Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

😂😂😂😂😂Sasa mkuu uapeche alolo na begi la Biowang vina uhusiano gani?
Apeche alolo ni kufulia, asa begi la laptop unalosuggest ni 50k na ushee ama nikigalaliza kwa mm mtaalamu wa kupata best price ni 40k... What do u expect!?... Lakini sisi waganga njaa hyo tunachukua kwa 15k kariakoo tena huku kichwani tunawaza kuficha umasikini.

Wakishua hawawezi relate, otherwise you are one tu
 
Sawa nimeelewa... kumbe issues ni price yake!sasa nimeelewa. Nilikuwa nafikiri yanauzwa 35 au 40,kumbe 15 unapata,ndio maana yamebebwa sana!
 
Nkikodolea macho pochi yako halafu nna sweat na nko kwenye daladala si utaniona kibaka!?.. mbaya zaidi kwenye dala za kwenda sinza kupitia tandale na nkashukia tandale pale mtaaani kwetu uzuri
Mhm hapo lazima nikumbatie pochi!Uzuri tena
 
Hata sisi mawigi yenu machafu tunawavumilia kuangalia haiwezekan mwezi mzima majina hayagusi kichwa

Makeup sana tunachukia basi pale kati ndo shida Ila kiukweli ni kama ushamba tu

Mtuache na mabeg yetu nyie bebeni kanga na vipi tenge
 
Jamani najua mko poa!

Hivi siku hizi kila Kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni,hayo mabebi Ni makubwaa Sana,na yamekaa kishamba shamba hivi,mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello,yaani unakuta mkaka mzuri,msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni,hivi mnawekaga nini humo jamaniiiiiiii?

Itoshe kusema tu hayawapendezi,mnaharibu Sana muonekano wenu na hayo ma Biowang mnakuwa Kama mmetoka Mbwinde bwana....hata Kama Ni laptops tafuteni mabegi mazuri,kwanza wengine hamna hata laptops Kuna makaratasi tu humo,Basi tu Tanzania likizuka Jambo basi Ni nongwa Kama wadada na vijora....
Acheni kumtajirisha Biowang na Marcello.
Asante kwa kuelewa
Mimi ninalo la ponasoo!
 
Akifungua pochi na kukupatia chochote wala hutaona ushamba wa bag lake
 
Eti mkaka mzuri?!!.. yaan we muda wote unaendekeza mapenz.. tuko kwenye harakat na mabag wew unaleta mamno ya muonekano.. mtu hana hata 100 muonekano utatoka wap..

Yale mabag yamebeba ving.. unakuta kuna kiporo cha wali humo.. maji.. miswaki. Dawa za meno.. boksa.. kwamba popote kambi.. sasa mim nisibebe bag kisa muonekano

Hahahha.. povu utafkir nabebaga bas hayo mabag.. teehtehteh

Hili ni povu la sabuni ya maji[emoji23][emoji23][emoji23]
 
uwa nikipita sehemu nanunua matunda naweka.
mizigo yangu.
Na kisu kipo kea ajili ya matunda.
Nalipenda begi langu maana uwa linawachanganya watu hawwjui nabeba nini.
Bibi uwa ananiambia "wewe isije hicho kibegi uwa unauza bangi.lete nifungue nione umebeba Nini'
Yaani kila siku anatamani ajue kwenye begi nabeba nini
We usije ukawa unaweka mabeto humo ya show show!
 
Back
Top Bottom