Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

Usitufundishe tuna mambo mengi ya kufanya na ivyo vibegi vya kibishoo tumevaa sana then ni watu tunavaa kutokana na context za kiofisi zaidi

We wa kuja nn niende kazini na kabegi hakina hata sehemu ya earphone jua kabisa tunavaa kutokana na context mbaya labda useme uvae hayo mabegi na nguo kama fulana na jeans

Ila shati ndo vinaendana
 
Jibu lako limekaa vizuri,maana nilikuwa nashangaa Sana mbona hizi Marcello zimetaradadi mjini?Ila angalau umesema una begi lingine classic.
Hiyo kama back up tu Ila kwa kiasi kikubwa ni hizo marcello type 😁😁
 
Usitufundishe tuna mambo mengi ya kufanya na ivyo vibegi vya kibishoo tumevaa sana then ni watu tunavaa kutokana na context za kiofisi zaidi

We wa kuja nn niende kazini na kabegi hakina hata sehemu ya earphone jua kabisa tunavaa kutokana na context mbaya labda useme uvae hayo mabegi na nguo kama fulana na jeans

Ila shati ndo vinaendana
Kwa kuja Ni kweli nimekuja,Mimi sio mzaramo..Ila mbona hayo mabegi yanatuna Sana?hata Yale portable Yana sehemu ya earphones kaka...sio kwa ubaya lakini...Tena Bora hata mwenye tishet na jeans akilibeba libeba li Marcello anapendeza.....
 
Kama nanyi mnavyokuwa na mabegi makuubwa hayana nauri yamejaa tissue tu.
Ila kuna kaukweli hapa mkuu, unakuta mdada kazimia lakini wakikagua hilo pochi kubwaaa hakuna hata khanga ya kumstiri. Zaidi ya kimkoba cha make up, wanja na lipstick
 
Kwa kuja Ni kweli nimekuja,Mimi sio mzaramo..Ila mbona hayo mabegi yanatuna Sana?hata Yale portable Yana sehemu ya earphones kaka...sio kwa ubaya lakini...Tena Bora hata mwenye tishet na jeans akilibeba libeba li Marcello anapendeza.....
😂😂😂😂Sasa hapa ndio town elewa i yo code zinaendana ivyo
 
Jamani najua mko poa!

Hivi siku hizi kila Kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni,hayo mabebi Ni makubwaa Sana,na yamekaa kishamba shamba hivi,mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello,yaani unakuta mkaka mzuri,msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni,hivi mnawekaga nini humo jamaniiiiiiii?

Itoshe kusema tu hayawapendezi,mnaharibu Sana muonekano wenu na hayo ma Biowang mnakuwa Kama mmetoka Mbwinde bwana....hata Kama Ni laptops tafuteni mabegi mazuri,kwanza wengine hamna hata laptops Kuna makaratasi tu humo,Basi tu Tanzania likizuka Jambo basi Ni nongwa Kama wadada na vijora....
Acheni kumtajirisha Biowang na Marcello.
Asante kwa kuelewa
Eti mkaka mzuri?!!.. yaan we muda wote unaendekeza mapenz.. tuko kwenye harakat na mabag wew unaleta mamno ya muonekano.. mtu hana hata 100 muonekano utatoka wap..

Yale mabag yamebeba ving.. unakuta kuna kiporo cha wali humo.. maji.. miswaki. Dawa za meno.. boksa.. kwamba popote kambi.. sasa mim nisibebe bag kisa muonekano

Hahahha.. povu utafkir nabebaga bas hayo mabag.. teehtehteh
 
Ila kuna kaukweli hapa mkuu, unakuta mdada kazimia lakini wakikagua hilo pochi kubwaaa hakuna hata khanga ya kumstiri. Zaidi ya kimkoba cha make up, wanja na lipstick
Ha haaaaaaa mnatusingizia sio kweli kabisa..
 
Eti mkaka mzuri?!!.. yaan we muda wote unaendekeza mapenz.. tuko kwenye harakat na mabag wew unaleta mamno ya muonekano.. mtu hana hata 100 muonekano utatoka wap..

Yale mabag yamebeba ving.. unakuta kuna kiporo cha wali humo.. maji.. miswaki. Dawa za meno.. boksa.. kwamba popote kambi.. sasa mim nisibebe bag kisa muonekano

Hahahha.. povu utafkir nabebaga bas hayo mabag.. teehtehteh
Ha haaaaa Ila wewe ndio umejibu ukweli!maana yamejaa kweli Kama mnapanda mlima Kilimanjaro hapo umeeleweka kambi popote!
 
Haki Marcello kawarogeni Nyie😂😂sio bure
Jitoe akili siku moja ukibebe town huku umevurugwa na michakato, uone raha yake yaani kale kamarcello kanaingia ofisini hadi mtumbani halafu fresh tuu
 
Kwa hiyo Unataka na Mimi niwe miongoni mwenu?wafuasi wa Marcello!Hapana...
 
Back
Top Bottom