Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Una wivu wa kike. Over.
 
tafuteni wachina walibebe hili jengo liende dodoma kuokoa pesa za walala hoi zisipotee.
 
Hapo jengo likiisha linaweza kutumiaka mda gani bila kuhitaji jengo jingine? Uoni ni mipango ya mda mrefu?
 
Kwanza tanesco walitakiwa wawe na ofisi chini ya transformer zao...
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Unajua Hospital ya kanda ya kusini inayojengwa Mtwara iko Km ngapi kutokea Mtwara center?
 
Hii jengo ndio lipo pia Geita mjini eneo la magogo, waliotoa hela ya ujenzi ni Tanesco wenyewe

Wajenzi ni TBA wakisaidiwa na TEMESA (kama wajenzi washauri)

Kama JPM angekuwa hai bado nadhani sasa hivi kungekuwa kunaendelea ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Chato ama chuo kikuu cha afya Mhimbili tawi la Chato maana upembuzi yakinifu ulikuwa tayari umefanyika
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Wana maajabu gani maspeshalisti ya kutokaa chato? Mbona wapo mahospitali ya misheni huku mawilayani
 
Huwez kuleta maendeleo kwa gorofa ya tanesco ilhali chato 40% ni maskini wa kutupwa wasio na hata makaz bora(nyumba za nyasi) huko mlimani unakosema hawana nyumba ya nyasi Wala watoto wao hawakai chini kwa kukosa madarasa,mentality first majengo baadae
 
Inawezekana lengo ilikuwa kujenga ofisi kubwa zaidi nchi nzima,kwahiyo walianzia na Chato.Au mkuu ungependelea waanzie na mkoa gani...!
 
Dah, Mwendazake alikuwa mbinafsi Sana, hivi ingekuwaje Kama angefanikiwa kumaliza miaka yote kumi, si makao makuu ya Nchi angehamishia kwao kabisa,


Aisee Mungu anatupenda Sana watanzania, kutuondolea bwana yule na kutuletea Rais muungwana kabisa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…