Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha zako, anapokelewa kama mkuu wa wilaya kaja kufanya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti save namba ya bibi na ya aunt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ukioneshwa kaburi la kanyaboya utahakiki vipi sasa?

Utafukua ulinganishe DNA na watoto?
Dah hapa sasa pia mtihani mkuu...
Bado sijaenda na hili sijamwambia muhusika yaani nawaza na kuwazua aisee kweli naweza pigwa changa hapa. Wacha niinamishe kichwa tenaa
 
🙏🙏🙏katika kikao hiki sikuwepo nadhani ndio kipindi nilipata homa.
Mkuu shukrani kwa kunidokeza madomezo muhimu saana kwa zaidi ya 100%
Wacha nichukue hizi
Ila jf atakae iua na sisi tutamfagia maana duh kuna raia vichwa viko sawa🤣🤣🤣🤣
Mkuu nimeongeza muda zaidi wa uhakiki kwa huyu raia
 
Alafu single mom huwa hawataki kujifunza kwa single Dad, single Dad kitu Cha kwanza atamwambia Mwanamke yoyote atakae taka kua nae Kama kweli atampenda Mtoto wake aliye zaa na Mwanamke mwingine!? Single Dad huwa hawafichi Watoto wao eti kisa mapenzi!! Wanawake jifunzeni hilo!!
 
Kuna wengine wana bahati wameolewa aisee na watt...nawajua wawili
Ukiwa muwazi toka mwanzo hakuna linaloshindikana, tatizo taarifa zako za awali kuja kupingana na taarifa zako mpya baada kuingia kwenye mahusiano!!
 
Wakati mwingine kuogopa umri,kutojiamini kama atapata mwanaume atayemkubali na mtoto wake,pia uchochezi wa nafsi kutoka Kwa marafiki au familia huchangia sana hili.
 
Sasa mwanamke aweke mtoto wake mbele kama ngao ya fuso ili iwaje?!

Umeambiwa mwanaume anakuja kwaajiri ya kutafuta watoto wa mwanaume mwingine ili alee?!

Hivi ina sound vipi nakutana na mwanamke hata sijamjua vizuri anaanza kuni introduce kuwa yeye ana mtoto na ni lazima nibond na mtoto ndipo niweze kuwa na yeye. Sasa hiyo si nikuwa desperate kukubalika kwa mwanaume kama mwanamke ambaye hajiamini?!

Nani aliyekwambia kuwa mwanaume anapikutana na mwanamke ambaye ameshapata mtoto na mwanaume mwingine then atakuwa interested na huyo mtoto ile ya kutaka awe baba wa kambo?!

Nadhani umepotoka hilo eneo.

Kwa mwanamke mwenye mtoto anapokutana na mwanaume ambaye hana mtoto then anatakiwa kumuonyesha kuwa mtoto wake hatoingia katikati yao hata iweje. Wao wajenge mahusiano yao wawili na kuendelea na mambo yao. Mtoto asiingizwe katika mahusiano haya mapya kama mwanaume hajaridhia maana yeye hakuja hapo kutafuta mtoto wa kulea angetaka hivyo si angeenda kwa watoto yatima akachukue watoto wa kulea huko?

Mtoto ana baba yake kama ni maswala ya baba atawasilina na mwenzake sio ulazimishe mtu kuwa baba bandia kwa nguvu utatengeneza majanga siku za baadae.
 
Hahahah wajumbe wako makini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
za kumkazia ndipo unamwambia "nina mtoto" najua huwezi nipenda na mtoto wangu na hata ukinipenda sasa
Mimi nafikili mwanaume sio rahisi kupenda mtoto,
Japo wengi wanalazimisha tuu
 
Hahahah yalimshinda konde boy hayo mie ni nani 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…