Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

Makala inayolazimisha uhalali wa kuteuliwa asiyestahili(January Makamba), Mtatumika sana
 
Ule uwanja nao vipi? hautaota nyasi tu? Yani kuna watu wabinafsi sana humu duniani... Lile tawi la CRDB linaendeleaje?
 
Ule uwanja nao vipi? hautaota nyasi tu? Yani kuna watu wabinafsi sana humu duniani... Lile tawi la CRDB linaendeleaje?
Mkuu ule uwanja wanachoto wameomba wautumie kuanika mpunga
hukuona?
 
Dah meku na kundi lake la chako ni wakabila sana,hela zote walikua wanapeleka chato mahali hata uweke matrilioni hakuwezi kubadilika
 
Ni Wapi mleta Mada ametaja wachaga? Unawashwa washwa na wachaga
Yani huyu jamaa ana chuki binafsi na wachagga na roho ya kimasikini sana.

Ni ile roho ya mwendazake ya kuchukia waliofanikiwa.
 
Nilifika chato majuzi na kuona taa za barabarani kila mahali Hadi vichochoroni pamoja na barabara za lami kila mtaa wa chato.
 
Ndio mnataka libakie gofu bila kumaliziwa?
Ni bora tba wapendekeze matumizi mengine au jengo la kibiashara lenye ofisi za serikali.
 
Kwani chato ni kenya acheni ushamba ,kumbuka chato inakuja kuwa makao makuu ya mkoa wa Geita
MOBUTU ALIJENGA KIJIJINI KWAO MAJUMBA NI MAGOFU. Uwanja wa ndege pia. Tuwe waangalifu na hili lisitokee kwetu.
 
Ndio mnataka libakie gofu bila kumaliziwa?
Ni bora tba wapendekeze matumizi mengine au jengo la kibiashara lenye ofisi za serikali.
Acheni roho mbaya, pesa ipelekwe likamilike na serikalini kuna viofisi au idara za watu wachahche wapange .taasisi kama vipimo,ofisi ya madini,ustawi wa jamii,Latra ,hizi ni mifano ya ofisi zisizokuwa na wafanyakazi wengi.
 

Kujaribu kucatch up kwa kuwekeza kwenye kijiji kimoja je huko Kigoma ulikotaja mbona hakukuwa uwekezaji wowote wa maana. Haya makosa siyo ya kawaida kuna haja ya kujuwa kiasi gani cha pesa kiliwekezwa chato kwa kipindi cha miaka 5 kulinganisha na vijiji vingine ili tuone muda gani kijiji cha chato kisipewe hata cent 5
 
Kinyimwe forever kisipate senti hata moja na bajeti yake ipelekwe machame
 
Kwishne, usitegemee serikali iendeleze upuuzi huo. Majengo mengi yatapangiwa kazi nyingine. Ndege ngapi zimetua chato toka aondoke.?

waliokuwa na tabia hiyo ya kulazimisha kila kitu kwao ambao wametoka madarakani kwa aibu kubwa na wote hawa walijenga kwao na vyote walivyojenga sasa ni magofu ni pamoja na.

Yahya Jammeh _


jenga bonge la kasri kijijini kwake na " ZOO" alipohamishia wanyama kila aina. Magari kibao na Acc 75 za USD mamilioni nchi za mabeberu. Na kutembea na Quran na kanzu na viatu vyeupe safi kujidai mtu wa dini sana. Aliwai kutangaza kugundua dawa ya ukimwi.

Felix Boigny-

Cote d IVoire
Mpenda sana dini yake ya Roma Katoliki.
Kanisa kubwa la RC kuliko yote duniani kijijini kwake, na mahela kibao kuhamishia kwa mabeberu.

Mobutu _

Congo. Alikuwa anakula bata na boti lake la anasa alilibatiza jina kamanyola mto congo, uwanja wa ndege wa kutosha kutua ndege yeyote duniani , n.k

JPM
Kila J2 kanisani na Camera zikitoa live coverage.
Uwanja wa ndege kijijini kwake na kutaka kufanya kijiji kiwe wilaya hatimae mkoa, na watu wengine kutaja jina lake sambamba na mungu, na wengine kuomba mungu anapaswa kumshukuru JPM kwa utendaji wake, yeye alisikia na kukaa kimya tu,n.
K.
Bokassa
Mla nyama ya watu. Mshirikina.
alijenga sana kwao na kutawazwa mfalme wa maisha, alipojipa hicho cheo kiti cha dhahabu alikalia na kula bata vibaya sana. Inasemekana alimgegeda mke wa rais wa ufarannsa wakati huo kwa dau kubwa.

Marais ambayo majina yao na nyota zao zinang'aa mpaka kesho na wengine majina kuingia katika mitaala ya shule.

Nelson Mandela
J. Nyerere
Kwame Nkuruma
Martin Luther
Sir S. Khama
Thomas Sankara

NB; Katika kundi hili hatusikii harufu chafu ya kuweka i.e makasri, zoo, viwanja vya ndege, lamborgini , kule kijijini kwao


Utakuta JPM.bahati mbaya anafanana hao waovu wpte walijifanya watu wa dini sana kuzuga na bahati mbaya anaingia katika list mbovu kabisa, Hawa akina Jameh and company walijenga pia ma fly over / interchange na vituo vya afya pia. Chato kwishne.


Pres. Y. JAMEH

 


Akili za kufufua mpango wa kuhamia makao makuu Dodoma na kuwanufaisha wakandarasi na soko lao. Mkandarasi wa huu mradi alikuwa ni nani
 
Jamaa alkua mbinafsi Sana[emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…