Kwishne, usitegemee serikali iendeleze upuuzi huo. Majengo mengi yatapangiwa kazi nyingine. Ndege ngapi zimetua chato toka aondoke.?
waliokuwa na tabia hiyo ya kulazimisha kila kitu kwao ambao wametoka madarakani kwa aibu kubwa na wote hawa walijenga kwao na vyote walivyojenga sasa ni magofu ni pamoja na.
Yahya Jammeh _
jenga bonge la kasri kijijini kwake na " ZOO" alipohamishia wanyama kila aina. Magari kibao na Acc 75 za USD mamilioni nchi za mabeberu. Na kutembea na Quran na kanzu na viatu vyeupe safi kujidai mtu wa dini sana. Aliwai kutangaza kugundua dawa ya ukimwi.
Felix Boigny-
Cote d IVoire
Mpenda sana dini yake ya Roma Katoliki.
Kanisa kubwa la RC kuliko yote duniani kijijini kwake, na mahela kibao kuhamishia kwa mabeberu.
Mobutu _
Congo. Alikuwa anakula bata na boti lake la anasa alilibatiza jina kamanyola mto congo, uwanja wa ndege wa kutosha kutua ndege yeyote duniani , n.k
JPM
Kila J2 kanisani na Camera zikitoa live coverage.
Uwanja wa ndege kijijini kwake na kutaka kufanya kijiji kiwe wilaya hatimae mkoa, na watu wengine kutaja jina lake sambamba na mungu, na wengine kuomba mungu anapaswa kumshukuru JPM kwa utendaji wake, yeye alisikia na kukaa kimya tu,n.
K.
Bokassa
Mla nyama ya watu. Mshirikina.
alijenga sana kwao na kutawazwa mfalme wa maisha, alipojipa hicho cheo kiti cha dhahabu alikalia na kula bata vibaya sana. Inasemekana alimgegeda mke wa rais wa ufarannsa wakati huo kwa dau kubwa.
Marais ambayo majina yao na nyota zao zinang'aa mpaka kesho na wengine majina kuingia katika mitaala ya shule.
Nelson Mandela
J. Nyerere
Kwame Nkuruma
Martin Luther
Sir S. Khama
Thomas Sankara
NB; Katika kundi hili hatusikii harufu chafu ya kuweka i.e makasri, zoo, viwanja vya ndege, lamborgini , kule kijijini kwao
Utakuta JPM.bahati mbaya anafanana hao waovu wpte walijifanya watu wa dini sana kuzuga na bahati mbaya anaingia katika list mbovu kabisa, Hawa akina Jameh and company walijenga pia ma fly over / interchange na vituo vya afya pia. Chato kwishne.
Pres. Y. JAMEH