nimeipenda hii - chato kijiji ha ha ha haHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeipenda hii - chato kijiji ha ha ha haHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato,
Una wivu wa kike. Over.Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya ziwa, kanda ya kati,kaskazini na nyanda za juu kusini. Tanesco ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja was umeme chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji LA mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
tafuteni wachina walibebe hili jengo liende dodoma kuokoa pesa za walala hoi zisipotee.Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya ziwa, kanda ya kati,kaskazini na nyanda za juu kusini. Tanesco ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja was umeme chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji LA mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Kuna timu haitaki kabisa haya makaburi yafukuliwe, eti ndo walikuwa wanajiita wazalendo.
Hapo jengo likiisha linaweza kutumiaka mda gani bila kuhitaji jengo jingine? Uoni ni mipango ya mda mrefu?Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya ziwa, kanda ya kati,kaskazini na nyanda za juu kusini. Tanesco ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja was umeme chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji LA mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Halafu kumbe structure ya majengo ya tanesco ni moja...Chato kwani hamjui ilitakiwa iwe nchi? Mungu aliingilia kati mapemaaaaa sasahivi hata lile liuwanja la ndege imebaki stori
Unajua Hospital ya kanda ya kusini inayojengwa Mtwara iko Km ngapi kutokea Mtwara center?Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Wana maajabu gani maspeshalisti ya kutokaa chato? Mbona wapo mahospitali ya misheni huku mawilayaniKuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Kama haijaisha basi ihishie hapo hapo!
Huwez kuleta maendeleo kwa gorofa ya tanesco ilhali chato 40% ni maskini wa kutupwa wasio na hata makaz bora(nyumba za nyasi) huko mlimani unakosema hawana nyumba ya nyasi Wala watoto wao hawakai chini kwa kukosa madarasa,mentality first majengo baadaeWalizoea miaka ile kuringishia kuwa milimani mashule, lami na umeme hadi vijijini ndani kabisa migombani na hakuna mtu alilalamika ila watu tulikuwa tunaona ni sifa na jambo la kujivunia na kujifunza kuleta maendeleo kama huko kwao. Hata mashuleni tumefundishwa sana imbalance ya maendeleo iliyoletwa na wakoloni ambapo kaskazini kuliendelezwa na kigoma nk kuwa sehemu za manamba. Sasa hawa waliokuwa backward kujaribu kucatch up na maendeleo mijamaa inalalamika na kulialia kama imefiwa
Dah, Mwendazake alikuwa mbinafsi Sana, hivi ingekuwaje Kama angefanikiwa kumaliza miaka yote kumi, si makao makuu ya Nchi angehamishia kwao kabisa,Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Mzee alikuwa mbinafsi Sana, nashangaa misukule yake inayomsifia kila kukicha aiseeDuh! Hiyo ni ofisi ya shirika la umma linalochechemea kimtaji? Tena kijijini Chato? Pasipo hata na wateja elfu? Ibadilishwe kuwa 3-star$ hotel haraka!
itavunjiliwa mbali!Mbona ofisi ni ya kawaida kabisa, kwaiyo waibomoe ?