Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Ni kweli sasa fanya 1000 mara 1000 ndo majibu hayo yatakavyokuwa huko.Netanyahu macho yamemtoka watu elfu 1000 sio mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli sasa fanya 1000 mara 1000 ndo majibu hayo yatakavyokuwa huko.Netanyahu macho yamemtoka watu elfu 1000 sio mchezo
Mbona umeandika utumboSio mwsho wa dunia sema mwisho wa vita ya wazungu na waarabu.
Mwisho wa dunia ungetokea muda mrefu pale afrika yenye idadi kubwa ya watu ilipovamiwa na mamilioni ya waafrika kuuwawa na wengine kupelekwa utumwani, pia dunia ingeisha pale afrika wanapopigana kila siku kwa vita za kuchonganishwa na hao hao mabwana zenu...
Amkeni enyi wafungwa wa akili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tarehe 22 Disemba ninakwend kupata mafunzo maalum huko.
Ni nchi ya ndoto yangu
Dawa ni kumgonga tu US kwisha habari 😂Israeli hajawahi pigana vita bila ya kumtegemea mmarekani. Mimi nilidhani hii vita ya sasa na Hamas na Hesbolah atamaliza kazi mwenyewe lakini wapi! tiyari kaomba msaada kutoka Marekani
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Wayahudi hawaruhusu jirani awe na msuli wa kijeshi kwa sababu za kiusalama. Hamas wanaponza sana rain wao kwa style ya kishamba ya vita kufanya human shield. Vichwa vigumu kama Netanyau au Ariel Sharon enzi zake ni balaa .... you'll be gifted Fire and Fury [emoji91]Ushawai ona mataifa makubwa kama Russia, China, india, Japan, Korea, Brazil, Wakichokozwa na hicho kitaifa?
Kanawaonea hao waarabu koko kwakuwa hawana nguvu wala hawana umoja.
Hilo taifa lingekaa location ya nchi zenye nguvu kama kwa braza Kiduku au Russia, leo hii tusingejua kama kuna hako kanchi au kangeshakuwa mkoa wa kaskazini mwa india/china au Russia[emoji23].
Ilo Sio taifa ni mkoa wa jamuhuri ya muungano wa mataifa ya ulaya+USA+Canada+ baadhi ya mamluki wa kiarabu.
Hako kaisraeli ni kataifa ambako wazungu waliamua kukaunda eneo la waarabu kwa kutumainisha kalikuwepo hapo na kanapata Full support ya misaada ya kijeshi+kiuchumi kutoka ulaya kwa baba zake, ukikagusa umewagusa baba zake, so ni vigumu kwa nchi dhaifu za hao waarabu kupambana nako mybe wakitumia ambush au wakiwatumia wababe wa dunia, peke yao ni ngumu kushinda vita na taifa lenye support ya nchi zaidi 10 zenye nguvu kijeshi, kiuchumi, kisiasa, mpaka kipropaganda na kiimani[emoji23].
Huo ndio ukweli mchungu.
Dini moja?? Unamaana gani hapo mkuuHako kanchii watu wake wameshindikana, hiyo inchii ni Tofauti sana na mataifa yote hapa duniani, ina hivu vitu ambavyo hamna nchi nyingine inavyo. Moja, ni taifa ambalo watu wake wote ni damu moja, ni ndugu. Mbili, ni taifa pekee ambalo raia wake wana dini moja. Tatu, ni taifa ambalo watu wake wana historia ndefuu kutoka kale, wakati himaya na mammlaka nyingine zotee zilishapitaa ila wao wamebakii.
Ukishaona, Marekani, Urusi, Uchina wote wanataka kuwa kwenye kurasa moja na hawa watu fikiri mara mbili kabda ya kutenda.
Jipe moyoSjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Jipe moyocabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Kana connection kubwa sana ka nchi haka. Ndo ubabe wake unaijia hapoSjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika!
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye kisrani sana
Ni kagomvi mpaka nachukia, hakaogopi nchi kubwa wala mhuni kama Irani
Naomba kujua, mafunzo ya kijeshi jeshi la Israel hupata kutoka jeshi la nchi gani?
Je, tuna nchi ambayo hupewa mafunzo na jeshi la Israel kwa sasa? Jeshi hilo ni mahiri kiasi gani katika medeni za kivita?
Ni taifa dogo na lenye watu wachache, cha ajabu ndio taifa linaloogopeka zaidi Duniani
Ni taifa lenye jeshi imara zaidi ya nchi kama Iran, Saudi Arabia, brazil, na hata North Korea n.k
Africa tuna kwama wapi?
Mfano kama Nchi yangu Tanzania!
Hatujisikii aibu kuwa na nchi kuuubwa, lakini hatuwezi kabisa kuwa kwenye position kama hizo?
Mimi napenda mashindano siku zote, huwa sipendi kuachwa nyuma, ndivyo ninavyojisikia wivu nchi yangu kuwa nyuma kiasi vile
Tutafikia lini hapo? Kiasi cha kumkoromea hata Marekani, china, urusi na hata nchi yoyote?
Myahudi wakwel ambae wao wanamtambua niyule pure kwababa namama wanazo DNA test zao wanapimana nandio ilitumika kuchagua watu wakurud hapo kutoka ukimbizin...naomba nikufafanulie, waisrael wa awali walikuwa na sura kama za watu wa iraq. wapo wengine walikimbilia mataifa kama ya Yemen na uarabuni, wana sura za chotara wa kiarabu na kizungu, wengine walienda India, wana sura za kihindi na kiyahudi mchanganyiko, hadi leo wapo. wengi wao walikimbilia ulaya, wamechanganyana na wazungu, usitegemee sura itabaki ile ile. mfano, ashkenaz jews, wale wa ulaya wana uzungu fulani, manake mama alikuwa myahudi na baba mzungu au baba mzungu mama myahudi, na hao wanaozaliwa ni wayahudi.
sawa na leo, mtu anazaliwa na mama mzungu, baba mwafrika au baba mwafrika na mama mzungu, yule mtoto chotara kama ana damu ya kitanzania, atakuwa mtanzania tu. hivyo hata hao unaosema sio wayahudi ni wazungu ni kwamba kwa miaka 400 walikuwa ukimbizini middle east, iran, iraq, europe, urusi na wengi marekani, australia, south africa nakadhalika. vizazi vyao leo wewe uje useme sio wayahudi ni wazungu? unafikiri una akili nzuri?
Kwakwel mim shoga likiuawa niburudan mno Israel nawakubal ila kwahuu usenge wao wacha wale chumaHalikupigwa bomu???
Natamani wanayoyafanya Hamas wangekuwa wanayafanya na kunakofanyika party za hao wa§£nge kwangu ingekuwa la maana kweli!
Netanyahu nae ameshakua debe tupu anaongea bila vitendo nchi yake imepigika yeye analeta taaramWayahudi hawaruhusu jirani awe na msuli wa kijeshi kwa sababu za kiusalama. Hamas wanaponza sana rain wao kwa style ya kishamba ya vita kufanya human shield. Vichwa vigumu kama Netanyau au Ariel Sharon enzi zake ni balaa .... you'll be gifted Fire and Fury [emoji91]
Hamasi unawajua...ni jeshi la nchi au kikundi?cabinet yao imeshapiga kura wamempa Netanyau mamlaka ya kufanya chochote bila consultation with the cabinet. Netanyau ana hasira sana na ameaibishwa sana,hatujui atafanya kitu gani ila lazima anataka kuwaaminisha wayahudi kwamba hata kama intelijensia yake imefeli pakubwa, bado ni mtu mwenye uwezo kuliokoa taifa. hamas wamefanya timing mbaya walitakiwa wasubiri wajijenge kwanza na wawe na sapoti ya mataifa ya nje kama iran. wao wameyatimba peke yao, hadi sasa ni wengi mno wamekufa pamojana kurukaruka kama mabaunsa wa mbagala vile.
Yaani mfano Iddi Amin alivyokuja Tz aje aseme hapa ni kwa waganda unamuuliza tangu lini anakuonyesha mstari wa biblia.Mwanzo 12:1-3
Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Ondoka katika nchi yako, acha jamaa yako na nyumba ya baba yako, uende katika nchi nitakayokuonesha. Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka. Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Wanaoteseka hapo ni raia wa Israel ambao ndio wanaoishi Kwa furaha, Kwa wapalestina wanaona sawa tu maana kero ya kuishi Gaza strip ni kama umekufa ila unatembea, we kieneo Cha 7x52km mkae zaidi ya watu 2mWayahudi hawaruhusu jirani awe na msuli wa kijeshi kwa sababu za kiusalama. Hamas wanaponza sana rain wao kwa style ya kishamba ya vita kufanya human shield. Vichwa vigumu kama Netanyau au Ariel Sharon enzi zake ni balaa .... you'll be gifted Fire and Fury [emoji91]