Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Kaka zangu nimekuja tena kwenu kuomba ushauri wenu kwa habari ya kusalitiwa/Cheating

Katika ndoa moja : Sisi tunapenda tukikusaliti ulie Kwa uchungu wa majuto na utambue kwamba kukusaliti ni kukupa fursa ya kujirekebisha au kunihukumu, either kutambua mim sio mtu sahihi, au ukubali mapungufu yako na ubadilike but either ways hua sio tendo la bahati mbaya ni ishara ya incompatibility kati yenu.Ila matokeo ya usaliti ndio Jambo la msingi na lanakuja Katika namna mbili pekee na sio vinginevyo.

1. Uamue kuondoka na kuanza maisha yako.
2. Uamue kunisamehe na usiwahi kufuatilia mienendo yangu milele

Huruma sio malezi
 
Tulia na acha ya nje

Hujui anashida gani huyo rafiki yako

Huenda yeye ndo chanzo cha mumewe kumsaliti
 
Nimeandika haya baada ya kushuhudia mbeijing mwenzangu akiwa kamkamata mumewe na mchepuko ikawa analalamika sana.Malalamiko yalivyozidi baba yule akahamia mazima kwa mchepuko huku akijitetea kuwa kakimbia makelele ya wife wake nyumbani.
Utavuka Daraja utakapolifikia, Kwanini uwe na haraka ya kujua uta react vipi kwenye vitu negative?

Focus na Positive issues na Mume wako, sio kila story ya mapenzi unayosikia unaifanyia relation na mahusiano yako.

Dunia sio Chafu, ila huwa ni Chafu endapo focus yako itazingatia kutazama Uchafu, na lazima utauona.

Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.

USHAURI: Reaction hutegemea na mazingira uliyomkuta, wakati lilipotokea, mood ya hio siku, kiasi cha upendo ulichonacho kwake kwa wakati huo, namna atakavyokujibu, usafi wa nafsi yako kwake n.k.
 
Beyonce mwenyewe alichitiwa ila hadi leo yuko na Jay wake halafu who are you mimi ndo nimuache mwanaume wangu ninayempenda kisa gumegume lilojirahisisha huko😃😃.
🙄
 
Nakuonea wewe unafanania Kila kitu na Mke wangu.

Nyinyi ni wanawake ambao ni Wazuri na wema ila mnakua KERO kwa Mwanaume .


Nakushauri, Acha kufatilia Mwanaume , acha kuhangaika naye, Timiza wajib wako wa ndan, jifanyie mambo yako ya kazi , na zingatia familia yako ya nyumban.

Ukianza kufatilia sana Mwanaume, ndio unàmfanya nayeye azidi kuzingatia Michepuko ya njee maana wewe anakuchukulia kama Mtu wa KERO, unayempa Kelele.
Mimi na mume wangu hatujafikia huko.
Kwanza ananisifiaga kuwa mimi ni mpole na mtulivu.
 
Katika ndoa moja : Sisi tunapenda tukikusaliti ulie Kwa uchungu wa majuto na utambue kwamba kukusaliti ni kukupa fursa ya kujirekebisha au kunihukumu, either kutambua mim sio mtu sahihi, au ukubali mapungufu yako na ubadilike but either ways hua sio tendo la bahati mbaya ni ishara ya incompatibility kati yenu.Ila matokeo ya usaliti ndio Jambo la msingi na lanakuja Katika namna mbili pekee na sio vinginevyo.

1. Uamue kuondoka na kuanza maisha yako.
2. Uamue kunisamehe na usiwahi kufuatilia mienendo yangu milele

Huruma sio malezi
Sawa mkuu
 
Utavuka Daraja utakapolifikia, Kwanini uwe na haraka ya kujua uta react vipi kwenye vitu negative?

Focus na Positive issues na Mume wako, sio kila story ya mapenzi unayosikia unaifanyia relation na mahusiano yako.

Dunia sio Chafu, ila huwa ni Chafu endapo focus yako itazingatia kutazama Uchafu, na lazima utauona.

Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.

USHAURI: Reaction hutegemea na mazingira uliyomkuta, wakati lilipotokea, mood ya hio siku, kiasi cha upendo ulichonacho kwake kwa wakati huo, namna atakavyokujibu, usafi wa nafsi yako kwake n.k.
Mkuu una hekima sana.
Barikiwa
 
Kelele zisizo na msingi ndizo zisizo hitajika, kelele za vitu visogo visivyokuwa na maana, umekerea na bosi wako kazini unaleta makelele nyumbani huo ndio ujinga usiotakiwa ndani ya nyumba na mwanaume.

Mambo mengine ambayo yalishawahi kutokea kati ya wawili yakajadiliwa yakapita, ajabu baada ya muda tena unayaamsha bila sababu ya msingi. hizo ndizo kelele zisizotakiwa.

Lakini kelele zinazosababishwa na mwanaume mwenyewe, akiwa ndie chanzo, hizo lazima upige kelele tena kwa sauti ya juu kabisa ilimradi majirani wasisikie.

Tatizo ambalo nalitengeneza mwenyewe siwezi kukerwa na matokeo yake, zaidi nitakuwa tayari nimeshajiandaa kisaikolojia kukabiliana nalo nikirudi nyumbani.

Kusalitiwa halafu unyamaze huo ni uzezeta.
 
Back
Top Bottom