Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Tulionya mapema kabisa watu wajinga wajinga wakabisha
 
Mkuu, malizia tu pointi yako

Haya mafumbo yanavutia ukiyategua aisee😂
 
Mkuu, malizia tu pointi yako

Haya mafumbo yanavutia ukiyategua aisee😂

Uhalisia pale wanapopaita israel ya sasa. Ni arab land

Wazungu walijikusanya wakapelekwa pale wakidai ni wa israel wamerudi nchi yao ya ahadi kwenye bible.. hii ilifanywa kwa ajili ya wazungu waweze kuzilinda historical sites za ukristo. Maana wazungu wanafaidika sana na imani ya ukristo. Sadaka za dunia nzima kuna parcent zinaenda roma na marekani. Hivyo lazima point muhimu za ukristo zilindwe .

Jaribu kuwaza waarabu wangemiliki hizo sehemu wangekubali ziendelee kuwepo sehemu ambazo ukristo unasema alizaliwa yesu, alisulubiwa yesu. Alipewa amri kumi ibrahim..

Zingekuwa zimeshafutwa na waarabu hivyo wakristo wangebaki hawana historical sites.

Wale wanaojidai wa israel now ni wazungu waliokusanywa na kwenda kuishi pale kwa sababu muhimu
 
Aisee

Unamaanisha pia kwamba, ni uwongo kusema nchi ile ndilo eneo la watu ama Waisraeli walioahidiwa na Mungu kwamba wataikalia ile nchi??
 
Kasome Agano la kale ndo UTAJUA KUWA HUWAJUHII hawo majamaaa!
 
Aisee

Unamaanisha pia kwamba, ni uwongo kusema nchi ile ndilo eneo la watu ama Waisraeli walioahidiwa na Mungu kwamba wataikalia ile nchi??

Habari za mungu ni za kiimani

Imani ya wakristo na biblia ndio inasema hivyo.

Duniani kuna dini zaidi ya kumi.

Imani za dini zingine hazisemi hivyo.

Kila dini inajiona yenyewe ipo sahihi na mwenzake ni muongo.

Na pia kwa uhalisia wa macho, duniani hakuna nchi ambayo raia wake hawafanani na majirani zake kwa muonekano.

Why itokee nchi moja tu ghafla tena kwa kusema wamerudi nchi yao ya ahadi

Yaani tanzania tuwe wazungu. Halafu majirani zetu wote kwenye mipaka kenya, uganda, rwanda, burundi, zambia wawe hawafanani na sisi wawe na muonekano wa wachina kwa mfano ama wawe weusi.. je haitaleta maswali ?
 
Samahani kiongozi, naomba mwongozo wako


1. Kuna jamii hapa duniani inaitwa Wayahudi/Waisrael?

Kama ni ndiyo,
2. Wayahudi asili yao ni wapi?
3. Eneo linalopaswa kuwa la Wayahudi ni lipi?.

Ninatanguliza shukrani zangu maana binafsi ni maamuma wa historia ya dunia.
 

Mimi siamini biblia wala dini zingine.

Hivyo kidini siwezi kujibu swali lako kwa jibu unalolitaka la niseme ndio. Siamini kama kuna raia wanaitwa wayahudi kwa kigezo cha kutajwa mwenye biblia. Siamini biblia wala kitabu cha dini yoyote

Mimi ninajibu hoja kwa kutumia evidence zinazoonekana kwa macho.

Ndio maana nimetaja raia wa nchi jirani huwa wanafanana kwa muonekano. Bila kujali hao raia wana asili gani
 
Shukrani.
 
Mmarekani akiondoa support kwa Israel wanaweza kufutwa saa nusu.

I’m just being honest and realistic.
 
Kama sikosei ni Uingereza walianzisha.
 
GAZA HAITA RUDI TENA KWA WAPALESTINA kaa mtambue hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…