Kale ka nchi kanaweza kuvamiwa na kushambuliwa, lakini mwisho wa siku, mvamizi ataambulia kujuta na kusaga meno

Mbona umeandika utumbo
 
Israeli hajawahi pigana vita bila ya kumtegemea mmarekani. Mimi nilidhani hii vita ya sasa na Hamas na Hesbolah atamaliza kazi mwenyewe lakini wapi! tiyari kaomba msaada kutoka Marekani
Dawa ni kumgonga tu US kwisha habari 😂
 

Hako kanchii watu wake wameshindikana, hiyo inchii ni Tofauti sana na mataifa yote hapa duniani, ina hivu vitu ambavyo hamna nchi nyingine inavyo. Moja, ni taifa ambalo watu wake wote ni damu moja, ni ndugu. Mbili, ni taifa pekee ambalo raia wake wana dini moja. Tatu, ni taifa ambalo watu wake wana historia ndefuu kutoka kale, wakati himaya na mammlaka nyingine zotee zilishapitaa ila wao wamebakii.

Ukishaona, Marekani, Urusi, Uchina wote wanataka kuwa kwenye kurasa moja na hawa watu fikiri mara mbili kabda ya kutenda.
 
Wayahudi hawaruhusu jirani awe na msuli wa kijeshi kwa sababu za kiusalama. Hamas wanaponza sana rain wao kwa style ya kishamba ya vita kufanya human shield. Vichwa vigumu kama Netanyau au Ariel Sharon enzi zake ni balaa .... you'll be gifted Fire and Fury [emoji91]
 
Dini moja?? Unamaana gani hapo mkuu
 
Hiyo ni ulaya na Marekani ndogo ndani ya mashariki ya kati, wasraeli wengi ni raia wa Marekani au ulaya, Marekani anapeleka msaada wa kijeshi
 
Jipe moyo
 
Jipe moyo
 
Kana connection kubwa sana ka nchi haka. Ndo ubabe wake unaijia hapo
 
Myahudi wakwel ambae wao wanamtambua niyule pure kwababa namama wanazo DNA test zao wanapimana nandio ilitumika kuchagua watu wakurud hapo kutoka ukimbizin...
Nb. Wazayuni niwabaguzi mno wanamin kwenye race yao
 
Halikupigwa bomu???

Natamani wanayoyafanya Hamas wangekuwa wanayafanya na kunakofanyika party za hao wa§£nge kwangu ingekuwa la maana kweli!
Kwakwel mim shoga likiuawa niburudan mno Israel nawakubal ila kwahuu usenge wao wacha wale chuma
 
Netanyahu nae ameshakua debe tupu anaongea bila vitendo nchi yake imepigika yeye analeta taaram
 
Hamasi unawajua...ni jeshi la nchi au kikundi?
Unajua Gaza ina ukubwa gani?
Ili uingie Gaza Unajua unapita ukaguzi wa Israeli.
Waziri mkuu aneshakalia kuti kavu. Kuunda serikali ilimpa tabu, sasa pakitulia serikali yake inaanguka.
 
Yaani mfano Iddi Amin alivyokuja Tz aje aseme hapa ni kwa waganda unamuuliza tangu lini anakuonyesha mstari wa biblia.

We ungemuelewa?
 
Wanaoteseka hapo ni raia wa Israel ambao ndio wanaoishi Kwa furaha, Kwa wapalestina wanaona sawa tu maana kero ya kuishi Gaza strip ni kama umekufa ila unatembea, we kieneo Cha 7x52km mkae zaidi ya watu 2m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…