Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mkuu uapeche alolo na begi la Biowang vina uhusiano gani?

Begi la Biowang linaficha mengi mkuu ikiwemo kuwa apeche alolo[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Akili za wanawake bhana
Yaani hata begi unawaza mtu abebe begi Ili apendeze,mna akili za KIWAKI sana asee,

mabegi Kwa kweli yanarahisisha harakati na ubebaji wa vitu ,na Kwa wastan wa kipato cha vijana Hizo BIOWANG na MARCELLO ndo wanamudu,lakini pia swala la muonekano Kwa mwanaume aliye serious na maisha halinaga kipaumbele kwakweli,

Kwa experience yangu ya kuwafahamu watu,mtu akiweka sana kipaumbele kwenye Kupendeza kimavazi wengi wao huwa wanaficha udhaifu Fulani,ukikaa nao ndo unajua kumbe hizi suti hamna kitu kbsa.
 
Ha haaaaaaa mnatusingizia sio kweli kabisa..
Ahh kuna cha kubisha hapo, hizo pochi si ni dressing table assistant πŸ˜„πŸ˜„. Kinachonifurahisha zaidi utakuta umepewa documents Ila bado utaibeba bahasha na pochi mikono tofauti
 
Kuna kitu anakitafuta huyu anatudis wanaume sana siku ya leo.. nafikiri ushajua nini kinamsibu bag haiwezi kuwa sababu..[emoji23]
[emoji1][emoji1]Ukiona hivyo ujue kuna mfarisayo mmoja mbeba marcello kashaharibu kazi huko! Tumsamehe bure tu
 
Aah kupendeza imo,mbona mnachagua nguo nzuri za kuvaa?na finishing mmalizie vizuri...
 
Tunabeba humo tindo, vyundo, msumeno, pima maji au kobero kama unaijua, tepu....nk, maji ya kunywa, nguo za kubadilisha tukishafika site....sisi wajenzi popote kambi, lakini pia unapotuona town hasa nyakati za asubuhi tunasambaza CV.
 
[emoji1][emoji1]Ukiona hivyo ujue kuna mfarisayo mmoja mbeba marcello kashaharibu kazi huko! Tumsamehe bure tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huu uzushi Ni wa kuupuzia.....Ni nyinyi ndio mnaharibu Mambo na Marcello zenu
 
Wanawekaga Boxer chafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], uwez amini nilishuhudia baro baro mmoja aliangusha begi wakati huo liko wazi, aiseee boxer chafu ilichoropoka toka kwenye uvungu wa begi mpaka chini [emoji1787][emoji1787] jamaa akaiomota haraka haraka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunabeba humo tindo, vyundo, msumeno, pima maji au kobero kama unaijua, tepu....nk, maji ya kunywa, nguo za kubadilisha tukishafika site....sisi wajenzi popote kambi, lakini pia unapotuona town hasa nyakati za asubuhi tunasambaza CV.
Wewe Sina shida kabisa na wewe Kaka!Tena Nyie ndio walengwa wa hayo mabegi,na mmkuwa na desturi ya kuyabeba mabegi tangu kitambo Kabla ya Biowang!tatizo hao wanaoenda ofisini na mashati Yao yamenyoooka wakitua begi shati halitamaniki kwa mikunjo..
 
Ha haaaaaaa kumbe ndio hivyo!huwa natamani kujua wameweka nini humo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzushi Ni wa kuupuzia.....Ni nyinyi ndio mnaharibu Mambo na Marcello zenu
[emoji1][emoji1][emoji1]Marcello mbona zimekaa poa tu, pia ni nafuu tofauti na mabegi mengine!
 
[emoji1][emoji1][emoji1]Marcello mbona zimekaa poa tu, pia ni nafuu tofauti na mabegi mengine!
Dah!huyu designer kapiga Sana pesa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…