Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄😄😄😄 kalynda shikamoooHello,
Sina maneno mengi nimepigwa laki 2 huko kalyanda, na sina sababu za kujitetea nimefanya uzuzu kama mazuzu wengine, nimepigwa kizembe sina hata nguvu za kuelezea, nilipinga sana kalyanda ila kuna manzi aliipaisha sana kalyanda, nikamwambi nitoe ganji basi na laki 4 akanitoa akanambia haya weka laki2.
Nikaweka la haula la kwata nimeukalia, ila sio mbaya huyu manzi kama mganga vile aliichomoa pesa yake, sasa hivi niko nae gheto ananifariji nampiga nao mfano wa kalyanda na watanzania. namkamua kwa hari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kila mmoja apambane na hali yake.
Tumerithi uzuzu toka kwa Sultani Mangungo wa Msovero, haina haja ya kujilaumu hii ishu ni genetic kwa Tanzania tutapigwa mpaka kiama there shall come on different versions and the identical or similar episodes shall continue. Simply this kacountry is endowed with uzuzu
I salute you in the name of growth, progress and success my entire Mazuzu fellas.
Niko na Mbususo ina nifariji. Kalyanda Mwakulyanda, Mwakulwanda, Mwakinyogoli, Mwakadundulusi, Mwakajwaga, Mwanjokolilo, Mwakipulumusi.
Ukipigwa msifu na alokupiga sio kulalamika tu.
Dah inatia huruma sana wakuu hadi serikali imedandia tayari mambo yashakua makubwa hiviWatu wakubali washatapeliwa wakulia walie,kutoka jasho,hasira ila muhimu wanywe maji mengiii.
nimetamani kuimba wimbo wa zuchu wa kwikwi, alakaakaaaa, eleketeeee, ilikitikiiiii, alukutukuuu!!!! haya maisha raha sana ukipigwa saw, ukipiga sawa acha niendelee kula mbususo ya kimanyema mixer na mkaguru, kitu inavuta kitu inajoto wallahi tule raha tu, after all we live once. salale utamu utamuni dadadeki jioni ntapiga kama build ya goli la pili la Simba SC kule Angola.Kuna mpumbavu aliniletea hii issue nilimshangaa sana na ni mtu msomi kabisa ,namuuliza maswali anajikanyaga tuu nikamwona ni chizi Leo atakua sijui anaongea lugha gani
Mkuu umerithi peke yako huo uzuzu kwa huyo Mangungo. Sisi wenzio watoto wa Zwangendaba tunameremeta tu no kututapeli, ukituletea fursa tunakurudishia mwenyewe ubaki nayo [emoji1787]Hello,
Sina maneno mengi nimepigwa laki 2 huko kalyanda, na sina sababu za kujitetea nimefanya uzuzu kama mazuzu wengine, nimepigwa kizembe sina hata nguvu za kuelezea, nilipinga sana kalyanda ila kuna manzi aliipaisha sana kalyanda, nikamwambi nitoe ganji basi na laki 4 akanitoa akanambia haya weka laki2.
Nikaweka la haula la kwata nimeukalia, ila sio mbaya huyu manzi kama mganga vile aliichomoa pesa yake, sasa hivi niko nae gheto ananifariji nampiga nao mfano wa kalyanda na watanzania. namkamua kwa hari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Kila mmoja apambane na hali yake.
Tumerithi uzuzu toka kwa Sultani Mangungo wa Msovero, haina haja ya kujilaumu hii ishu ni genetic kwa Tanzania tutapigwa mpaka kiama there shall come on different versions and the identical or similar episodes shall continue. Simply this kacountry is endowed with uzuzu
I salute you in the name of growth, progress and success my entire Mazuzu fellas.
Niko na Mbususo ina nifariji. Kalyanda Mwakulyanda, Mwakulwanda, Mwakinyogoli, Mwakadundulusi, Mwakajwaga, Mwanjokolilo, Mwakipulumusi.
Ukipigwa msifu na alokupiga sio kulalamika tu.
Sultani hoyee, kalyanda hoyee, Uzuzu hoyee, Mangngo hoyee, kanyaboya hoyee. Kazi ya kuenzi urithi iendeleeMkuu umerithi peke yako huo uzuzu kwa huyo Mangungo. Sisi wenzio watoto wa Zwangendaba tunameremeta tu no kututapeli, ukituletea fursa tunakurudishia mwenyewe ubaki nayo [emoji1787]
Atakuwa anaongea kichina huko alikoKuna mpumbavu aliniletea hii issue nilimshangaa sana na ni mtu msomi kabisa ,namuuliza maswali anajikanyaga tuu nikamwona ni chizi Leo atakua sijui anaongea lugha gani
Brella wanajua siri ya mtungi.Kamanda wa polisi kutoka Kanda ya Dar es Salaam.
Nimetoka kusikiliza clauds hapa jumba la habari, ni kweli watu wametapeliwa na kumekua na malalamiko kila kona ya nchi lakini hayupo mtu hata mmoja aliepeleka Hati ya malalamiko kua wametapeliwa namnukuu kamanda murilo "kazi ya jeshi la polisi ni kuchunguza iwe taarifa ya kweli ama ya uongo anayeona ametapeliwa ni vyema akaleta Hati ya mashtaka ili polisi ifanye kazi yake"
Kwa upande wa brela wanadai kua kalynda ilisajiliwa kua wanafanya biashara ya mtandaoni ya uuzaji wa vifaa vya kielectronic.
Maoni ya brela Watanzania waache kujihusisha na mambo ya pyramid hakuna pesa ya urahisi.
Wanajuwa wapmbv na wajing ni wengi,kwann wasiwafanye mtajiBrella wanajua siri ya mtungi.
Kuna watu wanatajirika kwa njia kama hizi kwa kushirikiana na watanzania wenzetu