Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, malizia tu pointi yakoUngejua siasa za dunia ungeelewa kwa nini Tanzania hatuwezi kuwa kama israel.
Ushawai jiuliza kwa nini israel ndio nchi pekee duniani yenye raia ambao hawafanani na majirani zake wote kimuonekano ? China , korea, japan wanafanana kimuonekano, india, bagladesh, Pakistan, wanafanana kimuonekano, Tanzania, burundi, kenya, uganda, rwanda , Zambia, Malawi tunafanana kimuonekano.marekani, mexico na canada wanafanana kimuonekano, south america Argentina, uruguay, Venezuela, raia wanafanana kimuonekano.
Cha kushangaza Israel wazungu kwa muonekano ila majirani zao nchi karibu zote ni wa arab kwa muonekano.
Pili ushawai kujiuliza kwa nini team za mpira za israel zinashiriki mashindano ya uefa champions league na europa league huku nchi yao haipo ardhi ya ulaya.
Mkuu, malizia tu pointi yako
Haya mafumbo yanavutia ukiyategua aisee😂
AiseeUhalisia pale wanapopaita israel ya sasa. Ni arab land
Wazungu walijikusanya wakapelekwa pale wakidai ni wa israel wamerudi nchi yao ya ahadi kwenye bible.. hii ilifanywa kwa ajili ya wazungu waweze kuzilinda historical sites za ukristo. Maana wazungu wanafaidika sana na imani ya ukristo. Sadaka za dunia nzima kuna parcent zinaenda roma na marekani. Hivyo lazima point muhimu za ukristo zilindwe .
Jaribu kuwaza waarabu wangemiliki hizo sehemu wangekubali ziendelee kuwepo sehemu ambazo ukristo unasema alizaliwa yesu, alisulubiwa yesu. Alipewa amri kumi ibrahim..
Zingekuwa zimeshafutwa na waarabu hivyo wakristo wangebaki hawana historical sites.
Wale wanaojidai wa israel now ni wazungu waliokusanywa na kwenda kuishi pale kwa sababu muhimu
Kasome Agano la kale ndo UTAJUA KUWA HUWAJUHII hawo majamaaa!Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani.
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile.
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Aisee
Unamaanisha pia kwamba, ni uwongo kusema nchi ile ndilo eneo la watu ama Waisraeli walioahidiwa na Mungu kwamba wataikalia ile nchi??
Samahani kiongozi, naomba mwongozo wakoHabari za mungu ni za kiimani
Imani ya wakristo na biblia ndio inasema hivyo.
Duniani kuna dini zaidi ya kumi.
Imani za dini zingine hazisemi hivyo.
Kila dini inajiona yenyewe ipo sahihi na mwenzake ni muongo.
Na pia kwa uhalisia wa macho, duniani hakuna nchi ambayo raia wake hawafanani na majirani zake kwa muonekano.
Why itokee nchi moja tu ghafla tena kwa kusema wamerudi nchi yao ya ahadi
Yaani tanzania tuwe wazungu. Halafu majirani zetu wote kwenye mipaka kenya, uganda, rwanda, burundi, zambia wawe hawafanani na sisi wawe na muonekano wa wachina kwa mfano ama wawe weusi.. je haitaleta maswali ?
Mkuu basi tuambie na mwisho wa dunia utakuwa liniVita vya Israel na farestine .ni vita vya kimkakati.
hivyo vita ndivyo vipimo vya mwisho wa dunia.
Samahani kiongozi, naomba mwongozo wako
1. Kuna jamii hapa duniani inaitwa Wayahudi/Waisrael?
Kama ni ndiyo,
2. Wayahudi asili yao ni wapi?
3. Eneo linalopaswa kuwa la Wayahudi ni lipi?.
Ninatanguliza shukrani zangu maana binafsi ni maamuma wa historia ya dunia.
Shukrani.Mimi siamini biblia wala dini zingine.
Hivyo kidini siwezi kujibu swali lako kwa jibu unalolitaka la niseme ndio. Siamini kama kuna raia wanaitwa wayahudi kwa kigezo cha kutajwa mwenye biblia. Siamini biblia wala kitabu cha dini yoyote
Mimi ninajibu hoja kwa kutumia evidence zinazoonekana kwa macho.
Ndio maana nimetaja raia wa nchi jirani huwa wanafanana kwa muonekano. Bila kujali hao raia wana asili gani
Mmarekani akiondoa support kwa Israel wanaweza kufutwa saa nusu.Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana.
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Iran.
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani.
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile.
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Kama sikosei ni Uingereza walianzisha.Ushawai ona mataifa makubwa kama Russia, China, india, Japan, Korea, Brazil, Wakichokozwa na hicho kitaifa?
Kanawaonea hao waarabu koko kwakuwa hawana nguvu wala hawana umoja.
Hilo taifa lingekaa location ya nchi zenye nguvu kama kwa braza Kiduku au Russia, leo hii tusingejua kama kuna hako kanchi au kangeshakuwa mkoa wa kaskazini mwa india/china au Russia[emoji23].
Ilo Sio taifa ni mkoa wa jamuhuri ya muungano wa mataifa ya ulaya+USA+Canada+ baadhi ya mamluki wa kiarabu.
Hako kaisraeli ni kataifa ambako wazungu waliamua kukaunda eneo la waarabu kwa kutumainisha kalikuwepo hapo na kanapata Full support ya misaada ya kijeshi+kiuchumi kutoka ulaya kwa baba zake, ukikagusa umewagusa baba zake, so ni vigumu kwa nchi dhaifu za hao waarabu kupambana nako mybe wakitumia ambush au wakiwatumia wababe wa dunia, peke yao ni ngumu kushinda vita na taifa lenye support ya nchi zaidi 10 zenye nguvu kijeshi, kiuchumi, kisiasa, mpaka kipropaganda na kiimani[emoji23].
Huo ndio ukweli mchungu.