zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Haya amini unachoamini. Mimi si mwanachadema wala si mwanaccm hivyo I don't care habari za wanasiasa kununuliwa, bla bla. Kipindi cha akina Juliana Shonza, Zitto Kabwe na Mtela Mwampamba wanahama hicho chama chenu, walihama kwa sababu ya kununuliwa na Magufuli? Narudia ufisadi, uozo na takataka zote zipo kote kote. JPM alijitahidi kwa kiasi chake lakini kazi bado haijaisha.Unataka tuamini kuwa Jiwe alikuwa anapiga vita rushwa?Pengine kwa asiyefahamu maana ya rushwa/ufisadi.Wanasiasa walinunuliwa,Uchaguzi zilihujumiwa,manunuzi yalifanyika bila kufuata sheria,mikataba imeendelea kufanywa siri hata kwa Bunge,upendeleo kwenye miradi,ajira,teuzi nk.
Je,kwa jinsi hiyo unamtenganishaje na hayo madudu?Yakiwa vizuri/sirini(kabla ya kufichuliwa) sifa zimwendee Jiwe ila vikibainika walaumiwe watendaji?