Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Kaliua: Askari wa wanyama pori afariki

Huyu askali ndio wale darasa la saba. mwenye akili timamu, why all this trouble? ameingia majini , maji mengi achana naye kwani kaiba nini chako mpaka utumbukie majini?

Peaceful arrest sawa, lakini kutumbikia kwenye maji hapana. Au alitaka kuwa kama majaliwa? Wanyama wanaouzwa Arabuni si hayo hayo! Jinga tu wacha lipate faida ya ujuha! (samahani sana kwa lugha kali)
Dah!Marehemu hatukanwi.Lakini...nieleze tu,hakutumia akili ya kiaskari.Usalama wake haukuwa kipaumbele.Sad!
 
Askari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili.

Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa.

Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji kilikuwa kirefu hivyo alianza kuomba msaaada kwa wenzake na walimuangalia mpaka akafariki.

Wananchi waliokuwa jirani waligoma kumuokoa na hivyo amefariki msiba, mati itasafirishwa na ndege kuelekea kwao, poleni familia kwa kumpteza classmate wangu
Wapi huko na mto gani
 
dah askari wa uokoaji kitengo cha dharula hakuna?
 
Unahakika ni jangili? Usikute mwananchi masikini alienda kujitafutia chochote akakutana na hao jamaa. Kingine kwanini wananchi walikataa kumsaidia?

Inaonyesha hao askari wanyamapori wanatesa sana wanakijiji, sivyo? Uhifadhi lazima ushirikishe communities zinazoishi kuzunguka hifadhi lakini pia kinachopatikana kwenye hiyo hifadhi wananchi nao wapate chao.

Bila hivyo askari watakufa sana mtoni.
Nina wasiwasi sana na elimu yako ya uhifadhi.
Unaposema masikini alienda kujitafutia chochote hifadhini maana yake unahalalisha watu masikini kuingia hifadhini kujutafutia, well watanzania karibu 90% ni masikini, tungeruhusu kila mwananchi masikini "kujitafutia chochote" hifadhini leo hii tusingekuwa na hifadhi hata moja. Wake up.
Pili, hifadhi zinalindwa kwa faida ya watanzania wote. Mapato yanayotokana na uhifadhi yanaingia serikalini na kumsaidia kila mtanzania hata asiye jirani na hifadhi.
Ni kweli jamii jirani ni vizuri ikashirikishwa kwenye uhifadhi, lkn hii haimaanishi lazima kuwe na direct flow ya mapato kutoka hifadhini kwenda vijijini. Faida za uhifadhi sio pesa tu, hata faida za kiikolojia ni muhimu. Leo hii tunalalamika mvua hakuna ni sababu ya matendo yetu wenyewe ya uharibifu wa mazingira.
So, jaribu kuwaza holistically utaona sio busara kutumia neno masikini anajitafutia chochote. Mbona mtu haendi kuvunja duka la mtu kuiba kwa kigezo cha yeye masikini anajitafutia chochote? Sheria za kuhifadhi zimetungwa wakijua kuna watu masikini!
 
Back
Top Bottom