Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Case closed [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

 
Kama weww ndiye mshauri wa mdogo wako, basi picha lote limejichora kuwa wote ni vikapu.
Pia, kwa kuwa jamaa aliyemzalisha mdogo wako aliamua kumpiga chini na kwenda kuoa mwanamke mwingine, hapo tayari picha linaonyesha huyo mdogo wako ni gunia la misumari.
Usiulize wanaume wana matatizo gani hata wakatae kuoa wanawake wenye watoto, ungemuuliza mdogo wako ana matatizo gani hata akakubali kubebeshwa mimba?
Kama unakutana na mwanaume halafu unajua yeye si aliyekusababisha uende labor kwa mara ya kwanza basi kubali kuwa huna sifa ya kuomba au kulilia ndoa kwa mwanaume huyo. Kama umepoteza sifa ya kumpatia uzao wa kwanza kwako mtoto wa mwanaume ulie naye, basi jifunze kukaa kimya, una haki ya kumsumbua hata kwa kumfanyia fujo uliyezaa naye, lakini si mwanaume mwingine
 
Nyie mbona mnawatoto na wanawake wanakubali mnatuonea tu
 
Huwa nawafikiria single father's kwakweli na mm natak nione makaburi ya wanawake mlozaa nao πŸ˜€
Kwa wanaume hali ni tofauti, ila kama mnataka na hili mjiringanishe karibuni. Kwani sisi tuna noma basi? Sisi hatutaacha kuzalisha.
Sisi mkikaa sawa tunawapiga mimba tunateleza, kuna mafala ndiyo wameumbwa kwa ajili ya kutulelea watoto wakati sisi tunaishi.
 
Kumbe eeh mtu amekuzalia mtoto umuite fala Sasa fala si wanakutanaga na fala mwenzie wanazaa,acheni hizo Hao watoto nyie ndo babazao na msipowaoa kunawenzenu watawaoa na watoto wenu wataelelewa vizuri tu
 

Afu uo uchumi ukiimalika unawaachia ndugu zako wanagombaniana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] dunia hiii noma na nusu[emoji28][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…