Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msema kweli mpenzi wa Mungu,Hilo sijui kwa kweli!Ila inawezekana kwa asimilia nyingi Sana coz Kuna viwanda vingi vya kichina vinafanya kazi hapa,viatu vingi vya kike vinatengenezwa hapa so hawawezi kushindwa kutengeneza begiNilisikia tetesi zinatengenezwa hapa hapa bongo na wachina kariakoo. Sijui ni kweli au laah
Pochi kubwa ila halina hata nauli yani
Kwani hayo siyo portable? Umeona tunayaburuza?Nunueni begi portable bwana
😂😂😂😂Hili dongo la bahasha na pochi mikono tofauti limepenyaaa...utasema umeniona..huwa tunaogopa kuchafua bahasha na lipsticks ikifunguka bahati mbaya na pochi zetu siku hizi ndogondogoAhh kuna cha kubisha hapo, hizo pochi si ni dressing table assistant 😄😄. Kinachonifurahisha zaidi utakuta umepewa documents Ila bado utaibeba bahasha na pochi mikono tofauti
Mmmh Sasa unafichaga mkate wa lunch mle au linafichaje umaskini?au ndio Kama mdau mmoja kasema kikontena Cha ubwabwa?
Kuna laptop na adaptor yake, kuna Biblia kubwa, kuna kitabu kimoja cha maarifa cha kila mwezi, kuna note book.Huwa mnaoneka yamewalemea,mnachoka Sana...haki badilisha tu utaona nafuu
Cattigo Biblia kubwa unaenda nayo kazini ya nini?kwa nini usiamke nyumbani ukatafakari katika kabla hujaondoka?wewe muda wa kusoma kitabu cha maarifa na Bible na kazi za kwenye laptop Unaupata wapi?wewe utakuwa unapenda tu mizigoKuna laptop na adaptor yake, kuna Biblia kubwa, kuna kitabu kimoja cha maarifa cha kila mwezi, kuna note book.
Kweli tuweke hivi vyote kwenye mkoba Johannah?
Yaani hata nikishuka kwenye gari naingia ofisini najiskia nimebeba kitu.
Ila hapa umeongea kitu very sensitive sana,nikiweka maskhara pembeni serikali imeamua kutesa watu wenye kipato kidogo huko posta. sio Kilauea mtu ana afford kula kule migahawani kwenye mabei.... dah hapo nitaakuvumilia tu na Biowang lako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]si unajua njaa ya mjini posta ukiongezea hamna vibanda vya mama ntilie ni tabu tupu
Rays jamaniii!mbona haipo siku hizi😂.... sasa na wa ofisini wameshayarukia kaka ni hatari na nusuUkitaka kujua mabegi angalia mabasi ya Goba na Tegeta na wanaopanda na mabegi wananukia mafuta ya Rays. Wengi wao ni mafundi ujenzi utakutana nao mara nyingi wakitoka site. Ukweli mabegi ni kero sana kwenye usafiri wa umma.
Najua hakuna YOLANDA ila Rays yapo. Ushamba tu unatembea mgongo umebeba mzigo. Kuigaiga tu.Rays jamaniii!mbona haipo siku hizi[emoji23].... sasa na wa ofisini wameshayarukia kaka ni hatari na nusu
Nina manage kuvitumia vyote kila siku na kila kimoja kikaingia sehemu yake katika ubongo na moyo!Cattigo Biblia kubwa unaenda nayo kazini ya nini?kwa nini usiamke nyumbani ukatafakari katika kabla hujaondoka?wewe muda wa kusoma kitabu cha maarifa na Bible na kazi za kwenye laptop Unaupata wapi?wewe utakuwa unapenda tu mizigo
Ila hapa umeongea kitu very sensitive sana,nikiweka maskhara pembeni serikali imeamua kutesa watu wenye kipato kidogo huko posta. sio Kilauea mtu ana afford kula kule migahawani kwenye mabei.... dah hapo nitaakuvumilia tu na Biowang lako
Eeeeeeh!wewe ndio wale watu wamekaa kimyaaa ofisini?basically una? uwezo mkubwaNina manage kuvitumia vyote kila siku na kila kimoja kikaingia sehemu yake katika ubongo na moyo!
Na majukumu yangu ya kazi yanafikiwa kabla ya muda wa kazi kuisha[emoji3]
Labda Nina uwezo WA tofauti kidogo.
Hawezi elewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu punguza hasira
Naona mtoa mada haelewi kadhia za kuwa apeche alolo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]