Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Inawezekana mwamba alikua anataka kupiga chini toka muda tu. Swala la mtoto likampa sababu
 
Kaburi ndio tiketi ya ndoa kikao kirudiwe hili sharti gumu
Leo asubuhi kwenye mwendokasi ya Kimara-kivukoni kuna mzee alikuwa anaongea kwenye simu kwa sauti kubwa nafikiri intention yake ni watu wamsikie namnukuu "Huyo dogo ni fala anaoaje mwanamke mwenye mtoto huko ni sawa na kununua gari bovu wakati kuna wanawake wengi hawana watoto ona sasa kauza mpaka simu kuhudumia watoto wa mwenzie mi nilimwambia afukuze hao watoto waende kwa baba zao" Mwisho wa kunukuu..

Wanaoponda single maza wana hoja wasikilizwe.
 
Hivi hili swala singo faza huwa haliwahusu eeh
 
Mwanamke; Kama unataka kuolewa, peleka mtoto kwa baba yake (miaka mitano si mbaya), kama hamtaki kata mawasiliano nae kabisa mpambanie mtoto wako.

Katika mahusiano mapya usitoe historia yako ya mahusiano ya nyuma kwa bwana mpya, au sema kwa ufupi sio unamwambia kuwa mpaka hapo yeye ni mwanaume wa 7 kwako ndani ya mwaka mmoja!

Kuwa makini, epuka kutapeliwa
 
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
Mdogo wako alichumbiwa na mvulana na ametoswa kisa kazaa.

Mwambie tu mdogo wako aache kufukuzia wavulana maana hawana moyo wa kuishi na mwanamke aliyezaa.

Mwambie afukuzie wanaume watu wazima wenye akili hao huwa hawamkatai mwanamke eti kisa ana mtoto.
 
Na huyo ni mzee anatetea vijana [emoji1373]
 
Single father wapo really sana hawana konakona hawapigi simu kuomba hela za matumizi
Kabisa, mke wangu alinikuta na mtoto mmoja. Sina mazoea ya kuwasiliana na mzazi mwenzangu, wakati mwingine hadi mwaka unaisha hatujawasiliana. Mtoto yupo kwangu sasa mke wangu atapata wasiwasi gani? Wanawake hawawezi tena walivyo na tamaa hawa watu.
 
Ushauri



Wanawake mjitunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…