Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

Haya amini unachoamini. Mimi si mwanachadema wala si mwanaccm hivyo I don't care habari za wanasiasa kununuliwa, bla bla. Kipindi cha akina Juliana Shonza, Zitto Kabwe na Mtela Mwampamba wanahama hicho chama chenu, walihama kwa sababu ya kununuliwa na Magufuli? Narudia ufisadi, uozo na takataka zote zipo kote kote. JPM alijitahidi kwa kiasi chake lakini kazi bado haijaisha.
 
Naona hauna taarifa in details ofisi za Wakuu wa Wilaya (Kakonko, Uvinza,Nyasa, Momba, Same) ujenzi wake umeanza wakati wa JPM, na upo chini ya TBA kwahiyo hapa JPM alikuwa anajua 💯.

Lakini unadhani kuna upigaji? Unaongelea Nyumba anayoweza Rais when need be
 

1.Kapanga nyumba? ni sh ngapi kwa mwezi??

2.akijenga mwaka huu si hatajenga tena?


angalia scenario ya kwanza....usikute huko nyuma wanapanga 10m kwa mwezi,
 
Afu ndio umshawishi mfanyabiashara alipe kodi?
Atafanya kila awezalo kukwepa kulipa kodi kwa sababu anajua kodi yake inaenda kuliwa na wajanja. Kwa matumizi ya mfumo huo ni wapi serikali itapata hela ya kuajiri watumishi kama polisi, daktari, mwalimu nk ili wamhudumie huyo mfanyabiashara anapo kuwa na uhitaji?
 
CCM ni wafujaji kabisa
 
Ameahidi kuendeleza. Matokeo ya kuendelea kuliwa kwa hela za serikali enzi za Magufuli ni mfumo wake wa utawala kutaka kila jambo afanye yeye. Wateule wakabaki na kazi kubwa ya kupanga madili ya ufisadi.
 
Taahira mkubwa wewe tumeishi na JPM tumemuona, tumeuona utendaji wake hatujahadithiwa, JPM asingeweza kuapprove upuuzi huo, misho.ga ka nyie lazima mumchukie kwa kuzuia accounts za viNGO vyenu na mafuta ya KY.
Kwani ukimjibu kistaarabu jicho lako moja litatoka?
 
..na mabulungutu ya manoti aliyokuwa akigawa wakati wa ziara zake yalikuwa milioni au bilioni ngapi? CAG alikuwa anakagua fedha zile?

Cc Erythrocyte
Kazi kubwa ya CAG ni kuandika ngonjera. Kuna upigaji wa kutosha wa wakaguzi wa ofisi yake wanapo enda kufanya ukaguzi kwenye mashirika, taasisi na idara za serikali.
 
Taahira mkubwa wewe tumeishi na JPM tumemuona, tumeuona utendaji wake hatujahadithiwa, JPM asingeweza kuapprove upuuzi huo, misho.ga ka nyie lazima mumchukie kwa kuzuia accounts za viNGO vyenu na mafuta ya KY.
Unapayuka bure tu. Hao wakuu wa wilaya na makatibu tawala si ndoo Magufuli aliwahonga vyeo kwa kuiba, kupora, kuua na kuteka wakati wa siasa zake chafu. Jpm was an extremly evil man. Hasameheki hata mbele za Mungu.
 
Budget Kama hizi zinapita bungeni kwa [emoji817], na watz bado tunacheka na hao wabunge? Kupitisha hz budget iwe points za kuwahoji na kupiga chini uchaguzi ujao.
 
Picha ya hiyo nyumba ipo wapi?
 

Kwa maelezo yako haya ni kuwa JPM aliishindwa vita ya ufisadi si ndio?, sasa lakini mbona tunamuita shujaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…