Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Ila mi nitakuwa mshamba,sijui kwanini huwaga siamini kwenye kupata pesa bila kufanya kazi
 
Akamatwe huyo admin, mana bado yupo kazini, analipwa na nani
Nchi imefunguliwa jamani wakamatwe ili iweje? Na serikali haitaki kunyang'anya wafanyabishara pesa zao kama alivyokuwa anafanya Shetani Simba wa Yuda, Wafanyabishara wasibunguziwe wafanyabishara hawamu ya 5 walifunga biashara zao na kukimbia sasa.
 
App imekuwa download na watu Laki 1

Watu Laki 1 * 20000( kiwango Cha chini Cha kuwekeza )

Zaidi ya Bilioni 2 zimeibiwa
Pesa zote kama Serikali inaziacha bure na kwenda kuomba omba kwa wazungu, Tutamkubuka DDP Biswalo mganga.
 
Nchi imefunguliwa jamani wakamatwe ili iweje? Na serikali haitaki kunyang'anya wafanyabishara pesa zao kama alivyokuwa anafanya Shetani Simba wa Yuda, Wafanyabishara wasibunguziwe wafanyabishara hawamu ya 5 walifunga biashara zao na kukimbia sasa.
Wacha kebehi zako hizo, hao siyo wafanyabiashara wala usiwalinganishe na wale waliokuwa na biashara zao halali hapa nchini
 
Sisi watanzania tuna matatizo ya akili, miezi michache ijayo watakuja wengine na moto utabaki kuwa ule ule
 
Kuna mtu alinifuata inbox akanishirikisha kuhusu hii Kalynda, kiukweli nilipuuzia ujumbe wake kwasababu siamini sana kwenye biashara za sampuli hiyo.
 
Kuna yule jamaa anajiita Mshauri serikali, alikuwa anaipromote sana hii kampuni, baadhi ya video zake kafuta sasa hivi huko Twitter raia wanamkaanga aloo...😀
😂
 
Week iliyo pita tu apa mshkaji wangu mmoja kanipigia sim ndo ananiambia kuhusu hiyo kalynda kwamba yeye na mke wake wamekua wanapiga pesa uko na mm nijiunge nikakataa jamaa anapiga sim mbaya nikamwambia hamnaga hela rahisi hivyo uo utapel akaniambia haya shaur yako sasa nilijua watapigwa ila sikujua itakua mapema hivi inabidi nimpigie kumpa pole rafiki Yangu.

NB: wazee Wa good morning hawajawahi kumuacha MTU salama.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila mlikuwa wabishi mkiambiwa ukweli, poleni hili nalo litapita kama la Masanja
Afu jamaa ni wabish sanaa acha wapigwe...ukiwauliza hizo asilimia unazopewa kila siku zinatokana na mzunguko gan wa hela yako hawana majibu...hasa waalimu ndo waanga wakubwa
 
kuliko kuweka 500 kwenye upatu bora niweke milioni kwenye mechi moja ya dakika 90
 
Kadri wasomi wanavyokosa kipato cha uhakika, ndivyo uhalifu uongezeka. Idadi ya watu kubwa, uchumi wa nchi mdogo. Africa kuna shida kubwa sana. Tufanye uzazi wa mpango kama Ulaya.
Usijilinganishe na Ulaya...

Serikali haiwezi ajili watu wote
 
Back
Top Bottom