye au kuachana naye. Usiige mtu. Kusamehe kwa sisi Wakristo ni wajibu. Ila kusamehe haimaanishi lazima uendelee kuwa naye huyo msaliti.
 
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.

Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.

Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.

Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.🙏🙏

Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.

Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.

Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.

Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?

Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.

Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?

NB;Sijasalitiwa.(bado)
hongera Nusura
 
chana na wale wanakaa kukenuakenua 24/7 utafkiri anafanya tangazo la colgate. Plus usafi kupitiliza.
kukenua (smiling):-just a cover of intestinal sucking parasite deep in him,it can be sorrow,things not clicking the way it should etc,just a cover understand!

Usafi kupitiliza(smartness):-thats all he have to show to the community,to him it's the gentleman's relish just like bright coloured feathers of 🍹!

At least you should be gifted to know people!

People who smile much are the one who have much problems to cover!
People who are smart always are the one they feel their past not superior!!

Some times you can develop feelings to somebody and think that way but deeply there's no a space for you coz the guy is congested much congested to have a space for you to bed in!!!!!
 
Usimfatilie Mwanaume Wala Kumu hoji hoji Maswali,

Onesha upendo utii wa kweli na Onesha kuwa na Amani Wakati Wote, jishushe Wakati Wote (sio kinafiki) na ujishuhulishe na Kazi zingine Ndogo Ndogo

NB.
Usi Cheat
Sawa.
🙏🙏
 
kukenua (smiling):-just a cover of intestinal sucking parasite deep in him,it can be sorrow,things not clicking the way it should etc,just a cover understand!

Usafi kupitiliza(smartness):-thats all he have to show to the community,to him it's the gentleman's relish just like bright coloured feathers of 🍹!

At least you should be gifted to know people!

People who smile much are the one who have much problems to cover!
People who are smart always are the one they feel their past not superior!!

Some times you can develop feelings to somebody and think that way but deeply there's no a space for you coz the guy is congested much congested to have a space for you to bed in!!!!!
 
I hope hii ni chai maana kama ni ukweli inahuzunisha yaani. Yaani mtu uwe na fikra za kujidogodesha kwa binadamu mwenzio kwa kiwango hicho kiasi cha kuacha kuzingatia furaha yako na amani yako ya moyo. Huo utumwa Mungu niepushie yaani mtu avunje kiapo cha ndoa halafu niwe mpole, labda kama yeye kashikilia uhai wangu.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom