Oh women of JF! ! ! Who's man was that that I saw? ?
"My lover is dark and dazzling, better than ten thousand others!
His head is finest gold, his wavy hair is black as a raven.
His eyes sparkle like doves beside springs of water; they are set like jewels washed in milk.
His cheeks are like gardens of spices giving off fragrance. His lips are like lilies, perfumed with myrrh.
His arms are like rounded bars of gold, set with beryl.
His body is like bright ivory, glowing with lapis lazuli.
His legs are like marble pillars set in sockets of finest gold.
His posture is stately, like the noble cedars of Lebanon.
His mouth is sweetness itself; he is desirable in every way.
Such, O women of Jerusalem, is my lover, my friend."
SongOfSolomon.5.10-16.NLT
Amen🙏🙏🙏
Naombea tu visitokee.
Maradhi mengi.
Nikizeeka nae nitakua moja ya vibibi vyenye furaha hapa duniani.
Kwamba Mungu atuepushie hayo maswahibu Prida.Vipi binti
Kuwa akichit sitamuacha wala sio chai ni kweli hakika na ninamaanisha.I hope hii ni chai maana kama ni ukweli inahuzunisha yaani. Yaani mtu uwe na fikra za kujidogodesha kwa binadamu mwenzio kwa kiwango hicho kiasi cha kuacha kuzingatia furaha yako na amani yako ya moyo. Huo utumwa Mungu niepushie yaani mtu avunje kiapo cha ndoa halafu niwe mpole, labda kama yeye kashikilia uhai wangu.
Kuhusu huyo jirani na housegirl mwenye mimba sio uzushi coz huyo kaka mwanzo alikua anakana ila sasa hv anaishi na huyo ex housegirl.Awe makini mahasidi ni wengi asije kuvunja ndoa yake kwa maneno ya uzushi. Binadamu sisi ni hatarii kuliko hata mnyama wa porini.
Ni kweli mkuu ni kosa kubwa,baya na linalohatarisha afya na hakuna mwanamke anatamani limkute.Mumeo akikuchiti anakua amekukosea sana. Hilo halina mjadala. Kuhusu kama utaamuua kuendelea naye au kumuacha huo unapaswa kuwa ni uamuzi binafsi. Utapima mwenyewe utaamua kama ni sahihi kuendelea naye au kuachana naye. Usiige mtu. Kusamehe kwa sisi Wakristo ni wajibu. Ila kusamehe haimaanishi lazima uendelee kuwa naye huyo msaliti.
Hakika luv.Kwamba Mungu atuepushie hayo maswahibu Prida.
Nina kawaida ya kutokumuangalia mtu kwa jicho lile lile ikitokea akafanya jambo fulani kwangu au kwa mwingine…. Same principle naitumia kwenye mahusiano, so ili kujilinda na hili mimi sijawahi na siwezi mfuatilia mtu.
Kwenye story za vijiweni na mashosti huwa nawaambiaga mi sijawahi kuchitiwa, nikimaanisha sijawahi kufahamu kuhusu hilo wala kulitafuta.
Nasema tena Mungu atuepushie sababu kuna watu hawakuyatafuta, yaliwafuata nyumbani.
Ni mtihani sanaUkijua anakuchiti dawa yake mpuuze ongeza kumjali wala hata usimuulize ila mfanye ajue umejua kuwa anakuchiti then utaona kitakachotokea anajishusha then baadaye akijifanya amesahau mkumbushe.
Kama anakupenda kweli atakufanya ujione wa pekee
usaliti hauna msamaha
Hakika luv.
Inabidi niache tabia yangu ya upekenyuzi coz wanasema usilolijua halikuumizi.
Anyway,mabalaa haya yatuepuke tu.
Sawa ntaacha upekenyuzi mkuu.Msikilize sana binti kiziwi hasa kwenye huo ushauri wake. Haongei kitu asichokijua, mimi ni shahidi wake tunaweza kusimama mbele ya katuuuga.
Nimefurahi mimi na wewe tunamtizamo mmoja, kasoro moja tu, wewe ni theory mimi ni practical.
Acha nirudi kufuatilia kesi ya TAL
😂😂😂😂 Nimecheka sana, kweli kwa Katuga tutasimama kwa confidence kabisa.Msikilize sana binti kiziwi hasa kwenye huo ushauri wake. Haongei kitu asichokijua, mimi ni shahidi wake tunaweza kusimama mbele ya katuuuga.
Nimefurahi mimi na wewe tunamtizamo mmoja, kasoro moja tu, wewe ni theory mimi ni practical.
Acha nirudi kufuatilia kesi ya TAL
Apo ndio Unakuwa na Maamuzi ya aina Mbili na unatakiwa kuchagua MojaI hope hii ni chai maana kama ni ukweli inahuzunisha yaani. Yaani mtu uwe na fikra za kujidogodesha kwa binadamu mwenzio kwa kiwango hicho kiasi cha kuacha kuzingatia furaha yako na amani yako ya moyo. Huo utumwa Mungu niepushie yaani mtu avunje kiapo cha ndoa halafu niwe mpole, labda kama yeye kashikilia uhai wangu.