Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
Nlkushauri uzi wa mwanzo,sikiliza kwa Makini:
Usaliti hauvunji ndoa
Kukosekana kwa penzi ndio kunavunja ndoa
Usaliti hauvunji ndoa
Kukosekana kwa penzi ndio kunavunja ndoa
Amba kindo mshikiNasicha mbuya
Nizeeke na kujuta? I am married mkuu tena ndoa yenye furaha na amani ila huo ndo msimamo wangu na utakuwa msimamo wangu milele.
Kama kuna tatizo tuzungumze tusuluhishe,,tukishindwa kusuluhisha tuombe msaada kwa ambao tutaona wanaweza kutupa msaada eg wazazi au viongozi wa dini na ikibidi wataalam wa saikolojia wanaofahamu hayo masuala kwa undani. Tukishindwa basi kila mtu apite hivii. Ni aidha tupo ndani miguu yote au hatupo,mambo ya mguu nje mguu ndani NO.
Hahahaha mburaaaaaaaa ndrrrrrrooooo hivyo mamaaaaanguHamshoii buana niliwazingua tu
Jamii yetu ishahalalisha unyanyasaji wa mwanamke na cha kusikitisha hadi sisi wanawake mioyoni mwetu hizo fikra za kukubali kunyanyaswa zimetukaa. Kuna watu hadi leo hii waume zao wanawapiga na bado jamii inawaambia wavumilie hivyo vipigo kwahiyo wewe kama mwanamke usipojipambania utaongezeka kwenye orodha ya wanawake waliokufa kabla ya wakati kisa kung'ang'ania ndoa isiyo na furaha.System imetumanipulate sana, ndio maana hata mtoa mada anajiona yeye ndio anaweza kusababisha mwenzake achepuke. Hivyo anapaswa kuhangaika na kuhakikisha mwenzake hachepuki. Anasahau kuwa hawa huwa hawatafuti sababu, likitokea si atajiua huyu🤣
Usaliti maana yake upendo ushakufa hapo. Hivi yaani uwe unampenda mtu,mawazo ya kuwa na mtu mwingine unatoa wapi?Nlkushauri uzi wa mwanzo,sikiliza kwa Makini:
Usaliti hauvunji ndoa
Kukosekana kwa penzi ndio kunavunja ndoa
Sometimes hawa viumbe wanachit pasi ya sababu yeyote zaidi ya tamaa za mwili tu.Hayo tunafanya mkuu maana tusingependa tufike stage ya kuwaita wageni watusaidie kusuluhisha matatizo yetu na nashukuru Mungu hatujawahi kufikia hatua hiyo. Yoyote kati yetu akiwa anahisi kuna kitu hakipo sawa anaongea na mwenzie. Wazungu wanasema" communication is key"..
Mi ndio maana nashangaa watu wanaohalalisha mtu kutoka nje ya ndoa kisa mwenzie ana tatizo fulani, kwanini msiongee? Kwanini msisuluhishe? .Kuvunja uaminifu hakusuluhishi matatizo yaliyopo bali kunachochea moto. Kama tatizo halisuluhishiki basi kila mtu aaangalie ustaarabu wake.
Kuchepuka ni maamuzi wala msitafute sababu. Kama wazazi wenu hawakuwatengeneza kuwa na nidhamu na heshima kwa watu wote, hakuna kitu mkeo atafanya kikabadili kitu. Usitafute sababu za kujustify tabia zako mbaya kupitia mkeo.
Kwanini wewe kama unaona mkeo hayuko ktk mstari ule unaotaka awe usimtengeneze ila unaamua kuchepuka?
Sawa mkuu.Ili uweze kuwa salama kwa upande wako chukua ufahamu huu
Ukisema umuache kisa kakucheat
Utabadilisha sana wanaume ilimladi wewe ni mama mwenye nyumba tulia na mumewe ata kama ana cheat ongea naye kwa upole kwamba ufurahishwi na tabia yake na Mungu yupo juu ana tazama usaliti wake .
acha kuweka upendo na tamaa kama kapu mojaUsaliti maana yake upendo ushakufa hapo. Hivi yaani uwe unampenda mtu,mawazo ya kuwa na mtu mwingine unatoa wapi?
Sawa mkuu.Maswala ya ndoa au mahusiano ya watu ya kimapenzi ni ngumu kushauri sana na changamoto zake huwa hazifanani kila mahusiano yana challenge zake, utashauriwa hili litaibuka lingine cha msingi wewe ndiyo unaemjua mwenza wako anataka nini anapenda nini ,ana reactije wakati wa ugomvi,utashauriwa na kila mtu lakini hutakua na suluhu ya kudumu maana miluzi mingi humchanganya mbwa,muwe na utaratibu wa kuzungumza kila mtu aweke hoja zake anapenda nini na anachukia nini,na usaliti ukitokea usikae kimya muyazungumze msiguge changamoto