Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

Kanyolewa na wachawi.

Hamna namna ya kuielezea hiyo.
 
kwa kuwa sio kipara Cha kuzaliwa na Wala hakubebeshwa sufuria kama Wa lusajo shuleni ....zitaota tu

Pia mwambie aache ukuda
 
Mkuu

Hii case nataka tupate maelezo ya kitaalamu

Ahsante
Alopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zako
 
Attachments

  • Screenshot_20250123-214744_Chrome.jpg
    256.5 KB · Views: 2
Mkuu hii ni advanced science labda hii case iwafikie ma Dr wa Appolo India inatisha kama ni kweli.
 
Hormones change inatokea ghafla ? Tena usiku tu mkuu, na inachagua maeneo ya kuondoa nywere na hazionekani zilipoenda

Tunaomba ufafanuzi zaidi mkuu
Ila mkuu anasema nywele hazioenekani
 
Alopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zako
Alopecia areata

Ahsante sana mkuu,

Ila hakuna maelezo yanayojitosheleza, hilo neno ni la kiingereza kiswahili chake ni kunyolewa nywele

Pathophysiology yake ipoje?
 
Alopecia Aretha hio ni medical condition , atulize tu wenge zitaota zenyewe au zinaweza zisiote ni viraka vikaongezeka kichwani ukileta tu mapepe unatajirisha mganga na unagombana na bibi zako
Vipi hii halopecia areata inaweza tokea kichwani na sehemu za siri ?

Namaanisha nywele kupotea kichwani na zile za sehemu ya siri zinapotea tena?
 
Mke wake atakuwa amemnyoa alipokuwa usingizini kwa imani potofu za ushirikina
 
Sasa mbona utukane hivo mkuu wewe umeishia level gani master
 
Halafu tapeli moja litasema umeibiwa nyota yako
Yaani umasikini aisee
Sijui nyota gani anayo kichwa cha hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…