Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Hii Nchi ya ajabu sana Askari hajui kuogelea, Jangili anajua kuogelea, sasa tufanye hivi ingetokea Ndege ndogo yenye watu sita ingetumbukia humo Ugala Askari wangemuomba Jangili asaidie kuokoa?🤔

When you fight you can't choose a stick.
 
Nina wasiwasi sana na elimu yako ya uhifadhi.
Unaposema masikini alienda kujitafutia chochote hifadhini maana yake unahalalisha watu masikini kuingia hifadhini kujutafutia, well watanzania karibu 90% ni masikiniatu masikini!

Mkuu faida yake wanakula viuongozi huko huko juu.mkuu
 
Wewe kwanini hukumuokoa ulipomuona akizama?

Au umehadithiwa tu?
 
Huyu askali ndio wale darasa la saba. mwenye akili timamu, why all this trouble? ameingia majini , maji mengi achana naye kwani kaiba nini chako mpaka utumbukie majini?

Peaceful arrest sawa, lakini kutumbikia kwenye maji hapana. Au alitaka kuwa kama majaliwa? Wanyama wanaouzwa Arabuni si hayo hayo! Jinga tu wacha lipate faida ya ujuha! (samahani sana kwa lugha kali)
Pande za huko Kaliua huwezi kua jangili bila Kinga ya kalumanzila.
 
Back
Top Bottom