Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha zako, anapokelewa kama mkuu wa wilaya kaja kufanya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti save namba ya bibi na ya aunt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo Bibi amepigiwa video call "Jamani Bibi yangu". Baba anasema save namba ya bibi, ya auntie hiyo na Baba mkubwa na ndugu zako hawa hapa.
Weekend nakuja kukuchukua tuna tafrija kidogo pale nyumbani ya kukupokea Baraka ya ukoo wetu. Umeandaliwa zawadi na ndugu watakusubiria kukuona kwa shauku.
Hapo mtoto utamwambia nini sasa kwa baba yake? Akienda huko anapokelewa kwa shangwe kama mkuu wa wilaya kaja kufungua Zahanati mpya.
Alimkandia kivipi mkuu?Binafsi nlikuwa kama msikilizaji na kuaccept kila anachokisema ila ni kama alimkandia jamaaa.....nikawa naitikia tu.
Alikua anaeleza negative side za jamaa aliemzalishaAlimkandia kivipi mkuu?
Mnafiki huyo binti. Alikuwa anajaribu kukuchota tu hana lolote.Alikua anaeleza negative side za jamaa aliemzalisha
Mi nlikuwa nataka utelezi ilibidi niwe mpole nkamsikiliza tu mwisho wa siku nkaendelea kumtafunaMnafiki huyo binti. Alikuwa anajaribu kukuchota tu hana lolote.
Kakuzidi umri huyo binti? Unasoma?Mi nlikuwa nataka utelezi ilibidi niwe mpole nkamsikiliza tu mwisho wa siku nkaendelea kumtafuna
Dah hapa sasa pia mtihani mkuu...Mkuu ukioneshwa kaburi la kanyaboya utahakiki vipi sasa?
Utafukua ulinganishe DNA na watoto?
🙏🙏🙏katika kikao hiki sikuwepo nadhani ndio kipindi nilipata homa.Tulikubaliana kikao cha mwisho single mother tunaoa endapo utaonyeshwa kaburi la mzazi mwenza.
Lakini kuna mjumbe mmoja akaongezea ni lazima uonyeshwe CD au flash yenye video ya mazishi ikiwa imeambatana na maelezo ya historia fupi ya marehem yenye kuthibitisha kua ni kweli ameacha single mother (ikiwa linatajwa kabisa jina la huyo mama) pamoja na mtoto. Tena wawe wameonekana wakiwa wanahudhuria hayo mazishi kupitia hiyo video.
Kinyume na hapo USIOE.
Alafu single mom huwa hawataki kujifunza kwa single Dad, single Dad kitu Cha kwanza atamwambia Mwanamke yoyote atakae taka kua nae Kama kweli atampenda Mtoto wake aliye zaa na Mwanamke mwingine!? Single Dad huwa hawafichi Watoto wao eti kisa mapenzi!! Wanawake jifunzeni hilo!!Wanawake mnakosea padogo sana (naongea na singo maza) ninachojua mwanamke unatongozwa
wala hujipeleki,hivi kinachokufanya usimkazie huyo mwanaume ni nini? Mkazie haswaa akikuuliza sababu
za kumkazia ndipo unamwambia "nina mtoto" najua huwezi nipenda na mtoto wangu na hata ukinipenda sasa
baadae utanibadilikia "mjibu hivyo muache hapo" Kama kweli ana nia na wewe ataropoka Tu,MTOTO kitu ganiiii
Fresh tuuu,usimkubalie Tengeneza Bond kati yake na mtoto...ukishajiridhisha kamuelewa mwanao Basi nawewe fungua
Moyo mfunulie gauni hilo,Shida yenu singo maza ni 1... Unatongozwa huko unajisahaulisha una mtoto,unajikubalisha
baadae ushageuzwa kama samaki mikao yote ndio unakuja sema "deviii nikwambie kituuu" Hata kama mimi ndio Devi ukinletea hizo story nishakukula Nakuacha.
Niandae akili yangu tangu mwanzo nijue mwenyewe niingie au niache iende,shida yenu mnajitia maslay kwini halafu mwishoni mnasingizia mtoto.
Shida sio mtto shida ni hamjui wakati upi wa kutufikishia taarifa una mtoto au ushawahi zaaa nk,Endeleeni tu vaa maviatu yenu ya manyoya na sku izi mna mayebo yebo yenu mchina kayaleta mkivaaa kama mpo gorofani.]
kingo maza MMOJA wewe kazi kujitia kidada cha Pre form 1,na mtaachwa sana mkiendelea waweka watoto zenu namba mbili baada ya mapenzi.
Singo maza fahamu kuwa mahusiano baaada ya wewe kuwa na mtoto ni Nafasi ya 2,Nafasi ya 1 n Mwanao no.2 ndio mapenzi...Hata mimi kma nakupenda ukniambia tangu ile mwanzo nakutongoza naweza jikaza nikakuvaaa hvyo hvyo maisha yakaenda,ila Ukinfcha uje unletee story zako baada yakuniona niko serious natafuta Washenga kuja kwenu NAKUACHAAAAAAA....
Ukiwa muwazi toka mwanzo hakuna linaloshindikana, tatizo taarifa zako za awali kuja kupingana na taarifa zako mpya baada kuingia kwenye mahusiano!!Kuna wengine wana bahati wameolewa aisee na watt...nawajua wawili
Umri kanizidi kidogoKakuzidi umri huyo binti? Unasoma?
Karibu sanaKama ni hivo nitawatembelea Kilaweek[emoji1787]
Wakati mwingine kuogopa umri,kutojiamini kama atapata mwanaume atayemkubali na mtoto wake,pia uchochezi wa nafsi kutoka Kwa marafiki au familia huchangia sana hili.Sasa mkuu hii falsafa ndogo lakini murua sana kwa nini dada zetu na mama zetu wengine wanashindwa kuielewa na wanajitia unyonge mkubwa wa kulazimisha mapenzi wasipopendwa?
Ujue wanaume wengi tukishamuona mwanamke anakuwa desperate hata kama kulikuwa na mapenzi yananyauka?
A desperate woman is so unsexy.
Mwanamke anatakiwa ajiamini kwamba atapata mwanamme wa aina yake, hata yule ombaomba mwenye ukoma naye anaweza kumpata wake.
Ya nini unilazimishe niwe na mwanamke nisiyemtaka kisa tunawekeana misingi ya "political correctness" ya kuogopa stigma tu?
Hatuoni hapa tunatengeneza tatizo wanaume waoe wanawake kwa kuwahurumia na kuogopa stigma, si kwa mapenzi, halafu ndoa hizi zije kuwa na matatizo makubwa hapo baadaye, kwa sababu mwanamme atajiona kaoa kwa pressure za jamii, si kwa mapenzi ya kweli?
Sasa mwanamke aweke mtoto wake mbele kama ngao ya fuso ili iwaje?!Wanawake mnakosea padogo sana (naongea na singo maza) ninachojua mwanamke unatongozwa
wala hujipeleki,hivi kinachokufanya usimkazie huyo mwanaume ni nini? Mkazie haswaa akikuuliza sababu
za kumkazia ndipo unamwambia "nina mtoto" najua huwezi nipenda na mtoto wangu na hata ukinipenda sasa
baadae utanibadilikia "mjibu hivyo muache hapo" Kama kweli ana nia na wewe ataropoka Tu,MTOTO kitu ganiiii
Fresh tuuu,usimkubalie Tengeneza Bond kati yake na mtoto...ukishajiridhisha kamuelewa mwanao Basi nawewe fungua
Moyo mfunulie gauni hilo,Shida yenu singo maza ni 1... Unatongozwa huko unajisahaulisha una mtoto,unajikubalisha
baadae ushageuzwa kama samaki mikao yote ndio unakuja sema "deviii nikwambie kituuu" Hata kama mimi ndio Devi ukinletea hizo story nishakukula Nakuacha.
Niandae akili yangu tangu mwanzo nijue mwenyewe niingie au niache iende,shida yenu mnajitia maslay kwini halafu mwishoni mnasingizia mtoto.
Shida sio mtto shida ni hamjui wakati upi wa kutufikishia taarifa una mtoto au ushawahi zaaa nk,Endeleeni tu vaa maviatu yenu ya manyoya na sku izi mna mayebo yebo yenu mchina kayaleta mkivaaa kama mpo gorofani.]
kingo maza MMOJA wewe kazi kujitia kidada cha Pre form 1,na mtaachwa sana mkiendelea waweka watoto zenu namba mbili baada ya mapenzi.
Singo maza fahamu kuwa mahusiano baaada ya wewe kuwa na mtoto ni Nafasi ya 2,Nafasi ya 1 n Mwanao no.2 ndio mapenzi...Hata mimi kma nakupenda ukniambia tangu ile mwanzo nakutongoza naweza jikaza nikakuvaaa hvyo hvyo maisha yakaenda,ila Ukinfcha uje unletee story zako baada yakuniona niko serious natafuta Washenga kuja kwenu NAKUACHAAAAAAA....
Hahahah wajumbe wako makiniTulikubaliana kikao cha mwisho single mother tunaoa endapo utaonyeshwa kaburi la mzazi mwenza.
Lakini kuna mjumbe mmoja akaongezea ni lazima uonyeshwe CD au flash yenye video ya mazishi ikiwa imeambatana na maelezo ya historia fupi ya marehem yenye kuthibitisha kua ni kweli ameacha single mother (ikiwa linatajwa kabisa jina la huyo mama) pamoja na mtoto. Tena wawe wameonekana wakiwa wanahudhuria hayo mazishi kupitia hiyo video.
Kinyume na hapo USIOE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu acha zako, anapokelewa kama mkuu wa wilaya kaja kufanya nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti save namba ya bibi na ya aunt[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nafikili mwanaume sio rahisi kupenda mtoto,za kumkazia ndipo unamwambia "nina mtoto" najua huwezi nipenda na mtoto wangu na hata ukinipenda sasa
Hahahah yalimshinda konde boy hayo mie ni nani 🤣🤣🤣Sasa mwanamke aweke mtoto wake mbele kama ngao ya fuso ili iwaje?!
Umeambiwa mwanaume anakuja kwaajiri ya kutafuta watoto wa mwanaume mwingine ili alee?!
Hivi ina sound vipi nakutana na mwanamke hata sijamjua vizuri anaanza kuni introduce kuwa yeye ana mtoto na ni lazima nibond na mtoto ndipo niweze kuwa na yeye. Sasa hiyo si nikuwa desperate kukubalika kwa mwanaume kama mwanamke ambaye hajiamini?!
Nani aliyekwambia kuwa mwanaume anapikutana na mwanamke ambaye ameshapata mtoto na mwanaume mwingine then atakuwa interested na huyo mtoto ile ya kutaka awe baba wa kambo?!
Nadhani umepotoka hilo eneo.
Kwa mwanamke mwenye mtoto anapokutana na mwanaume ambaye hana mtoto then anatakiwa kumuonyesha kuwa mtoto wake hatoingia katikati yao hata iweje. Wao wajenge mahusiano yao wawili na kuendelea na mambo yao. Mtoto asiingizwe katika mahusiano haya mapya kama mwanaume hajaridhia maana yeye hakuja hapo kutafuta mtoto wa kulea angetaka hivyo si angeenda kwa watoto yatima akachukue watoto wa kulea huko?
Mtoto ana baba yake kama ni maswala ya baba atawasilina na mwenzake sio ulazimishe mtu kuwa baba bandia kwa nguvu utatengeneza majanga siku za baadae.
Yani mwanaume anachukua na mtoto.Kuna wengine wana bahati wameolewa aisee na watt...nawajua wawili