Wewe ukisalitiwa utaweza kuuliza kwa upole?Ukiniuliza kwa upole na utulivu na ushahidi ukaonyesha bila kutoa hukumu hiyo ni zaidi ya adhabu na itakuwa na matokeo mazuri kuliko ugomvi.
Mimi ni mwanaume. Nitachukua hatua za kiume ambazo kwa mujibu wangu nikukuacha papo hapo. Sasa kama na wewe ni mwanaume fuata msimamo huu.Wewe ukisalitiwa utaweza kuuliza kwa upole?
Au mnatuonq sisi kama maroboti?
Hatuna hasira hatuna huzuni??
Wanawake huku Afrika wanachukuliwa kama maroboti my dear,hata wakikatwa mapanga na waume zao hawaruhusiwi kuumia bali wanatakiwa kuendelea kuwa wapole. Kama ambavyo kwenye historia wanawake weusi kule Marekani walikuwa hawapewi ganzi na madaktari weupe enzi hizo kwa sababu hao madaktari waliamini wanawake weusi hawaumii kwahiyo hata kupasuliwa bila ganzi ni sawa. Na huku kwetu ndo hivyo,inaaminika sisi wanawake hatuna maumivu,hatuna mioyo wala hisia,hata tukitendewa ubaya gani tuendelee kuwa wapole. Ila wao wanaume kwa sababu wana mioyo,hisia na maumivu ni sahihi kuumia na kukasirika kama wake zao wakiwatendea mabaya. Upo nyonyo??Wewe ukisalitiwa utaweza kuuliza kwa upole?
Au mnatuonq sisi kama maroboti?
Hatuna hasira hatuna huzuni??
Huo msimamo hauna jinsia.Mimi nimesema mume wangu akichit simuachi sio kwa sababu mimi ni mwanamke kwani wapo wanaume pia ambao wake zao wamechit na wamechagua kuendelea nao.Mimi ni mwanaume. Nitachukua hatua za kiume ambazo kwa mujibu wangu nikukuacha papo hapo. Sasa kama na wewe ni mwanaume fuata msimamo huu.
Nipo titi.Wanawake huku Afrika wanachukuliwa kama maroboti my dear,hata wakikatwa mapanga na waume zao hawaruhusiwi kuumia bali wanatakiwa kuendelea kuwa wapole. Kama ambavyo kwenye historia wanawake weusi kule Marekani walikuwa hawapewi ganzi na madaktari weupe enzi hizo kwa sababu hao madaktari waliamini wanawake weusi hawaumii kwahiyo hata kupasuliwa bila ganzi ni sawa. Na huku kwetu ndo hivyo,inaaminika sisi wanawake hatuna maumivu,hatuna mioyo wala hisia,hata tukitendewa ubaya gani tuendelee kuwa wapole. Ila wao wanaume kwa sababu wana mioyo,hisia na maumivu ni sahihi kuumia na kukasirika kama wake zao wakiwatendea mabaya. Upo nyonyo??
Mume akikupenda mbona unakuwa mpole automatically maana unakuwa unajiskia raha isiyoelezeka. Yaani mume akikupenda hauhitaji kukumbushwa na mistari ya Biblia enyi wake watiini waume zenu,yaani utii unakuja automatically tena unaflow kiulainii. Lakini kama mtu anakutendea mambo mabaya,unakuwa hauna amani na hauwezi kuwa mpole wala mtiifu maana unakuwa unajihisi haupo salama. Sasa nani anaweza kuwa mpole sehemu ambayo hajihisi yupo salama??.Nipo titi.
Upole unatamalaki kama mazingira yakuwa mpole yatadumishwa.
Kama Yesu akitibuliwa hasira zinampanda anatifua tifua meza hlf mm unichit nisiwe na hasira.
Ujue hii mada nimewauliza hawa wanaume makusudi.Wanataka tuwe wqpole na wiifu ila mara nyingi wao ndo hutubadilisha kutoka mwqnakondoo hadi jibwa mwitu libwekalo na ndo mana hii mada wameikwepa.
Niseme ukweli,mimi ni mpole na mtiifu kwa mume wangu na ananisifia sana kwa hilo ila asichojua yeye ndo kafanya niwe hivi kwa kunipa amani ya moyo ndo mana nimesema akichit simuach coz ni mwaminifu kwangu ila akirudia/endeleza nitajua imekua tabia nitasepa.
Na hiyo mara ya kwanza atakayochit nitahakikisha kapitia maumivu makali ya kisaikolojia na kama kweli ananipenda kama ninavyoamini basi hatarudia tena huo ushenzi.Sitapigizana nae kelele wala nini ila atajuta kuchepuka.
Kabisa dear.Mume akikupenda mbona unakuwa mpole automatically maana unakuwa unajiskia raha isiyoelezeka. Yaani mume akikupenda hauhitaji kukumbushwa na mistari ya Biblia enyi wake watiini waume zenu,yaani utii unakuja automatically tena unaflow kiulainii. Lakini kama mtu anakutendea mambo mabaya,unakuwa hauna amani na hauwezi kuwa mpole wala mtiifu maana unakuwa unajihisi haupo salama. Sasa nani anaweza kuwa mpole sehemu ambayo hajihisi yupo salama??.
AMEENPtuuu!
Kweli kabisa mkuu!.
Acha niifurahie leo nzuri kuliko kuiharibu kwa kuhofia kuwa kesho inaweza kuwa mbaya.
unamkumbusha tu kistaarabu yakua kinga ni mhimuInikute nikiwa sijajua mkuu,sio nione janga linakuja halafu niendelee kutulia.