Hao mafala wanao waoa ndiyo waliandikiwa hivyo. Hawawezi kukwepa, hao waliumbwa hivyo.Kumbe eeh mtu amekuzalia mtoto umuite fala Sasa fala si wanakutanaga na fala mwenzie wanazaa,acheni hizo Hao watoto nyie ndo babazao na msipowaoa kunawenzenu watawaoa na watoto wenu wataelelewa vizuri tu
Mwenye matatizo ni wewe, umeshindwa kumshauri, atafute mwanaume mwenye mtoto mechi ianze me 1- 1 ke, kama baba wa mtoto anamke wake tayari kwa nini hakumuoa mdogo wako? Au ndo ile unaenda sokoni unabonyeza maparachichi alafu huchukui unaenda kununua maembe.Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Hivi hili swala singo faza huwa haliwahusu eeh
Na wew utalea mtoto asie wako ndani ya ndoa Kuna fala atamjaza mimba mkeo na utalea vilevile Nyie mmeumbiwa hivo piaHao mafala wanao waoa ndiyo waliandikiwa hivyo. Hawawezi kukwepa, hao waliumbwa hivyo.
Hizo body counts hamnaga mwanaume hataki kujua iko wazi atadanganya kwa kusema watatu au wawili ila akili kumkichwa watu ni FIAT za MagerezaMwanamke; Kama unataka kuolewa, peleka mtoto kwa baba yake (miaka mitano si mbaya), kama hamtaki kata mawasiliano nae kabisa mpambanie mtoto wako.
Katika mahusiano mapya usitoe historia yako ya mahusiano ya nyuma kwa bwana mpya, au sema kwa ufupi sio unamwambia kuwa mpaka hapo yeye ni mwanaume wa 7 kwako ndani ya mwaka mmoja!
Kuwa makini, epuka kutapeliwa
Mdogo wako aluchumbiwa na mvulana na ametoswa kisa kazaa.
Mwambie tu mdogo wako aache kufukuzia wavulana maana hawana moyo wa kuishi na mwanamke aliyezaa.
Mwambie afukuzie wanaume watu wazima wenye akili hao huwa hawamkatai mwanamke eti kisa ana mtoto.
Kuna mabint wawili are so good, wanalea watoto wadogo sasa hivi, mmoja analea wa kwangu, mwingine analea wa jamaa. Kama una kaka yako unaweza ukani PM nimuunganishe na mmoja wao ili aoe, ni wasichana fulani amazing na ni wife materials.Na wew utalea mtoto asie wako ndani ya ndoa Kuna fala atamjaza mimba mkeo na utalea vilevile Nyie mmeumbiwa hivo pia
Kwenye maisha haya hakuna mkamilifu huenda ndio kubwa kulifanya msipende kuhukumu watu Kwa mapito Yao kheri wao wamepata watoto hawakupata ukimwiKwa wanaume hali ni tofauti, ila kama mnataka na hili mjiringanishe karibuni. Kwani sisi tuna noma basi? Sisi hatutaacha kuzalisha.
Sisi mkikaa sawa tunawapiga mimba tunateleza, kuna mafala ndiyo wameumbwa kwa ajili ya kutulelea watoto wakati sisi tunaishi.
Ila irene uwoya akikupa unaoa hata kama uchi wake ni public?USIJIROGE KUOA SINGLE MOTHER, Unless umeoneshwa kaburi la baba wa mtoto na kuhakikisha kwa DNA kuwa mifupa/Mabaki ya mwili ni ya kwake.
Standards ni muhimu sana zizingatiwe. Kufeli shule siyo kufeli maisha.Kwenye maisha haya hakuna mkamilifu huenda ndio kubwa kulifanya msipende kuhukumu watu Kwa mapito Yao kheri wao wamepata watoto hawakupata ukimwi
Upo sahihi kabisa. Hili tatizo si la upnde mmoja tu. Hivi vijogoo vinavyozalisha ovyo ovyo hivi tabu sana. Unamkuta binti ana 20 yrs ila tayari ni single mother. Aisee inaumiza sana.Huwa nawafikiria single father's kwakweli na mm natak nione makaburi ya wanawake mlozaa nao [emoji3]
Ila mkuu kukubali kwenu sometime ni kufuata urahisi wa maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie mbona mnawatoto na wanawake wanakubali mnatuonea tu
Kwa wanaume hali ni tofauti, ila kama mnataka na hili mjiringanishe karibuni. Kwani sisi tuna noma basi? Sisi hatutaacha kuzalisha.
Sisi mkikaa sawa tunawapiga mimba tunateleza, kuna mafala ndiyo wameumbwa kwa ajili ya kutulelea watoto wakati sisi tunaishi.
Hahaha..Wanasimba itabidi tukatafute nchi ya kuishi
Hawala ana TalakaHakuna Mume wa ndoto duniani, huyo mwanaume atakuwa member, tulisema hakuna kaburi, hakuna kuoa single Mama
πππππDuhUnaanzaje mechi na umefungwa goli moja bila
Ni kweli tunatafuta na sio kutafutwa, umeongea point kabisa.NB: dear ladies wanaume hawatafutwi wao ndo wanatafuta tujipe furaha tu afu tutafute hela