Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Unadhani hana akili? Kutumikishwa kifikra kuna gharimu akili yupo yupo tu.
 
Wasukuma wangi walifeli haraka sana, sasa ofisi kubwa kama hii ina faida gani kwa wapiga kura wao?
 
Walipata madaraka makubwa wakawa na vipaumbele vya kijinga hivi huko chato mahitaji Yao yalikuwa ofisi kubwa ya Tanesco?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Kuna mbegu hazitakiwi kutawala watakomba hazina yote.
Love uko poa? cariha
 
Hiki kizazi cha Chato inabidi kiangaliwe kwa tahadhari sana. Hawa watu ni wabinafsi kuliko hata shetani. Nina uhakika hata shetani anashangaa matendo ya wanaChato
Kabisa
 


Sifa na utukufu ni vyake Mungu
 
Duh! Hiyo ni ofisi ya shirika la umma linalochechemea kimtaji? Tena kijijini Chato? Pasipo hata na wateja elfu? Ibadilishwe kuwa 3-star$ hotel haraka!
Mheshimiwa Spika naunga mkono hoja.
Pwa pwa pwa
Pwa pwa pwa
 
acheni ufara mji unazidi kukua nyie mlitaka wajenge jengo dogo baadae waje wajenge lingine muwe mnaangalia na kesho
 
Inawezekana CHATTO ilikuwa inaenda kuwa kitovu cha umeme Kanda ya Ziwa
 
Walipata madaraka makubwa wakawa na vipaumbele vya kijinga hivi huko chato mahitaji Yao yalikuwa ofisi kubwa ya Tanesco?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Bora hata wangeiga mfano wa wachaga walivyopataga madaraka walifanyeje.
Wangechota mapesa baadaye wanawapa ndugu zao wafanyie biashara baadaye huko.
Ama unasemaje cariha? Ila wao wamekimbilia kujenga majengo. Wangejenga mashule,veta ,wangejitahidi na hata wao wawe na bank yao
 
Tatizo sio maendeleo tatizo ni namna hayo maendeleo yanapatikana je yanakua endelevu na tija. Maana uwekezaji uliofanyika chato hauendani na mahitaji halisi na mazingira ila ilifanyika kumfurahisha mfalme
Pumbavu, mradi wa umeme Rufiji uko chatto? mbona hata wenyewe mmepiga mikelele kusema hauna maana?

Mradi wa njia treni ya umeme, na wenyewe mmepiga kelele kusema hauna maana, na wenyewe uko chatto?

Mradi wa ubungo interchange, na wenyewe mlipiga kelele kwamba hauna manufaa, je na huo uko chatto?

Pumbavu, Ujenzi wa meri ktk maziwa makuu, yote mlisema hauna maana, je, na zenyewe ziko chatto?

Mradi wa stend kuu ya kimataifa mbez, mkamkodisha na Mkaguzi mkuu wa serikari aseme hauna maana, je na wenyewe uko chato?

jinga kabisa
 
Daaah qmmk bora katolewa tu
 
Umeonae
 
Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Wataalamu wanakataa maeneo ya bembezoni kwa sababu ya mazingira mabaya, Marais wote wangelikuwa na akili kama Magufuri,wangelijenga vitu ka hivi kila wilaya, wataalamu wasinge kimbilia mjini,miji kama Dar-as-salaam, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro,yamejaa sababu wataalamu awataki kwenda vijijini sababu ya miundombinu mibovu, tunaitaji viongozi kama Magufuri,wenye maono ya miaka Mia ijayo.
 
Walipata madaraka makubwa wakawa na vipaumbele vya kijinga hivi huko chato mahitaji Yao yalikuwa ofisi kubwa ya Tanesco?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Ni aibu kabisa. Ni kama ile hadithi ya mtu na mkewe walipata pete ya ajabu, wakaambiwa waombe mambo matatu. Mke katoka kidogo, huki bwana kaomba pilau. Mke kakasirika, ujinga gani, unaomba pilau! Una kichwa cha kuku. Mara bwana kawa ma kichwa cha kuku.

Mke kamuonea huruma bwana kuwa na kichwa cha kuku. Pete maomba bwana wangu arudi kichwa cha kawaida. Akarudi. Maombi matatu yameisha, wamepata pilau tu.

Upendeleo siyo kitu kizuri, lakini walipata nafasi ya upendeleo na wakaishia kufanya vitu vya ovyo ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…