Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

sawa, lakini usionyeshe dalili kuwa bado unampenda hata kama unampenda kweli.
Nafikilo ndicho wanaume wanaamini kuwa kuoa single mother shida.
Unaonyesha kuwa umpendi,
Wakati kweli umemuweka moyoni duu
 
Bora aliye flash
 
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
Mmmh sina uhakika kama atakuwa na ujasiri huo, labda alikuwa anatania tuu.
Na kama mtoto huyo kaka akakataa kukaa nae je. Mimi nimeona mtoto anachwa kwa bibi na babu.
 
Mimi kila week lazima nije nimchukue. Lazima utatema bungo tu na kuniachia mtoto. Kwanza sitamchukua, nakuachia ukae naye ili niwe nakujakuja
Sina uhakika kama utakuwa na uwezk huo wa kwenda ,
Labda umuombe mama akaletee labda hio
 
Aaaaaa
 

sometimes shida ni baba watoto pia[emoji23][emoji23] wanaume huwa hawapendi kuona wanawake waliozaa nao wanaolewa utasikia sitaki mtoto wangu alelewe na mwanaume mwingine sasa kama hutaki kwann hujanioa[emoji1787][emoji1787] afu ndo anaanza kujifanya alikosea anatamani mrudi mlee mtoto wenu.. wanawake wana roho ndogo sana jamani yani ukishamjaza upepo basi[emoji113][emoji113][emoji113] ko ukishamwacha mwanamke kubali matokeo mana lazima ataolewa tu au atakua na mahusiano mengine hawezi kukusubiri wewe milele[emoji28]
 
Hapo Bibi amepigiwa video call "Jamani Bibi yangu". Baba anasema save namba ya bibi, ya auntie hiyo na Baba mkubwa na ndugu zako hawa hapa.

Weekend nakuja kukuchukua tuna tafrija kidogo pale nyumbani ya kukupokea Baraka ya ukoo wetu. Umeandaliwa zawadi na ndugu watakusubiria kukuona kwa shauku.

Hapo mtoto utamwambia nini sasa kwa baba yake? Akienda huko anapokelewa kwa shangwe kama mkuu wa wilaya kaja kufungua Zahanati mpya.
 
Ndio inabidi iwe hivyo lazima m'moja wenu aumie kwa kusacrifice ili uhusiano uende.

Maana ni aidha mwanaume akubali kuishi na mtoto asie wake aanze kudeal na drama za malezi ya mtoto asie wake. Au mwanamke akubali kuishi mbali na mtoto wake ajenge familia mpya.
 
Hahahah single maza bile hela ni mtihani. Uwoya ana 90% success rate ya kupata ndoa kuliko mwanamke singo maza wa mtaani ambaye ni kula kulala kwa mama yake.
Mtu uchumi wake upo tenge, hana kipato, kwao hawana hali, halafu ndio anahizo baggage kutoka kwa mwanaume asiyejulikana then aje kunipangia maisha, hivi inawezekana?
 
Asante sana Wala nn nikaribie km Kuna mambo yngu
Msosi wa leo ni heavy hadi nimechanganyikiwa hapa draft lake. Kushoto Wali, kando kidogo nyama ya mchuzi, bakuli ya rojo ya mpiko wa ndizi mzuzu za kuiva, viazi vitamu, viazi mviringo, na boga vimesagwa pamoja, magarage, Chinese, matunda. Acha kabisa. Fanya haraka uje tule.
 
Doh aisee ngoja nisogee nyama ndo mamboyangu hayo 😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…