Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umasikini unachangia sana,mambo haya!!Tanzania wapmbv ni wengi sana
Ova
Hilo sio jukumu la chombo cha habari,wao ni kupokea tangazo na kuona je kisheria/kimaadili ya nchi yetu liko sawa!!hayo mengine huko ni kazi ya vyombo vingine.Ila nadhani hivi vyombo vya habari credible ndio vinaingiza watu mkenge zaidi angali Mr. Kuku na Kalynda wote wanatumia zile channels unazoziamini kukupiga.
Najua wanapata matangazo lakini pia wao wanajukumu la kufanya due diligence. Jamii inaviamini sana.
ITV nao wajitafakari katika hili.
Kaka,Reputation damage ndio inawahusu hapa.
Bado ONTARIO naye yupo jikoni anatengeneza app yake anaiita EXXON atakuja kupiga nayo watu muda si mrefu[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kitu gani hio[emoji1787][emoji1787]
Another DECI
mtapigwa kwa ponzi schemes hadi lini
1. DECI
2. RIFARO
3. FOREVER LIVING
4. QNET
5. KALYNDA
6.....
Nyingine nyingi zitakuja sababu wapumbavu ni wengi sana .
Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
View attachment 2383601
Hata matangazo ya CRDB na soko la hisa dar es salaam (DSE) siyaamin tena ikiwa yataendelea kutolewa na ITV.Kwan mkuu ITV walikushikia panga ukaweke pesa zako umo, watu wamekuja na vibali vyote wanataka warushe tangazo lao na wakalipia sasa wao wahasukaje apo na wao wanafanya biashara?
Sio kila jambo tumuachie Mungu, Mungu yupo busy sana na mambo mengi haya ya kujitafutia tumalizane wenyeweNyie viongozi wa KALYNDA popote mlipo,,
Nawaambieni ,,
MUNGU ATAAMUA UGOMVI
Jasho letu haliwezi kwenda bure.
Tatizo lilishaonekana kuanzia hapa ila watu wakajioff dataUlishasikia wapi mchina anaitwa Thomas?
Mimi niliifahamu siku mbili kabla ya kufungwa
App imekuwa download na watu Laki 1
Watu Laki 1 * 20000( kiwango Cha chini Cha kuwekeza )
Zaidi ya Bilioni 2 zimeibiwa
Hivi mkuu kwa maelezo yao hio 10m ya tangu mwezi wa 6 inaongezeka kufikia kiasi gani? Huu mwezi aliotakiwa kupokea?Kuna jamaa aliweka milion 10 toka mwezi wa 6 akawa anasubiria mwezi huu achukue mpunga wa kutosha akamalizie nyumba yake mara ghafla bin vuu anaona watu waleeee wanatokomea kusikojulikana[emoji38][emoji38][emoji38]
Wachina wanaotoka Hong Kong wana majina ya kizungu i.e Thomas Wong, Peter Lu..etc...Poleni sana na pia ni somo hakuna mtu wa kukupa pesa za bure dunia ya sasa mchina gani wakuitwa Thomas
siyo chini ya 25m na bado m10 yake ingebaki kama mbegu aliyopandia[emoji23][emoji23]Hivi mkuu kwa maelezo yao hio 10m ya tangu mwezi wa 6 inaongezeka kufikia kiasi gani? Huu mwezi aliotakiwa kupokea?
Daaah aisee hio ni hatari sana mzee...ndo maana hauwezi pindua ndo maana mtu anaamini kirahisisiyo chini ya 25m na bado m10 yake ingebaki kama mbegu aliyopandia[emoji23][emoji23]