Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

"Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji kilikuwa kirefu hivyo alianza kuomba msaaada kwa wenzake na walimuangalia mpaka akafariki."

Majaliwa wa ndege atachukua nafasi yake.
 
Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili.

Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa.

Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji kilikuwa kirefu hivyo alianza kuomba msaaada kwa wenzake na walimuangalia mpaka akafariki.

Wananchi waliokuwa jirani waligoma kumuokoa na hivyo amefariki, maiti itasafirishwa na ndege kuelekea kwao, poleni familia kwa kumpoteza classmate wangu
Kuna maneno yaliyokaziwa yanayoleta ukakasi.
Kwanza unasema wananchi waliokuwa jirani waligoma kumuokoa. Jee, kuna ye yote aliyewaomba hao wananchi watoe msaada wakagoma? Kauli yako inaashiria hao wananchi labda walikuwa upande wa jangiri. Ukweli labda hawakutoa msaada kwa kuwa tu hawajui kuogelea. Kuna ukakasi katika kusema 'waligoma'.
Pili ni hiyo sentesi ya mwisho kwamba maiti itasafirishwa kwa ndege kwenda makwao. Ni ujumbe gani hasa unaotaka kumfikishia msomaji kwa kueleza namna maiti itakavyosafirishwa? Haitoshi kusema tu kwamba maiti itasafirishwa kwenda makwao?
 
Back
Top Bottom