Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

Kuweni watulivu nalifuatilia kwa karibu suala lenu ...alisikika kamanda wa polisi
 
Ila nadhani hivi vyombo vya habari credible ndio vinaingiza watu mkenge zaidi angali Mr. Kuku na Kalynda wote wanatumia zile channels unazoziamini kukupiga.

Najua wanapata matangazo lakini pia wao wanajukumu la kufanya due diligence. Jamii inaviamini sana.

ITV nao wajitafakari katika hili.
Itv wameshiriki Sana uhuni
Kuanzia qnet, forever,mr.kuku kigamboni Hadi wale jamaa wa vanilla kilo million Moja. Wamewatangaza wao
 
Ndio kitu gani hio[emoji1787][emoji1787]

Another DECI

mtapigwa kwa ponzi schemes hadi lini

1. DECI

2. RIFARO

3. FOREVER LIVING

4. QNET

5. KALYNDA

6.....

Nyingine nyingi zitakuja sababu wapumbavu ni wengi sana .
6. Scatec
7.Dealno1
8.Sctron
9.Eusd

Etc etc....


Yaani ni scams ni nyingi Hadi zinaboa Ila watu ni sikio la kufa
 
Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
View attachment 2383601
Asante kwa Taarifa ziwafikie wahanga na wahangwa kama zilivyo
 
Serikali iwajibike. Haiwezekani waruhusiwe kufanya biashara ya pesa bila dhamana.

Wananchi wataelewa serikali ndiyo imewatapeli.

Walisajiriwa brella wakalipa kodi.

Huku mtaani ni vilio tu mpaka huruma.

Nashukuru Mungu sikufanya ujinga huu
Mkuu pole kwa kupigwa
 
Itv wameshiriki Sana uhuni
Kuanzia qnet, forever,mr.kuku kigamboni Hadi wale jamaa wa vanilla kilo million Moja. Wamewatangaza wao
Kabisa ingawa hawakukulazimisha ila nadhani wao wana uwezo mkubwa wa kufuatilia uhalali wa baadhi ya projects kuliko raia wa kawaida.

Sema ni huku Bongo tu ila US unaweza kuwafunga kabisa kwa hiki wanachofanya. Wiki moja iliyopita Kim Kardashian kapigwa faini kwa issue kama hizi kaendorse baishara ambayo raia wameshia kupigwa.

Screenshot_20221011-193251_Chrome.jpg
 
Nyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,

Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI

Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Mkuu, walikuwepo wa akina deci enzi hizo sijui zikaja qnet, bwana kuku, nk nk ponzi schemes za kutosha zote walishalaaniwa sana kwa Mungu ila ndio ivo mnaendelea kupigwa kila siku kwa kukosa maarifa. Hizi issues zinapoanza huwa watu wanatoa nyuzi za tahadhari ila mnaishia kuwatukana na kuwaambia wivu
 
Hawakushika panga ila unajua kwa nini wanahusika sababu ya reputation yao. Unadhani hili Tangazo lingekua Carrymastory linakua na weight kama ya ITV? Jibu ni hapana. Jamii ina imani kubwa sana na ITV na ndio maana hata habari ITV ina aminika zaidi.
Watu wakija na vibali toka vyombo husika vya kufanya wanachofanya na wanataka tangazo liende hewani wao hawafanyi kazi ya polisi.
Bila shaka mpaka wanarusha hiko tangazo walikuwa na vibali vyote
 
Hawakushika panga ila unajua kwa nini wanahusika sababu ya reputation yao. Unadhani hili Tangazo lingekua Carrymastory linakua na weight kama ya ITV? Jibu ni hapana. Jamii ina imani kubwa sana na ITV na ndio maana hata habari ITV ina aminika zaidi.
Mkuu huo ulikuwa utapeli wa kitaalamu yaani wakisomi, hujawahi ona hadi serikali inatapeliwaga tu hata na makampuni na tenda kama zile za vichwa vya treni na dowans. Yaani unatapeliwa kitaalamu zaidi
 
Back
Top Bottom