Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya ziwa, kanda ya kati,kaskazini na nyanda za juu kusini. Tanesco ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja was umeme chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji LA mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja

Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Una wivu wa kike. Over.
 
tafuteni wachina walibebe hili jengo liende dodoma kuokoa pesa za walala hoi zisipotee.
 
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya ziwa, kanda ya kati,kaskazini na nyanda za juu kusini. Tanesco ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja was umeme chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji LA mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja

Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Hapo jengo likiisha linaweza kutumiaka mda gani bila kuhitaji jengo jingine? Uoni ni mipango ya mda mrefu?
 
Kwanza tanesco walitakiwa wawe na ofisi chini ya transformer zao...
 
chato imeondoka namwenye nayo dadadeq... Mungu mkubwa...aheshimiwe na kila mwenye pumzi.

ndugu zangu wa kuabudiwa hapa ulimwenguni ni mmoja tu, you go against - you get what you deserve.

1631857379024.jpeg
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Unajua Hospital ya kanda ya kusini inayojengwa Mtwara iko Km ngapi kutokea Mtwara center?
 
Hii jengo ndio lipo pia Geita mjini eneo la magogo, waliotoa hela ya ujenzi ni Tanesco wenyewe

Wajenzi ni TBA wakisaidiwa na TEMESA (kama wajenzi washauri)

Kama JPM angekuwa hai bado nadhani sasa hivi kungekuwa kunaendelea ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Chato ama chuo kikuu cha afya Mhimbili tawi la Chato maana upembuzi yakinifu ulikuwa tayari umefanyika
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Wana maajabu gani maspeshalisti ya kutokaa chato? Mbona wapo mahospitali ya misheni huku mawilayani
 
Walizoea miaka ile kuringishia kuwa milimani mashule, lami na umeme hadi vijijini ndani kabisa migombani na hakuna mtu alilalamika ila watu tulikuwa tunaona ni sifa na jambo la kujivunia na kujifunza kuleta maendeleo kama huko kwao. Hata mashuleni tumefundishwa sana imbalance ya maendeleo iliyoletwa na wakoloni ambapo kaskazini kuliendelezwa na kigoma nk kuwa sehemu za manamba. Sasa hawa waliokuwa backward kujaribu kucatch up na maendeleo mijamaa inalalamika na kulialia kama imefiwa
Huwez kuleta maendeleo kwa gorofa ya tanesco ilhali chato 40% ni maskini wa kutupwa wasio na hata makaz bora(nyumba za nyasi) huko mlimani unakosema hawana nyumba ya nyasi Wala watoto wao hawakai chini kwa kukosa madarasa,mentality first majengo baadae
 
Inawezekana lengo ilikuwa kujenga ofisi kubwa zaidi nchi nzima,kwahiyo walianzia na Chato.Au mkuu ungependelea waanzie na mkoa gani...!
 
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja

Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Dah, Mwendazake alikuwa mbinafsi Sana, hivi ingekuwaje Kama angefanikiwa kumaliza miaka yote kumi, si makao makuu ya Nchi angehamishia kwao kabisa,

Aisee Mungu anatupenda Sana watanzania, kutuondolea bwana yule na kutuletea Rais muungwana kabisa mwanamke
 
Back
Top Bottom