Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mi ndio maana nimeweka emoji ya kucheka. Hao askari ni wapuuzi wakubwa. Wananchi kumuangalia na kutomsaidia inaleta picha kubwa sana. Wajitathmini hao wapuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Labda hata wale askari Bukoba waliokuwa wanachungulia ndege kw mbali kama haiwahusu walikuwa na mawazo kama yako.Huyu askali ndio wale darasa la saba. mwenye akili timamu, why all this trouble? ameingia majini , maji mengi achana naye kwani kaiba nini chako mpaka utumbukie majini? Peaceful arrest sawa, lakini kutumbikia kwenye maji hapana. Au alitaka kuwa kama majaliwa? Wanyama wanaouzwa Arabuni si hayo hayo! Jinga tu wacha lipate faida ya ujuha! (samahani sana kwa lugha kali)
Ndio imejengwa mioyoni mwa wapenda hakiHivi ile sanamu ya Hamza ilijengwa ?
Ila mkuu umeandika kwa hisia kali mno!Huyu askali ndio wale darasa la saba. mwenye akili timamu, why all this trouble? ameingia majini , maji mengi achana naye kwani kaiba nini chako mpaka utumbukie majini? Peaceful arrest sawa, lakini kutumbikia kwenye maji hapana. Au alitaka kuwa kama majaliwa? Wanyama wanaouzwa Arabuni si hayo hayo! Jinga tu wacha lipate faida ya ujuha! (samahani sana kwa lugha kali)
Jangili ni expert.. Anajua kuogelea...Kwa iyo askari wenzake walisimama wakamwangakia anavyo kimbizana na jangili kwenye maji wakakaa kimya tuu, na majirani nao wametulia tuuu jamaa anahangaika dimbwini kubwia ma maji hadi kaenda kwa mola!!!!
Jangili nae vipi kapotelea majini huko au?
Majaliwa styleAskari wa wanyama pori afariki dunia wakati akijaribu kumkimbiza jangili.Jangili huyo alikimbilia mtoni na akaaanza kuogelea ndipo askari huyo aliekuwa na wenzake nawe akaamua ajitose kimfuata mtuhumiwa.Alioogelea lakini alipofika katikati ya mto maji yalimzidi kwani kina cha maji kilikuwa kirefu hivyo alianza kuomba msaaada kwa wenzake na walimuangalia mpaka akafariki,Wananchi waliokuwa jirani waligoma kumuokoa na hivyo amefariki msiba, mati itasafirishwa na ndege kuelekea kwao, poleni familia kwa kumpteza classmate wangu
Kama kuna mashuhuda nitaamini, kama mashuhuda ni askari wenzake basi naamua kuchanganya na zangu...Huyu askali ndio wale darasa la saba. mwenye akili timamu, why all this trouble? ameingia majini , maji mengi achana naye kwani kaiba nini chako mpaka utumbukie majini? Peaceful arrest sawa, lakini kutumbikia kwenye maji hapana. Au alitaka kuwa kama majaliwa? Wanyama wanaouzwa Arabuni si hayo hayo! Jinga tu wacha lipate faida ya ujuha! (samahani sana kwa lugha kali)
UgallaTabora kuna mto gani mkubwa hivyo!?