kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Inakuja lini? Acha uzwazwa wewe, mtakatifu wenu kaondoka nayo.Kwani chato ni kenya acheni ushamba ,kumbuka chato inakuja kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuja lini? Acha uzwazwa wewe, mtakatifu wenu kaondoka nayo.Kwani chato ni kenya acheni ushamba ,kumbuka chato inakuja kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita
Unadhani hana akili? Kutumikishwa kifikra kuna gharimu akili yupo yupo tu.Wewe dogo uliharibiwa akili na utapia mko ukiwa mdogo. Umeona visifa vya jengo. Hivi ni kweli operations za wilaya Chato zilihitaji ofisi kubwa kiasi kile au swala hilo lilikuwa strategic? Kuna wilaya kama Kinondoni, Ilala na Temeke zenye operations kubwa na bado hazina ukubwa wa jengo kama hilo la Chato.
Fungua hilo fuvu na weka akili hata ya darasa la tatu - kwa hakika utaacha kuangalia mambo kikabila, kichama. Pia fuata dini yako - nina hakika inazuia chuki, fitna, kujikomba nk. Utakuwa mtu bora!!
Wasukuma wangi walifeli haraka sana, sasa ofisi kubwa kama hii ina faida gani kwa wapiga kura wao?Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
KabisaHiki kizazi cha Chato inabidi kiangaliwe kwa tahadhari sana. Hawa watu ni wabinafsi kuliko hata shetani. Nina uhakika hata shetani anashangaa matendo ya wanaChato
Hii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Mheshimiwa Spika naunga mkono hoja.Duh! Hiyo ni ofisi ya shirika la umma linalochechemea kimtaji? Tena kijijini Chato? Pasipo hata na wateja elfu? Ibadilishwe kuwa 3-star$ hotel haraka!
acheni ufara mji unazidi kukua nyie mlitaka wajenge jengo dogo baadae waje wajenge lingine muwe mnaangalia na keshoHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
Karibu Karagwe kuna kaanchi kalinunuliwa na kanamilikiwqAlijenga yeye au Tanesco?
Huyo kalemaniMkuu kwa hiyo unataka mkataba uvunjwe? Nani atalipa gharama za kuvunja mkataba?
Bora hata wangeiga mfano wa wachaga walivyopataga madaraka walifanyeje.Walipata madaraka makubwa wakawa na vipaumbele vya kijinga hivi huko chato mahitaji Yao yalikuwa ofisi kubwa ya Tanesco?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Mkuu, Nd. Kalemani yeye si alikuwa Waziri wa Nishati, sasa mwenye jukumu la ujenzi wa jengo sio Wizara ya Ujenzi? na kama ndivyo Kalemani ANALIPAJE FIDIAHuyo kalemani
Pumbavu, mradi wa umeme Rufiji uko chatto? mbona hata wenyewe mmepiga mikelele kusema hauna maana?Tatizo sio maendeleo tatizo ni namna hayo maendeleo yanapatikana je yanakua endelevu na tija. Maana uwekezaji uliofanyika chato hauendani na mahitaji halisi na mazingira ila ilifanyika kumfurahisha mfalme
Unaijua Chato wewe ama unajiandikia tu!Kwani chato ni kenya acheni ushamba ,kumbuka chato inakuja kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita
Daaah qmmk bora katolewa tuHii ni Ofisi ya Tanesco iliyojengwa kwenye kijiji (wao wanaita wilaya) ya Chato, ni kubwa kuliko ofisi yoyote katika mikoa ya kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati,Kaskazini na Nyanda za Juu Kusini. Tanesco ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Dk. Kalemani, wateja wa umeme Chato wakifika elfu tano ni bahati sana, ofisi hiyo ni kubwa kuliko hata ya Tanesco jiji la Mwanza ambako kuna mamilioni ya wateja
Mh. Samia,asante kwa kumuondoa Kalemani, huu ni ufisadiView attachment 1941428
UmeonaeHawa Sukuma Gang walikuwa na ajenda chafu na mbaya dhidi ya nchi hii.
Yasirudiwe tena makosa yaliyofanyika mpaka nchi kuingizwa mkenge kiasi hiki.
Hawa watu wa Chato wanapaswa kutengwa na plan za maendeleo mpaka tugawe mkate sawa na mikoa ya kusini kwanza at least kwa miaka 10 watu wa Chato watengwe kama Nyerere alivyoitenga mikoa ya Singida na Tabora enzi hizo.
Wataalamu wanakataa maeneo ya bembezoni kwa sababu ya mazingira mabaya, Marais wote wangelikuwa na akili kama Magufuri,wangelijenga vitu ka hivi kila wilaya, wataalamu wasinge kimbilia mjini,miji kama Dar-as-salaam, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro,yamejaa sababu wataalamu awataki kwenda vijijini sababu ya miundombinu mibovu, tunaitaji viongozi kama Magufuri,wenye maono ya miaka Mia ijayo.Kuna watu watasema kwani Chato sio Tanzania, lakini Ni kweli kulikuwa na uhitaji huo?
Hospitali ya kanda Chato, ni specialist gani utamtoa Dar, Mwanza, Mbeya na miji mingine atakayekubali kukaa chato?
Ni aibu kabisa. Ni kama ile hadithi ya mtu na mkewe walipata pete ya ajabu, wakaambiwa waombe mambo matatu. Mke katoka kidogo, huki bwana kaomba pilau. Mke kakasirika, ujinga gani, unaomba pilau! Una kichwa cha kuku. Mara bwana kawa ma kichwa cha kuku.Walipata madaraka makubwa wakawa na vipaumbele vya kijinga hivi huko chato mahitaji Yao yalikuwa ofisi kubwa ya Tanesco?
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa