Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Apo ndio Unakuwa na Maamuzi ya aina Mbili na unatakiwa kuchagua Moja
Kuvunja Ndoa Yako au Kukubali Kuelewana na Mmewako,

NB:
Mwanamke mpumbavu atakimbilia Kuvunja Ndoa.
Mkuu,mwanaume ambaye hajatulia maana yake ataniletea magonjwa na kwenye afya yangu kiukweli sifanyi utani. Mimi nimetulia mtu aniletee magonjwa? NO NEVER, hayo magonjwa nikayatafute mwenyewe sio niletewe. Nitachagua afya kuliko kitu chochote hata ikibidi kuliko ndoa. Nikiletewa UKIMWI hiyo ndoa itaniponesha? nikiletewa syphilis hiyo ndoa itanipunguzia maumivu ya lile lisindano lao yaani niliona mtu anachomwa anataja hadi majina ya mababu zake? . Ni heri nionekane mjinga au mpumbavu ni sawa lakini sio kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hajatulia. Afya yangu ya kiroho,kiakili na kimwili ndio kipaumbele na ndo itakuwa kipaumbele milele. Ambao watavumilia wenyewe ni sawa waendelee tu kuvumilia waume ambao hawajatulia,mimi sivumilii.
 
Kuwa akichit sitamuacha wala sio chai ni kweli hakika na ninamaanisha.
Nafahamu njia sahihi apaswayo kuifuata mtu aliyesalitiwa ni kuachana ila mimi nimeamua ikitokea hivyo nitachagua njia mnayoiona sio sahihi, hiyo unayoiita kujidogoisha,yaani KUTOMUACHA na kama ni utumwa acha niingie kwa list ya binadamu walioishi kama watumwa hapa duniani.

Kuhusu furaha na amani ukweli ni kwamba Iam a very very veeery happy woman.Furaha anayonipa mume wangu hakuna pesa inaweza ilipia.

Asante kwa mtazamo wako.
Barikiwa🙏🙏
Maamuzi yako yaheshimiwe mkuu, kila mtu ana haki ya kuamua apasavyo cha muhimu tusivunje sheria. Mwenyezi azidi kuwapa ndoa yenye furaha siku zote na awaepushie mabalaa.
Barikiwa zaidiiiii.
 
Ukitaka kujua zaidi karibu tuangalie "Twisted Affairs"channel namba 102 Azam two....
Kwa ushauri zaidi
 
Mkuu,mwanaume ambaye hajatulia maana yake ataniletea magonjwa na kwenye afya yangu kiukweli sifanyi utani. Mimi nimetulia mtu aniletee magonjwa? NO NEVER, hayo magonjwa nikayatafute mwenyewe sio niletewe. Nitachagua afya kuliko kitu chochote hata ikibidi kuliko ndoa. Nikiletewa UKIMWI hiyo ndoa itaniponesha? nikiletewa syphilis hiyo ndoa itanipunguzia maumivu ya lile lisindano lao yaani niliona mtu anachomwa anataja hadi majina ya mababu zake? . Ni heri nionekane mjinga au mpumbavu ni sawa lakini sio kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hajatulia. Afya yangu ya kiroho,kiakili na kimwili ndio kipaumbele na ndo itakuwa kipaumbele milele. Ambao watavumilia wenyewe ni sawa waendelee tu kuvumilia waume ambao hawajatulia,mimi sivumilii.
Mwanamke una nafasi Kubwa ya kumuweka Mwanaume Jinsi unavyo taka,

Lakini Kwa unyenyekevu na utii wa Hali ya juu(sio Kwa kujifanya unajua sana maishs)

Yani unacho takiwa kujua ukiona Mwanaume anatoka nje ya familia yake na anakuwa na Amani Kabisa ujue Kwa mwanamke wake Kuna Kitu hakipo sawa,

Ndio maana kwenye ndoa mwanamke anatakiwa kuwa na Akili Sana ili ndoa idumu.
 
Mkuu,kuchepuka ni uamuzi wa mtu. Kuna watu huwa wanajitoa kwa wenzi wao hadi kujimaliza lakini wenzi wao bado sio waaminifu. Mimi kwakweli kama huyo mwanaume anaona sijafika viwango anavyovitaka kiasi kwamba anahitaji kutoka nje,anambie tu safari yetu ivunjike ili aende kwa yule anayefikisha viwango anavyovitaka yeye. Kwangu mimi ndoa ni all or nothing, ni aidha tupo kwenye ndoa miguu yote au hatupo. Mambo ya tupo kwenye ndoa halafu anaenda kwa wengine hiyo sio ndoa tena ni biashara huria,mimi hicho chama cha biashara huria sitaki kujiunga. Kama anaona sifiki viwango vyake, kama anaona simpi amani,kama anaona mimi sio mke bora, anambie mi nipishe ili awe na yule anayefikia viwango vyake na kumpa amani tena awe nae kwa uhuru sio kwa kujifichaficha maana michepuko huwa inafichwa.
Ndoa zina matatizo sio kila siku ni furaha lakini suluhisho la matatizo sio michepuko, kama tunakoseana tunaongea tunasuluhisha,ikifika hatua matatizo ni magumu hadi inabidi mtu atoke nje basi hakuna ndoa hapo.
 
Tulia fatilia taratibu utakuja kugundua Kila Kitu kina Sababu,

Usipo kubadi utaendelea ivyo ivyo Kwa Kila Mwanaume Wengine utahisi tu wanakucheat utakosa Amani nao utawaacha mwisho wa siku utazeeka alafu UTAJUTA,

Ndio maana nimekwambia mwanamke unatakiwa kuwa na Akili maana unaweza mtengeneze mme wako Jinsi unavyo taka wewe na asitengeneze Mazingira Kwa mwanamke mwingine,

Lakini Kwa Nidhamu na utii wa Hali ya juu.
 
Nizeeke na kujuta? I am married mkuu tena ndoa yenye furaha na amani ila huo ndo msimamo wangu na utakuwa msimamo wangu milele.
Kama kuna tatizo tuzungumze tusuluhishe,,tukishindwa kusuluhisha tuombe msaada kwa ambao tutaona wanaweza kutupa msaada eg wazazi au viongozi wa dini na ikibidi wataalam wa saikolojia wanaofahamu hayo masuala kwa undani. Tukishindwa basi kila mtu apite hivii. Ni aidha tupo ndani miguu yote au hatupo,mambo ya mguu nje mguu ndani NO.
 
Akili ipo kwenye Kutafuta suluhu

Lakini Jaribu kufanya Kitu kimoja maengineer tunaita PM (Preventative Mantainance) unasafisha Kila dalili inayo weza kusababisha Tatizo likatokea.
 
Hayo tunafanya mkuu maana tusingependa tufike stage ya kuwaita wageni watusaidie kusuluhisha matatizo yetu na nashukuru Mungu hatujawahi kufikia hatua hiyo. Yoyote kati yetu akiwa anahisi kuna kitu hakipo sawa anaongea na mwenzie. Wazungu wanasema" communication is key"..
Mi ndio maana nashangaa watu wanaohalalisha mtu kutoka nje ya ndoa kisa mwenzie ana tatizo fulani, kwanini msiongee? Kwanini msisuluhishe? .Kuvunja uaminifu hakusuluhishi matatizo yaliyopo bali kunachochea moto. Kama tatizo halisuluhishiki basi kila mtu aaangalie ustaarabu wake.
 
Tulia fatilia taratibu utakuja kugundua Kila Kitu kina Sababu,

Usipo kubadi utaendelea ivyo ivyo Kwa Kila Mwanaume Wengine utahisi tu wanakucheat utakosa Amani nao utawaacha mwisho wa siku utazeeka alafu UTAJUTA,

Ndio maana nimekwambia mwanamke unatakiwa kuwa na Akili maana unaweza mtengeneze mme wako Jinsi unavyo taka wewe na asitengeneze Mazingira Kwa mwanamke mwingine,

Lakini Kwa Nidhamu na utii wa Hali ya juu.
Kuchepuka ni maamuzi wala msitafute sababu. Kama wazazi wenu hawakuwatengeneza kuwa na nidhamu na heshima kwa watu wote, hakuna kitu mkeo atafanya kikabadili kitu. Usitafute sababu za kujustify tabia zako mbaya kupitia mkeo.

Kwanini wewe kama unaona mkeo hayuko ktk mstari ule unaotaka awe usimtengeneze ila unaamua kuchepuka?
 
Mkuu,mwanaume ambaye hajatulia maana yake ataniletea magonjwa na kwenye afya yangu kiukweli sifanyi utani. Mimi nimetulia mtu aniletee magonjwa? NO NEVER, hayo magonjwa nikayatafute mwenyewe sio niletewe. Nitachagua afya kuliko kitu chochote hata ikibidi kuliko ndoa. Nikiletewa UKIMWI hiyo ndoa itaniponesha? nikiletewa syphilis hiyo ndoa itanipunguzia maumivu ya lile lisindano lao yaani niliona mtu anachomwa anataja hadi majina ya mababu zake? . Ni heri nionekane mjinga au mpumbavu ni sawa lakini sio kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hajatulia. Afya yangu ya kiroho,kiakili na kimwili ndio kipaumbele na ndo itakuwa kipaumbele milele. Ambao watavumilia wenyewe ni sawa waendelee tu kuvumilia waume ambao hawajatulia,mimi sivumilii.
KWANI UTAJUA??

AU PAKIKUCHA NDO UNABAKI UNADUWAA..
 
Kwanza niwashukuru kaka zangu kwa ushauri mzuri mlonipa kwenye uzi wangu kuikataa misri ya u singo maza.

Pili naomba niwape mrejesho au matokeo mazuri ya ushauri wenu.Yote mlonishauri ambayo ni HESHIMA,KUTUNZA AMANI,UPOLE na UNYENYEKEVU tayari vilikua vinatamalaki nyumbani kwetu kasoro kimoja.KUTOA MBUSUSU BILA KUSUASUA.

Niwe mkweli sipendi mizagamuo😭.
Sio kama sinogewi ila huwa natamanigi zile siku za ovulation au siku nyingine mara chache so mizagamuo ya mara kwa mara ni kero kwangu jambo ambalo lilifanya mume wangu awe analalamika sana.

Hata hivyo,baada ya kuona kaka zangu wote mkihimiza kugawa kila inqpohitajika nikaiona hatari nikaamua kubadilika na sasa natoa as much as posipo na sisubiri anianze.Naona kaanza ku glow kwa furaha na mood nzuri kila siku.Naona kazidi na kunipenta.Vijizawadi kama vyote..
ASANTENI SANA.🙏🙏

Sasa tuachane na hayo.
Mimi leo naomba kuwauliza na mnijibu bila upendeleo.

Kaka zangu,mlinihimiza sana kuwa hampendi MAKELELE.
Mnapenda mkirudi nyumbani nyumba iwe na AMANI na UTULIVU.

Sasa naomba mniambie.
Ikitokea nimejua kwa hakika kuwa mume wangu ananisaliti na hasira,uchungu na huzuni vitanitamalakia.

Je,nyie katika serikali yenu isiyotaka makelele na gubu huku ikihitaji amani na utulivu ili penzi lidumu mna muongozo gani wa reaction sahihi ya vipi mwanamke anapaswa kuwakablii pale anapowakamata katika maufuska yenu?

Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.

Hivi kweli umenisaliti halafu utegemee niendelee kuwa kwenye peacefully love mood?

NB;Sijasalitiwa.(bado)
Ili uweze kuwa salama kwa upande wako chukua ufahamu huu

Ukisema umuache kisa kakucheat
Utabadilisha sana wanaume ilimladi wewe ni mama mwenye nyumba tulia na mumewe ata kama ana cheat ongea naye kwa upole kwamba ufurahishwi na tabia yake na Mungu yupo juu ana tazama usaliti wake .
 
Ukisalitiwa utarudi na majibu sahihi my dear, kwa sasa enjoy to the fullest
Mpe yoteeee usisahau kufinyia kwa ndani kama tulivyoelekezana kwenye vikao
 
Maswala ya ndoa au mahusiano ya watu ya kimapenzi ni ngumu kushauri sana na changamoto zake huwa hazifanani kila mahusiano yana challenge zake, utashauriwa hili litaibuka lingine cha msingi wewe ndiyo unaemjua mwenza wako anataka nini anapenda nini ,ana reactije wakati wa ugomvi,utashauriwa na kila mtu lakini hutakua na suluhu ya kudumu maana miluzi mingi humchanganya mbwa,muwe na utaratibu wa kuzungumza kila mtu aweke hoja zake anapenda nini na anachukia nini,na usaliti ukitokea usikae kimya muyazungumze msiguge changamoto
 
Back
Top Bottom