Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Njoo tule chakula tayari huku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza unatak tuanze kubishana[emoji23]
Aya sawa wahoji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tule chakula tayari huku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza unatak tuanze kubishana[emoji23]
Aya sawa wahoji tu
Nafikilo ndicho wanaume wanaamini kuwa kuoa single mother shida.sawa, lakini usionyeshe dalili kuwa bado unampenda hata kama unampenda kweli.
Asante sana Wala nn nikaribie km Kuna mambo ynguNjoo tule chakula tayari huku. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora aliye flashYou are right kwa wenzetu it’s not even a deal breaker….mwenye mtoto/watoto anaolewa na maisha yanaendelea na Kama kuna mawasiliano na baba mtoto yanakua ya heshima life goes on.
Swali langu bado linabaki kwa wanaume ni utajuaje asie na mtoto ametoa mimba ngapi?? Kipi bora Mwenye mtoto au huyu mama mwenye watoto alio waflash ???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh sina uhakika kama atakuwa na ujasiri huo, labda alikuwa anatania tuu.Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"🤣🤣🤣🤣
Sina uhakika kama utakuwa na uwezk huo wa kwenda ,Mimi kila week lazima nije nimchukue. Lazima utatema bungo tu na kuniachia mtoto. Kwanza sitamchukua, nakuachia ukae naye ili niwe nakujakuja
AaaaaaMtoa mada kasema kuwa, yule mwamba amehoji.
Huyu mwanamke aliyezaa nje ya ndoa(ingawa anasema ilikuwa bahati mbaya) atawahusiaje wanawe na wao wasizae nje ya ndoa? kuwa aje awahusie pindi wakiwa wanazini kabla ya ndoa wawe makini wasipate mimba?.
Hizi hoja za yule mwamba ni nzito zinahitaji majibu.
Tupatieni majibu ya hizi hoja kwanza.
Kwa hio ata mtoto wake huyo wa nje anaweza kamwambia usizae kabla , hivi huyo mtoto atajisikiajeTrust me anaweza kutumia mfano wake kuonya wanae na maisha yakaendelea
Siwezi nikaja kumuona mtoto wangu kwa kujificha.Sina uhakika kama utakuwa na uwezk huo wa kwenda ,
Labda umuombe mama akaletee labda hio
Kabla sijawa na akili pevu niliona kulea mtoto ni jambo jepesi tu, si nikawa najisemea i nikununua chakula nguo na kumkatia bima basi.. Kumbe nilikuwa najidanganya. Basi hivi juzi juzi mzee wangu aliomba nimsaidie kuwalea wadogo zangu wa mwisho kabisa qmbao ni wadogo kweli wako Primary na mnajua siku hizi watoto wanaingia shule wakiwa bado wadogo. Baada ya hapo nlianza kukaa nao, mmh niseme tu ukweli kulea sio jambo dogo wazee na ukute mtoto anamalezi mengine tayari kasheshe hilo. Kwa jinsi ninavyoona kulea watoto ambao hujazaa wewe mwenyewe ilivyo kazi sasa inakuaje kulea mtoto wa mwanaume mwenzako. Akina dada wa siku hizi lwzima wajue kuwa ikitokea mtu amekupenda wewe kama single mother na akakubali mlee pamoja na yeye umzalie wa kwake mshukuru sana huyo jamaa kwani atakuwa amekutoa jalalani. Single mothers wengi hujilinganisha na wale ambao hawajazalishwa, kusema ukweli hawawezi kuwa sawa, hata akiwa na miaka 30 kilometa zimesogea ila kama hajapata mtoto chance za kuolewa zipo juu kuliko huyu single mother mwenye miaka 25.
Nirejee kwenye maada, kwanza jamaa anamipango yake na mtu kushika dini sana na pia jamaa alikuwa hajampenda sana huyo dada. Mapenzi upofu asee, angekua amempenda kikweli kikweli mtoto isingekuwa shida changamoto ingelikuja baadae mwanamke akishamzoea mwnaume anaanza kumuona wa kawida na kuanza kuweka mahusiano na yule Baba mtoto. Hilo ndio linqkatisha tamaa na huwezi zuia hawa wawili kuwasiliana kwa namna yoyote vinginevyo utakuwa unamnyima mtoto haki yake na kutunzwa na Baba yake mzazi. Mwisho nasema tu, kulea jamani sio jambo dogo ndio aje kuwa mtoto wa mwanaume mwingine mmmh kasheshe hilo.
Hapo Bibi amepigiwa video call "Jamani Bibi yangu". Baba anasema save namba ya bibi, ya auntie hiyo na Baba mkubwa na ndugu zako hawa hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "...mwanangu mimi nakupenda sana, mama yako hakutaka niwe karibu na wewe. Chukua hizi laki mbili zitakusogeza[emoji23], na chukua hii iPhone 14 Pro bado ni mpya tu nimeitumia kama mwezi hivi[emoji23], na mwezi ujao utaniambia ni aina ipi ya laptop unataka, kama ni apple au lenovo... usisite kunikumbusha mwisho wa mwezi huu, na usisahau kunikumbusha suala la shoppong pia[emoji23], baba yako mdogo anataka sana kuonana na wewe..."[emoji28][emoji28][emoji28]
Namchukua si Bao langu kwani ni yeye ndie alipiga hilo bao?!Jamaa akikataa kukaa na mwanao??
Ndio inabidi iwe hivyo lazima m'moja wenu aumie kwa kusacrifice ili uhusiano uende.Na mwanaume mwingine ambaya ataki kukaa na mtoto na anakuambia tuu mpeleke mtoto wa Baba yake.
Au muache mtoto kwa wazazi wako
Na hakuna kuja nyumbani,
Nimewahi ona dada mmoja alizalia home jamaa alimkataa mtoto.
Dada akaolewa mtoto kamuacha kwa wazazi na hajawahi kwenda kwa mama yake. Ni mama tuu anakuja kumtembelea mara chache sana.
Hii inakaaje
Mtu uchumi wake upo tenge, hana kipato, kwao hawana hali, halafu ndio anahizo baggage kutoka kwa mwanaume asiyejulikana then aje kunipangia maisha, hivi inawezekana?Hahahah single maza bile hela ni mtihani. Uwoya ana 90% success rate ya kupata ndoa kuliko mwanamke singo maza wa mtaani ambaye ni kula kulala kwa mama yake.
Mwanamke wa kukataa huu ushawishi bado hajazaliwa.baba mwenye mtoto anamtumia sms mkewako
"hello,nimekutumia 150k. utachukua 50k utamnunulia dawa junior ,itakayobaki utatumia"
Msosi wa leo ni heavy hadi nimechanganyikiwa hapa draft lake. Kushoto Wali, kando kidogo nyama ya mchuzi, bakuli ya rojo ya mpiko wa ndizi mzuzu za kuiva, viazi vitamu, viazi mviringo, na boga vimesagwa pamoja, magarage, Chinese, matunda. Acha kabisa. Fanya haraka uje tule.Asante sana Wala nn nikaribie km Kuna mambo yngu
Doh aisee ngoja nisogee nyama ndo mamboyangu hayo 😍Msosi wa leo ni heavy hadi nimechanganyikiwa hapa draft lake. Kushoto Wali, kando kidogo nyama ya mchuzi, bakuli ya rojo ya mpiko wa ndizi mzuzu za kuiva, viazi vitamu, viazi mviringo, na boga vimesagwa pamoja, magarage, Chinese, matunda. Acha kabisa. Fanya haraka uje tule.
Binafsi nlikuwa kama msikilizaji na kuaccept kila anachokisema ila ni kama alimkandia jamaaa.....nikawa naitikia tu.Mliongea nn kwa ufupi?